Bora na wewe ukayeya tu
leo tunaliwa mbichi
mie nshatafsiri hadharani
Hii sredi inayeya kama airforce one
Na wewe kwa kimbelembele...
Niliogopa kufungua nisije kutana na madongo. Embu niongezee mistari nifanye tathmini, . . . . !
wewe nae...siku hizi hushikiki kwa kweli....lol
anaimba ' nipe rahaaaa mpenzi wangu nipe rahaaaaaaaaaa,nipe rahaaa na mimi nikupe zangu'lol.....hayo ndio mashairi,lol...mdedikeshie na wewe,haiwezekani ukataja afu ikawa ndio mwisho wa thread.....sie wapambe nuksi tungependa kuona mapenzi yenu yanagrow mpaka tunapata ki mini-jf greti thinka lol(sijui na mie nimeanza upambe?? hahhaahahah)
Hahahaha. . . . FUNNY.
Most people are only alive because it is illegal to shoot them...
Tuishie zetu mwaya...kachezea shilingi chooni, ishatumbukia...atajibebelea.Haya ngoja niende zangu kule nnakoLIKEwa japo kizushi. Kongosho baki na nduguyo, mwambie bahati aliyochezea hatokaa aipate tena.
Hahahaha. . .
Huo wimbo ninao, ngoja ntausikiliza vizuri baadae ila hamna cha mapenzi kugrow wala kukua.
Haya ngoja niende zangu kule nnakoLIKEwa japo kizushi. Kongosho baki na nduguyo, mwambie bahati aliyochezea hatokaa aipate tena.
dont do this to me
nshaasi, nshaambiwa na kihere
na kwa kispaniola kihere ni laana
maana ni mboga iliwayo wakati wa njaa tu
sasa nimeambiwa nina vihere viwili
eti kihere here
dah, ntakufa leyo!
Haya ngoja niende zangu kule nnakoLIKEwa japo kizushi. Kongosho baki na nduguyo, mwambie bahati aliyochezea hatokaa aipate tena.