impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Huna tofauti na vichaa inabidi ukapimwe dishi limeyumbaNashukuru kwa Wewe ile jana kunipa taarifa ya huu ' Uzi ' kwani nilikuwa sijui kama umeanzishwa na nadhani unakumbuka nilikuambia kwamba waliouanzisha ' watajuta ' na sasa wamekipata ambacho walikitaka kwa muda mrefu kutoka Kwangu. Kwa kuanzia tu huyo Muanzisha ' Uzi ' Mtu aitwae LIKUD amekuwa na kawaida ya Kunichokoza, Kunidhihaki na Kunidhalilisha mno humu Jamvini na mkitaka kuamini haya pitieni ' posts ' zake zote ambazo huwa ananiandikia katika ' threads ' mbalimbali ambazo ama huwa nazianzisha Mimi au huwa nazichangia.
Na alichokifanya hapa ni Kitu rahisi mno japo Yeye anadhani ana akili kutuzidi ' tuliobarikiwa ' nazo na Mwenyezi Mungu. Ameanzisha ' Uzi ' huu kwa ' Agenda ' zake ' maalum ' kisha baada ya Kujua kwamba nitakuja kumjibu kwa ' mashambulizi ' makali na makubwa alipoanzisha tu aka ' log out ' na kuanza sasa kuzitumia ID's zake za ' Multiple ' kuweza kunijibu huku nyie mkidhani labda ni Watu tofauti tofauti kumbe ni Mtu mmoja.
Na hajaishia tu hapo ana ' Marafiki ' zake humu humu ambao hata kabla hajauleta huu ' Uzi ' sebuleni alishawapanga kuwa ' wanishambulie ' kwa nguvu zote ili mradi tu ile azma yake ya Kunichukia na Kutonipenda itimie. Hakuna ID inayomnyima raha na amani humu kama hii yangu ya GENTAMYCINE. Na hatari zaidi ni kwamba bora basi angekuwa ni Mtoto wa Kike wala nisingeshangaa sana lakini nimepatwa na huu ' mshangao ' mkubwa kwakuwa Yeye ni Mtoto wa Kiume kabisa hali ambayo sasa inanifanya nianze kuamini kwamba yawezekana huyu akawa ni ' Shoga ' na anataka tu kunilazimisha ' nimtambalizie ' nao Kitu ambacho ' Kiimani ' ya Mwenyezi Mungu ni ' dhambi ' kubwa sana tu.