Gentamycine kwa wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya

Mkuu inaonekana Mimi Kulelewa na Rais Museveni tokea mwaka 1996 hadi 2001 pale Nakasero State House Kampala kumekuuma mno. Na kukuudhi zaidi sikuanzia kuzizoea Ikulu huko nchini Uganda bali hata nikiwa bado mdogo mdogo nimewahi pia kukaa Ikulu ya Tanzania hapo Magogoni wakati Hayati Mwalimu Nyerere bado hajang'atuka na kwa ushahidi wa hili watafute ' Bodyguards ' wote wa Mwalimu akina Mzee Mkanzabi, Tendewa, Mshamu aliyekuwa Mkuu wa PSU ila hivi majuzi amestaafu na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa RSO wa ambao kwa sasa Ajali za Barabarani zimekithiri mwenye ' initials ' za JK na Mzee Simon bila kuwasahau Watoto wa Mwalimu akina Dada Anna, Rose na Kaka Madaraka wote hawa wamenibeba sana tu.

Ukitaka zaidi ya haya sema nikutiririkie na nikusererekie zaidi. Sina ' ushamba / umbwigira ' na Ikulu na ' bata ' nilizokula katika nchi hii, Uganda, Rwanda na South Afrika wakati wa Hayati Mzee Mandela ' Madiba ' Wewe mpaka kuja Kufa ama Kufariki Kwako hutokuja kuzila au kuzipata.

Nimemaliza.
Inatosha mkuu ,usitoe sana madini
 
Naona mkuu umewatolea uvivu unawapa haki yao

Wamelilia wenyewe ' Wembe ' ngoja sasa ' uwakate ' vizuri Mkuu. Nina sifa kubwa mbili Ustaarabu sana kama nitakutana na Mstaarabu mwenzangu na Muhuni mno kama nikikutana na Mhuni mwenzangu. Na ' Principle ' yangu humu haijawahi na haitowahi kuja kubadilika ambapo nitakupokea kadri utakavyokuja ( kwa lugha iliyo nyoofu na nyepesi ni kwamba ukitishia tu Kujamba basi Mimi naharisha kabisa )
 
Hahahahaha me nakukubali
 
Mkuu inaonekana Mimi Kulelewa na Rais Museveni tokea mwaka 1996 hadi 2001 pale Nakasero State House Kampala kumekuuma mno. Na kukuudhi zaidi sikuanzia kuzizoea Ikulu huko nchini Uganda bali hata nikiwa bado mdogo mdogo nimewahi pia kukaa Ikulu ya Tanzania hapo Magogoni wakati Hayati Mwalimu Nyerere bado hajang'atuka na kwa ushahidi wa hili watafute ' Bodyguards ' wote wa Mwalimu akina Mzee Mkanzabi, Tendewa, Mshamu aliyekuwa Mkuu wa PSU ila hivi majuzi amestaafu na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa RSO wa ambao kwa sasa Ajali za Barabarani zimekithiri mwenye ' initials ' za JK na Mzee Simon bila kuwasahau Watoto wa Mwalimu akina Dada Anna, Rose na Kaka Madaraka wote hawa wamenibeba sana tu.

Ukitaka zaidi ya haya sema nikutiririkie na nikusererekie zaidi. Sina ' ushamba / umbwigira ' na Ikulu na ' bata ' nilizokula katika nchi hii, Uganda, Rwanda na South Afrika wakati wa Hayati Mzee Mandela ' Madiba ' Wewe mpaka kuja Kufa ama Kufariki Kwako hutokuja kuzila au kuzipata.

Halafu pamoja na ' exposure ' yangu hiyo hapo juu nipo vile vile na naishi maisha yangu ' very simple ' sipendi makuu wala kujionyesha kwani sina hiyo ' hulka ' isipokuwa na Mimi pia napambana ili nami nije kuwa na mafanikio kusudi nami Watoto wangu waje wale ' matunda ' yangu ya Kimalezi mema kama ambavyo nami nimepewa / nimelelewa na Wazazi wangu.

Nimemaliza.
huko kote mlikuwa mna`guess,ila huu sasa ndio uhaya wenyewe...
 
Inatosha mkuu ,usitoe sana madini

Mkuu kuna Watu humu wanataka ' tufunguke ' zaidi kisha wajione ' takataka ' na ' waumbuke ' vilevile. Wengine hatujazoea na hatujakuzwa katika ' Kujionyesha ' Mkuu na hadi hii leo naikumbuka Kauli ya Kibusara aliyoniambia Rais Museveni mwaka 1996 mwezi September aliponipandisha katika ' Chopper ' yake nikiwa na ' First Son ' wake Muhoozi Kainerugaba huku huyu ' sacked ' IGP mwenye matatizo sasa Kale Kayihura akiwa ni mmoja wa Walinzi wake katika Kikosi chake cha PPU ( Presidential Protection Unit ) kwenda kunitembeza Kijijini Kwake Rwakitura na katika ' ranch ' yake ya Ntungamo na kunitambulisha kwa Marehemu Baba yake Mzee Amos Kaguta ambapo aliniambia namnukuu...." Nawapenda sana Watanzania na Tanzania mmebarikiwa sana kumpata Kiongozi mkarimu, mwenye huruma na asiye na makuu Babu yako Mzee Mwalimu Nyerere hivyo nakuomba na Wewe hata ukija kuwa Msomi wa aina gani au kuwa na mafanikio ya aina gani maishani usipende kuishi kwa Kujionyesha bali muige Mwalimu ambaye hakupenda makuu na aliishi maisha yake tu ya kawaida hadi hivi leo......". Na mpaka leo hii GENTAMYCINE nayaishi hayo maneno ya Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni na hata ukija kuniona au ukiambiwa huyu ndiyo GENTAMYCINE hutoamini na utabaki kushangaa.
 
Aiseeee
 
huko kote mlikuwa mna`guess,ila huu sasa ndio uhaya wenyewe...

Ukinitajia Wahaya au ukiwataja Wahaya nafurahi sana kwani hao ndiyo ' Watani ' zangu wakubwa sana halafu ninawapenda mno kutokana na umakini wao katika maisha, maaria yao makubwa na uwezo wao wa akili / upeo. Nadhani kuna ambao walikuwa ' wakinibipu ' sasa nimeamua ' kuwapigia ' kabisa hivyo nawe unaweza sasa ukajumuika nao katika kuipokea ama kuisikiliza hiyo Simu niliyowapigia.
 
Mkuu kuna Watu humu wanataka ' tufunguke ' zaidi kisha wajione ' takataka ' na ' waumbuke ' vilevile. Wengine hatujazoea na hatujakuzwa katika ' Kujionyesha ' Mkuu na hadi hii leo naikumbuka Kauli ya Kibusara aliyoniambia Rais Museveni mwaka 1996 mwezi September aliponipandisha katika ' Chopper ' yake nikiwa na ' First Son ' wake Muhoozi Kainerugaba huku huyu ' sacked ' IGP mwenye matatizo sasa Kale Kayihura akiwa ni mmoja wa Walinzi wake katika Kikosi chake cha PPU ( Presidential Protection Unit ) kwenda kunitembeza Kijijini Kwake Rwakitura na katika ' ranch ' yake ya Ntungamo na kunitambulisha kwa Marehemu Baba yake Mzee Amos Kaguta ambapo aliniambia namnukuu...." Nawapenda sana Watanzania na Tanzania mmebarikiwa sana kumpata Kiongozi mkarimu, mwenye huruma na asiye na makuu Babu yako Mzee Mwalimu Nyerere hivyo nakuomba na Wewe hata ukija kuwa Msomi wa aina gani au kuwa na mafanikio ya aina gani maishani usipende kuishi kwa Kujionyesha bali muige Mwalimu ambaye hakupenda makuu na aliishi maisha yake tu ya kawaida hadi hivi leo......". Na mpaka leo hii GENTAMYCINE nayaishi hayo maneno ya Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni na hata ukija kuniona au ukiambiwa huyu ndiyo GENTAMYCINE hutoamini na utabaki kushangaa.
Tatizo watu humu wanapenda kukuchukulia poa sana,ila kwa ufafanuzi huo ,km hawajakuelewa basi hawawezi kukuelewa tena
 
Back
Top Bottom