Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Aiseee this is JF mwanangu nmecheka sana ..sasa unampa dakika 20 ..bila kujua kama yupo Online au lah???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa raia ni wachokozi.Popoma la kutukuka, malkia wa kuchamba kutoka Mara unaitwa huku kuja kuserereka.
Hahaha duhPopoma la kutukuka, malkia wa kuchamba kutoka Mara unaitwa huku kuja kuserereka.
Daa!!aise hivi popoma hili neno lina maana ganiPopoma la kutukuka, malkia wa kuchamba kutoka Mara unaitwa huku kuja kuserereka.
duh jf kiboko kumbe ni dume? maana anavimameno vya kike kike tuuBy the way kwani huyo GENTAMYCINE ni mwanaume ? Mi siku zote najuaga ni jike. Duh JF is never boring. Nazidi kujifunza
Sijawahi kumchukulia serious huwa namuona ni mtu wa mzaha tu na tambo nyingi zisizo na maana. Siku nyingine atakwambia hajasoma, siku nyingine kasoma SAUT sijui na nani Mara sijui kikaenda kikarudi ...na mbwembwe ambazo hazieleweki.Yeye anasemaga amezaliwa Oysterbay , Dsm . Amesoma shule ya msingi hadi form six dar kisha akaenda kusoma chuo UG.. Kumbe ametoka Mara ?
Aiseeeduh jf kiboko kumbe ni dume? maana anavimameno vya kike kike tuu
GENTAMYCINE@GENTAMYCINE ebu ukuje aiseeeee, maana naona uvumilivu umenishinda kwa maneno haya wallah.....