Gentamycine kwa wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya

Gentamycine kwa wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya

Nashukuru kwa Wewe ile jana kunipa taarifa ya huu ' Uzi ' kwani nilikuwa sijui kama umeanzishwa na nadhani unakumbuka nilikuambia kwamba waliouanzisha ' watajuta ' na sasa wamekipata ambacho walikitaka kwa muda mrefu kutoka Kwangu. Kwa kuanzia tu huyo Muanzisha ' Uzi ' Mtu aitwae LIKUD amekuwa na kawaida ya Kunichokoza, Kunidhihaki na Kunidhalilisha mno humu Jamvini na mkitaka kuamini haya pitieni ' posts ' zake zote ambazo huwa ananiandikia katika ' threads ' mbalimbali ambazo ama huwa nazianzisha Mimi au huwa nazichangia.

Na alichokifanya hapa ni Kitu rahisi mno japo Yeye anadhani ana akili kutuzidi ' tuliobarikiwa ' nazo na Mwenyezi Mungu. Ameanzisha ' Uzi ' huu kwa ' Agenda ' zake ' maalum ' kisha baada ya Kujua kwamba nitakuja kumjibu kwa ' mashambulizi ' makali na makubwa alipoanzisha tu aka ' log out ' na kuanza sasa kuzitumia ID's zake za ' Multiple ' kuweza kunijibu huku nyie mkidhani labda ni Watu tofauti tofauti kumbe ni Mtu mmoja.

Na hajaishia tu hapo ana ' Marafiki ' zake humu humu ambao hata kabla hajauleta huu ' Uzi ' sebuleni alishawapanga kuwa ' wanishambulie ' kwa nguvu zote ili mradi tu ile azma yake ya Kunichukia na Kutonipenda itimie. Hakuna ID inayomnyima raha na amani humu kama hii yangu ya GENTAMYCINE. Na hatari zaidi ni kwamba bora basi angekuwa ni Mtoto wa Kike wala nisingeshangaa sana lakini nimepatwa na huu ' mshangao ' mkubwa kwakuwa Yeye ni Mtoto wa Kiume kabisa hali ambayo sasa inanifanya nianze kuamini kwamba yawezekana huyu akawa ni ' Shoga ' na anataka tu kunilazimisha ' nimtambalizie ' nao Kitu ambacho ' Kiimani ' ya Mwenyezi Mungu ni ' dhambi ' kubwa sana tu.
Huna tofauti na vichaa inabidi ukapimwe dishi limeyumba
 
Kwa kukusaidia tu japo Wewe ni Mkongwe humu ila nashangaa na nasikitika kwamba hujui au unajisahaulisha au hujagundua ya kwamba hizo ID's unazoziona hapo zinanitukana, zinanidhihaki, zinanichokoza na zinanidhalilisha 95% ni Mtu mmoja au Watu wawili na wala usidhani hao wote ni Members tofauti tofauti wa JF. Kuwa makini sana Mkuu!

Na bahati mbaya sana Kwao ni kwamba wameanzisha Vita na wanapambana Vita na Mtu ambaye Kiasili tu ni Mpenda Vita na bahati iliyo njema ni kwamba hata uwezo wa Vita anao na Vita vyenyewe pia vinampenda na vinamtii vile vile.

Wamevuna walichopanda japo hata wakitaka tuendelee na Vita hii hii ya maneno hadi mwaka huu uishe nipo tayari na bado nina uhakika nitawashinda na hata wao wenyewe kuomba ' po ' Kwangu kisha tuanze sasa Kuheshimiana humu.

Nimewavumilia vya Kutosha!
Mwezi mchanga
 
Kwa muda mrefu sana huyu jamaa wa kuitwa GENTAMYCINE amekuwa akijinadi hapa JF kama a proudly Rwandese ( Rwandan ?) . Sioni tatizo lolote lile kwa mtu kujivunia asili yake tatizo ni authenticity . Je ni kweli wewe GENTAMYCINE ni mnyarwanda au ur just a fan ?

Kama wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya " UFITINGINGA BUTEGEREZI ".

Hakuna mnyarwanda asie jua maana ya maneno hayo niliyo yataja hapo juu. Najua huwezi kugoogle cause they are googleless.

Nakupa dakika 20. Ukifanikiwa kutoa maana ya maneno hayo ndani ya hizo dakika 20 basi kuanzia leo mimi pamoja maelfu ya wana Jf wenye mashaka na unyarwanda wako tutaanza kukupa heshima kama mnyarwanda.

Na usipo jibu basi wewe sio mnyarwanda na uache kutuzuga humu.




UFITINGINGA BUTEGEREZI Maana ya haya maneno kwa kiswahili ni Mahitaji ya Jumuiya
 
UFITINGINGA BUTEGEREZI Maana ya haya maneno kwa kiswahili ni Mahitaji ya Jumuiya
 
Huyu ni harusi wa Rwanda wa siku nyingi kazi yake kubwa ni kufanya sow discord, wote mtambueni
 
Ulishaona wapi mtu anajisifia kwa ukabila wake hadharan?

Ujue huyo ni mamluki tu inawezekana hajui hata Kabila Lake
Umenichekesha mkuu..nimekumbuka mwenyekiti wa Lumumba wa sasa alivyokua BK akatamba nakusema na nanukuu..Inye ndio muyango muzila nkende...
 
Wacha maneno mengi kijana. Swali langu mbona lilikuwa rahisi sana. " Kama wewe ni mnyarwanda kweli kama unavyo jitanabaisha basi tuambie maana ya UFITINGINGA BUTEGEREZI.. Ulipewa dakika 20 za kutoa majibu ukashindwa. Umekuja kuonekana baada ya majibu kutolewa na kudhihirika wazi pasi na shaka yoyote kuwa wewe sio mnyarwanda kama unavyo dai siku zote.

" He who gives himself a name that name must be put into test " Umekuwa ukijidanganya na kuwadanganya watu kwamba wewe ni mnyarwanda tena " Inkhotanyi". Nimekupa test ndogo sana umeshindwa.
Wewe sio mnyarwanda. Acha kujidanganya..

Naona anajuta huko aliko..........
 
Ngoja nimalizane Kwanza na hawa ' Wapumbavu ' walionichokoza tokea jana na kuiamsha ' mizimu ' yangu ' tukuka ' ya Kizanaki, Kitutsi, Kimakuwa na Kiyao kisha nitarudi huko ambako unataka nielekee ila unaweza pia kwa muda huu ukaanza kumuandaa Dada yako ili nae nije ' nimpachike ' Mimba kusudi angalau basi katika Familia yako kuwe na ' damu ' ya GENTAMYCINE ili Ukoo wenu mzima muweze Kuringa na Kutamba.
Ahahahahah nakojooooooaaaaa
 
Nalijua hilo Dada yangu na wala hujaanza kuniambia Wewe kwani hata pale pale ambapo yupo Mtu tuliyemkabidhi nchi hii ( pamoja na Idara yake muhimu / nyeti ) unaambiwa hakuna ID inayosomwa na kufuatiliwa na 80% ya ' Watendaji ' wa pale kama hii yangu GENTAMYCINE na si huko tu hata katika Vyuo Vikuu vingi nchini kama kuna ID iliyomaarufu na ambayo mara kwa mara huzungumzwa / hujadiliwa ni hii hii yangu na kuna Member mmoja humu humu alivumilia lakini kuna siku aliandika mwenyewe kwamba huko nyuma alikuwa ni ' mtazamaji ' tu w JF lakini kila alipokuwa akisoma ' threads ' na ' posts ' zangu alishawishika kuanzisha rasmi ID ili awe sasa ' ananifaidi ' vizuri ' Kimaudhui ' akiwa humu. Siishii hapo tu hii ndiyo ID ambayo inafuatiliwa sana na Waandishi wa Habari mbalimbali pamoja na ' Blogs ' zao ambapo 75% ya ' Threads ' zangu hupenda kuzitumia na huwa zinawapatia sana umaarufu / sifa. Jitahidi sana uwe unamfuatilia Mtangazaji ambaye pia ni ' Bosi ' wa Radio One ' Mtani ' wangu Deogratius Steven Rweiyunga hasa katika ile ' Segment ' yake ya ' Habari Nyepesi Nyepesi ' ya Saa 2 Kamili amekuwa akipenda sana kutumia ' posts ' zangu za ' Vituko ' humu JF na Kipindi chake ' Kinabamba ' mno. GENTAMYCINE yupo kila mahala na ' charm ' niliyonayo haina mfano na huwezi ukaiiga. Kuna Watu humu humu walianzisha ID's na kujiita GENTAMYCINE hadi kule Kenya Talk wakidhani kwamba labda nao wataweza Kukubalika na Kusafiria ' Nyota ' yangu lakini wamesahau ya kwamba kila Mtu hapa duniani Mwenyezi Mungu amembariki na ' Shani / Talanta ' yake na hata ufanyeje huwezi Kuichukua. Kuna Watu wanadhani hii ' Signature ' yangu ya ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' nimeiweka tu kwa bahati mbaya lakini wakitulia, wakiisoma vizuri na kuielewa imebeba ' almost ' 99.9% ya ' uhalisia ' wangu.

Na wanachokisahau tu ni kwamba wanavyozidi Kunichukia, Kunifuatafuata, Kunichokonoa na Kupoteza muda wao nami basi ndiyo Kwanza wanazidi kunifanya niwe maarufu na nizungumzwe mno na kila mahala. Kazi Kwao!
Achana naoooo sisi tunakupenda wengii mno humo ja tunakukubalii vibaya wao wafe tu nyota yako kali mnoo
 
Ni wapi nimesema Mimi ni ' Mjukuu ' wa Nyerere kutoka kwa mmoja wa Watoto zake wa Kuwazaa? Najua unachokitafuta hapa ni kunijua zaidi na hutokipata hicho unachokitaka. Na kwa kuonyesha kuwa hujiamini umeamua kuja na ID yako ' mbadala ' na kuachana na ile ambayo unajua ningekujua upesi. Najua labda unaumia sana kusikia nimekulia katika mikono ya Nyerere na Museveni. Pole sana kwani hata Mimi sikupenda iwe hivyo ila nilijikuta tu nimeangukia Kwao kutokana na ' Udugu ' wa Kimila wa Kizanaki na Urafiki mwema wa Kifamilia kati ya Tanzania na Uganda.

Kuhusu ' Unyarwanda ' wangu nakupa ' assignment ' ndogo sana tafuta ' origin ' ya Kabila la Zanaki kisha utapata majibu yote ya maswali yako. Hongera pia kwa kuja kwani huwa napenda mno Kukutana na ' Wapumbavu ' wa mfano wako hapa Jamvini ambao Wivu na Chuki zenu Kwangu ndizo hunifanya niwe juu ' Kiumaarufu ' kuliko nyie.

Kweli GENTAMYCINE ' nawatesa ' sana Waswahili hadi raha na burudani. Haya naomba ukinijibu usisahau pia kunijibu na ile ID yako iliyo maarufu hapa Jamvini ambayo unadhani labda siijui. Cheza na Watu wote ila siyo Mimi kwani ulipoamkia Wewe leo Mimi nimelala huko juzi.
Genta kipindi jf imefungwa nilimiss sana kukusoma
 
Back
Top Bottom