Gentamycine kwa wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya

Aisee hii ndiyo maana ya Avatar - hauweki vitu halisi kukuhusu, just sehemu ndogo sana.

Mfano ids za CCM ziko bize kusema maisha ni mserereko kwakua avatar zao ndiyo zinavyotaka. Wakiwa in real life wanatumia akili
 
Yeye anasemaga amezaliwa Oysterbay , Dsm . Amesoma shule ya msingi hadi form six dar kisha akaenda kusoma chuo UG.. Kumbe ametoka Mara ?
Sijawahi kumchukulia serious huwa namuona ni mtu wa mzaha tu na tambo nyingi zisizo na maana. Siku nyingine atakwambia hajasoma, siku nyingine kasoma SAUT sijui na nani Mara sijui kikaenda kikarudi ...na mbwembwe ambazo hazieleweki.

Zaidi zaidi namuona kama mgonjwa wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…