Gentamycine kwa wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya

Gentamycine kwa wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya

Hahahahaha huyo sio wa rwanda bali ni mtu anaetoka mikoa inayopakana na rwanda pia mikoa ambayo kuna muingiliano wa tamaduni zote mfano mtu wa kibondo,kasulu,buhigwe,ngara ni watu wenye tamaduni sawa na lugha inayotumika wote huelewana ..sema kapata cheo lumumba baada ya kufuzu mafunzo ya kutengeneza uongo na propaganda zikakubalika kwa watu ambapo wazee wa lumumba hufurahia kazi yake (mdanyi mwenye uwezo mkubwa)
 
Wamelilia wenyewe ' Wembe ' ngoja sasa ' uwakate ' vizuri Mkuu. Nina sifa kubwa mbili Ustaarabu sana kama nitakutana na Mstaarabu mwenzangu na Muhuni mno kama nikikutana na Mhuni mwenzangu. Na ' Principle ' yangu humu haijawahi na haitowahi kuja kubadilika ambapo nitakupokea kadri utakavyokuja ( kwa lugha iliyo nyoofu na nyepesi ni kwamba ukitishia tu Kujamba basi Mimi naharisha kabisa )
Gwajima anasema Akikusemesha Msemeshe maana chuma hunoa chuma
 
Hahahahaha huyo sio wa rwanda bali ni mtu anaetoka mikoa inayopakana na rwanda pia mikoa ambayo kuna muingiliano wa tamaduni zote mfano mtu wa kibondo,kasulu,buhigwe,ngara ni watu wenye tamaduni sawa na lugha inayotumika wote huelewana ..sema kapata cheo lumumba baada ya kufuzu mafunzo ya kutengeneza uongo na propaganda zikakubalika kwa watu ambapo wazee wa lumumba hufurahia kazi yake (mdanyi mwenye uwezo mkubwa)

Utaendelea ' Kubahatisha ' sana na kusumbuka mno nami ila hakuna ambacho mtakipata sana sana ndiyo mnanifanya nizidi tu ' Kuwadharau ' Waswahili wachache nyie.
 
Na bahati mbaya Mtu mwenyewe wanayesumbuka nae kumfuatilia ni GENTAMYCINE sijui hawakujipanga wakati ' wanawashwawashwa ' nami.
Ila ni vizuri kujibu swali la mleta Uzi alikuwa ana kaswali kazuri tulitegemea ung'eitumia fursa hii kututoa shaka sisi na muuliza swali ila nashang'aa unatoka povu sijui kama umesha lijibu swali lake [emoji15]
 
Gwajima anasema Akikusemesha Msemeshe maana chuma hunoa chuma

Na upande huo wamenikuta nipo vyema / vizuri halafu pia ni ' Jambo ' ambalo nalipenda na ninaliweza sana kama siyo mno tu. Kuna Watu hii JF ' Brand ID ' yangu inawatesa na inawakereketa kiasi kwamba nahisi siku wakija kunijua wanaweza hata wakani ' PitaZakaria / Wakanipiga Risasi ' ili waniue. Unaweka kabisa ' Bundle ' yako kuja kutaka Kumchokoza au Kumjua GENTAMYCINE ambaye hufaidiki nae kwa lolote / chochote hivi ukiambiwa Wewe ni ' Popoma / Pumbavu ' utakataa au kukasirika?

Walilia Wembe sasa nimewapa na naamini mpaka sasa umeshawakata mno na wakiendelea ' Kushoboka ' nami nitayaongeza ' makali ' ya Wembe wangu ili uwakate zaidi kiasi kwamba hata wakienda ' Kutibiwa ' Madaktari washindwe Kuwatibu kwa Kuwashona na Kifo kiwakaribishe.
 
Utaendelea ' Kubahatisha ' sana na kusumbuka mno nami ila hakuna ambacho mtakipata sana sana ndiyo mnanifanya nizidi tu ' Kuwadharau ' Waswahili wachache nyie.
Kwaiyo hata museveni alikuwa ajui wewe ni MTU wa wapi maana umesema alikuambia anawapenda wa tz na uwe na tabia kama za nyerere
 
Genta mi nimekuja nataka kujua tu maana ya hilo neno alilosema Mtoa mada

Najua wewe ni mtaalamu 'kuntu' hilo neno halikushindi kulifasiri

Neno gani hilo? Sijaliona na kama unalijua nawe unaweza tu ukaliweka hapa ili ninapomjibu na hilo jibu likuhusishe na Wewe pia tafadhali.
 
Kwaiyo hata museveni alikuwa ajui wewe ni MTU wa wapi maana umesema alikuambia anawapenda wa tz na uwe na tabia kama za nyerere

Sijawahi kukutana na Swali la ' Kipumbavu ' na lililotoka kwa ' Mpumbavu ' anayewakilisha Familia na Koo ya ' Kipumbavu ' na aliyezaliwa ' Upumbavuni ' kama hili tokea nizaliwe na niwe na ufahamu.
 
Nampambania ' Mamaako ' na Dada zako ambao pamoja na huu ' Uzee ' wangu wa miaka 35+ niliyonayo sasa bado tu wananing'ang'ania na hawataki kuniacha ili warudi kwa ' Babaako ' na Waume zao. Sasa kama Mtu mwenye Umri huo tajwa hapo juu ni Mzee sijui wale wenye 50+ hadi 60+ wataitwaje.

Nakusubiri urudi tena niweze kumaliza Kazi rasmi nikupe ' Kitu ' ambacho utalala nacho vizuri na pia utaniota vyema tu.
Hahahahahaha genta werereeeee unanikonga sana nyoyoo
 
Genta mi nimekuja nataka kujua tu maana ya hilo neno alilosema Mtoa mada

Najua wewe ni mtaalamu 'kuntu' hilo neno halikushindi kulifasiri
He is not alone .....usijisumbue na huyo genta huu ni mwezi mchanga usishangae akikuuliza ni swali gani ilo ?? Mbona ajaliona kwenye huu Uzi .[emoji4] [emoji4]
 
Wakurya ni Ndugu zangu ( Poti ) kwakuwa tunatoka Mkoa mmoja na nawaheshimu na nawapenda sana tu ila sitokei katika Kabila lao na nadhani nimeshaweka bayana humu natokea Kabila gani ila yawezekana utakuwa na matatizo yako binafsi ya akili ambayo yanakusumbua hivyo unayatafutia unafuu wake Kwangu.
Ahahahhahahahahahahahh
 
Sijawahi kukutana na Swali la ' Kipumbavu ' na lililotoka kwa ' Mpumbavu ' anayewakilisha Familia na Koo ya ' Kipumbavu ' na aliyezaliwa ' Upumbavuni ' kama hili tokea nizaliwe na niwe na ufahamu.
Jibu swali mkuu....hoja kwa hoja
 
Back
Top Bottom