Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Halaf hapa wanamtafutia ban tu sisi tunaompenda tukose uhondo bureKabisa,MTU ( ID ) inajadiliwa dstv pale ,Genta si mutu ya mchezo mchezo,wamuache
Etiii eeehNaona mnamchokoza andunje.
Hahahaha pyepyeHakuna mnyarwanda asiye tumia akili huyo mkurya tu anatumia nguvu hadi kwa mitandao
BwahahahahahMkuu,umelelewa na kubebwa na kina Mzee Madaraka that means umri wako umeenda,then bado unasema unapambana ili watoto wako waje waishi maisha poa,sa unapambana wakati ushazeeka mkuu wangu,unawapambania watoto ama wajukuu!!?
Hahahah uwiiiUna miaka 35 means umezaliwa mwaka 83.At the same time kuna Uzi uliuanzisha unasema umeanza darasa la kwanza mwaka 83 kwenye shule moja ya msingi iliyopo jijini Dar Es Salaam. Ulianza darasa la kwanza ukiwa na mwaka sifuri
wewe unatakiwa uwekwe kwenye kitabu cha guiness
sasa wanafaidika na nini kukuandama hivyo? halafu mtu mmoja
Watu hawana muda na kulumbana na bwabwa mwenye upungufu wa akili kama wewe....wewe kula kulala una muda wa kukesha nyuma ya keyboard....umeulizwa swali umeshindwa sasa kuna nini zaidi hapo?...watu wamekuacha sababu kulumbana na wewe ni sawa na kumkimbiza mwendawazimu ukiwa uchi kisa amechukua nguo zako ukiwa unaogelea....lafudhi yao ni kama ya Lemutuz
Mod hebu mpeni ban huyu jamaa matusi yamezid anatutoa kwenye mood kujadili mambo ya msingi , yeye kabaki kujisfia na matusi mpen ban haraka sana akirud akili zitamkaa sawa atakua na discpline
Utakuwa mtoto wa laana
Huna tofauti na vichaa inabidi ukapimwe dishi limeyumba
Mwezi mchanga
[emoji351] Achana nao.Ni wapi nimesema Mimi ni ' Mjukuu ' wa Nyerere kutoka kwa mmoja wa Watoto zake wa Kuwazaa? Najua unachokitafuta hapa ni kunijua zaidi na hutokipata hicho unachokitaka. Na kwa kuonyesha kuwa hujiamini umeamua kuja na ID yako ' mbadala ' na kuachana na ile ambayo unajua ningekujua upesi. Najua labda unaumia sana kusikia nimekulia katika mikono ya Nyerere na Museveni. Pole sana kwani hata Mimi sikupenda iwe hivyo ila nilijikuta tu nimeangukia Kwao kutokana na ' Udugu ' wa Kimila wa Kizanaki na Urafiki mwema wa Kifamilia kati ya Tanzania na Uganda.
Kuhusu ' Unyarwanda ' wangu nakupa ' assignment ' ndogo sana tafuta ' origin ' ya Kabila la Zanaki kisha utapata majibu yote ya maswali yako. Hongera pia kwa kuja kwani huwa napenda mno Kukutana na ' Wapumbavu ' wa mfano wako hapa Jamvini ambao Wivu na Chuki zenu Kwangu ndizo hunifanya niwe juu ' Kiumaarufu ' kuliko nyie.
Kweli GENTAMYCINE ' nawatesa ' sana Waswahili hadi raha na burudani. Haya naomba ukinijibu usisahau pia kunijibu na ile ID yako iliyo maarufu hapa Jamvini ambayo unadhani labda siijui. Cheza na Watu wote ila siyo Mimi kwani ulipoamkia Wewe leo Mimi nimelala huko juzi.
Ulishaona wapi mtu anajisifia kwa ukabila wake hadharan?
Ujue huyo ni mamluki tu inawezekana hajui hata Kabila Lake
Una utani na Game changer, Charismatic and Talented Feller
Huyu ni harusi wa Rwanda wa siku nyingi kazi yake kubwa ni kufanya sow discord, wote mtambueni
Ni mwanaume lakini Mario, anaishi na kula kupitia JF
Naona anajuta huko aliko..........