Kama umegundua lakini, kuna mambo ya ajabu sana humuHa haha hahaa
Naaam "" nikweli ""..!!Kama umegundua lakini, kuna mambo ya ajabu sana humu
Mi nilikua nasoma tu comments!
Gwajima anasema Akikusemesha Msemeshe maana chuma hunoa chumaWamelilia wenyewe ' Wembe ' ngoja sasa ' uwakate ' vizuri Mkuu. Nina sifa kubwa mbili Ustaarabu sana kama nitakutana na Mstaarabu mwenzangu na Muhuni mno kama nikikutana na Mhuni mwenzangu. Na ' Principle ' yangu humu haijawahi na haitowahi kuja kubadilika ambapo nitakupokea kadri utakavyokuja ( kwa lugha iliyo nyoofu na nyepesi ni kwamba ukitishia tu Kujamba basi Mimi naharisha kabisa )
Hahahahaha huyo sio wa rwanda bali ni mtu anaetoka mikoa inayopakana na rwanda pia mikoa ambayo kuna muingiliano wa tamaduni zote mfano mtu wa kibondo,kasulu,buhigwe,ngara ni watu wenye tamaduni sawa na lugha inayotumika wote huelewana ..sema kapata cheo lumumba baada ya kufuzu mafunzo ya kutengeneza uongo na propaganda zikakubalika kwa watu ambapo wazee wa lumumba hufurahia kazi yake (mdanyi mwenye uwezo mkubwa)
Ila ni vizuri kujibu swali la mleta Uzi alikuwa ana kaswali kazuri tulitegemea ung'eitumia fursa hii kututoa shaka sisi na muuliza swali ila nashang'aa unatoka povu sijui kama umesha lijibu swali lake [emoji15]Na bahati mbaya Mtu mwenyewe wanayesumbuka nae kumfuatilia ni GENTAMYCINE sijui hawakujipanga wakati ' wanawashwawashwa ' nami.
Gwajima anasema Akikusemesha Msemeshe maana chuma hunoa chuma
Kwaiyo hata museveni alikuwa ajui wewe ni MTU wa wapi maana umesema alikuambia anawapenda wa tz na uwe na tabia kama za nyerereUtaendelea ' Kubahatisha ' sana na kusumbuka mno nami ila hakuna ambacho mtakipata sana sana ndiyo mnanifanya nizidi tu ' Kuwadharau ' Waswahili wachache nyie.
HahahahahahaSiku Jf ikifa watakufa viumbe wengi kwa stress hakika!
Genta mi nimekuja nataka kujua tu maana ya hilo neno alilosema Mtoa mada
Najua wewe ni mtaalamu 'kuntu' hilo neno halikushindi kulifasiri
Na kuwa mnyarwanda haina maana kuwa ni mtutsi.Kwani kuwa mtusi ni heshima??
Kwaiyo hata museveni alikuwa ajui wewe ni MTU wa wapi maana umesema alikuambia anawapenda wa tz na uwe na tabia kama za nyerere
Mwandiko wako unasikitisha wakati wewe n mrembo....wara?Hakuna cha unyarwanda wara huyo in mkulya
Hahahahahaha genta werereeeee unanikonga sana nyoyooNampambania ' Mamaako ' na Dada zako ambao pamoja na huu ' Uzee ' wangu wa miaka 35+ niliyonayo sasa bado tu wananing'ang'ania na hawataki kuniacha ili warudi kwa ' Babaako ' na Waume zao. Sasa kama Mtu mwenye Umri huo tajwa hapo juu ni Mzee sijui wale wenye 50+ hadi 60+ wataitwaje.
Nakusubiri urudi tena niweze kumaliza Kazi rasmi nikupe ' Kitu ' ambacho utalala nacho vizuri na pia utaniota vyema tu.
He is not alone .....usijisumbue na huyo genta huu ni mwezi mchanga usishangae akikuuliza ni swali gani ilo ?? Mbona ajaliona kwenye huu Uzi .[emoji4] [emoji4]Genta mi nimekuja nataka kujua tu maana ya hilo neno alilosema Mtoa mada
Najua wewe ni mtaalamu 'kuntu' hilo neno halikushindi kulifasiri
AhahahhahahahahahahahhWakurya ni Ndugu zangu ( Poti ) kwakuwa tunatoka Mkoa mmoja na nawaheshimu na nawapenda sana tu ila sitokei katika Kabila lao na nadhani nimeshaweka bayana humu natokea Kabila gani ila yawezekana utakuwa na matatizo yako binafsi ya akili ambayo yanakusumbua hivyo unayatafutia unafuu wake Kwangu.
Jibu swali mkuu....hoja kwa hojaSijawahi kukutana na Swali la ' Kipumbavu ' na lililotoka kwa ' Mpumbavu ' anayewakilisha Familia na Koo ya ' Kipumbavu ' na aliyezaliwa ' Upumbavuni ' kama hili tokea nizaliwe na niwe na ufahamu.