Gentlemen commandments//the art of winning women psychology

1.Kama Una Mwanamke Unaempenda Usimuoneshe Kama Unampenda Sana au una muhitaji Sana

2.Ukitaka Mawasiliano naye Mpe Namba yako usichukue yake".
Kukiwa na Mazingira complicated ya kukulazimisha kuchukua yake Ukichukua Pitisha siku tatu au week ndio umtafute

3.Ukimproach Mwanamke akikutaa Usilazimishe mjibu Ok then Futa Namba

4.Ukiingia nae kwenye Mahusiano Punguza unalivyonavyo usiongeze usivyonavyo Kama Una labda Tsh 1,000,000 mwambie Una akiba ya 10,000 Kiufupi asijue exactly networth/pocket amount yako

5.Usimpigie Simu Zaidi ya mala 2 Kama hatopokea usimtafute mpaka siku akutafute yeye hata Kama utapita mwaka

6.Usitume Sms juu ya Sms asipojibu sms yako moja usitume nyingine mpaka ajibu

7.Usiombe msamaha Kama ujakosea

8.Kwenye mahitaji yake usimpe kilasiku na wala usimnyime kila siku.Ujaelewa hapo yaani namaanisha usiseme ndio Lila kitu na usiseme hapana kila kitu

9.Pia kuhusu kuhonga Usijitutumue Honga asilimia chini ya 20% ya hela yako ya ziada usizidishe hapo Kama 100,000 Usizidishe 20,000 una 50,000 Alafu Unahongo yote huo Ni uzwazwa

10.Kulilia Mwanamke Ni Umama Asipokuheshimu muache,Akiwa kilaza muache,Akiwa mswahili muache,Akiwa Anapenda Ubeyonce alafu anaishi keko magulumbasi muache,

Akiwa na nyodo muache,Akiwa Anatumia TU hela zako bila kuchangia Chochote kwenye utafutaji wako hata mawazo muache,Akiwa mvaa uchi uchi muache,Akiwa hataki shida muache".Akikuzingua muache Yaani usimbembeleze mtu we muache".

Mwanaume kulia lia kisa Mapenzi Ni dhambi kubwa Sana Mwanaume Ni kukaza Roho Unakua mgumu Kama chuma
Hizo principals zinajulikana, lakin kiuhalisia zinakuwa ni theory tu, ukipata PISI nzuri inakuvuruga bila kujijua na huwezi apply hata moja ya hizo kanuni, i.e utasikia yule amelogwa, amepewa limbwata wakati siyo kweli. Unakuta mwanaume msomi sana anaendesha na karembo ambako ni semi-illiterate, simply jinsi anavyompa MAUTAMU anapata extreme pleasure, huo ndyo uchawi wenyewe
 
Uko sahihi hapo kuwa namba 1 na 2 na 3 sometimes unapaswa kulegeza kamba kiasi maana kutongoza it's something like kumwaga sera zako Kwa Wananchi ktk kipindi Cha uchaguzi

Imagine umekutana na mtu ambaye haumtambui hakutambui then Unataka tu ghafla aanze kukuelewa pasipo kutumia nguvu ya ushawishi!!? Ni ngumu you need to give her time Kama ni mtu muelewa utaona changes

But also Kwa hizo sifa nyingine mbaya ulizo zioanisha endapo ukikutana nazo basi uko sahihi kumpiga mtu chini
.BTW MAPENZI HAYANA FORMULA KILA MTU ANA ZAKE Muhimu tu epuka kugeuzwa Boya
 
1.Kama Una Mwanamke Unaempenda Usimuoneshe Kama Unampenda Sana au una muhitaji Sana

2.Ukitaka Mawasiliano naye Mpe Namba yako usichukue yake".
Kukiwa na Mazingira complicated ya kukulazimisha kuchukua yake Ukichukua Pitisha siku tatu au week ndio umtafute

3.Ukimproach Mwanamke akikutaa Usilazimishe mjibu Ok then Futa Namba

4.Ukiingia nae kwenye Mahusiano Punguza unalivyonavyo usiongeze usivyonavyo Kama Una labda Tsh 1,000,000 mwambie Una akiba ya 10,000 Kiufupi asijue exactly networth/pocket amount yako

5.Usimpigie Simu Zaidi ya mala 2 Kama hatopokea usimtafute mpaka siku akutafute yeye hata Kama utapita mwaka

6.Usitume Sms juu ya Sms asipojibu sms yako moja usitume nyingine mpaka ajibu

7.Usiombe msamaha Kama ujakosea

8.Kwenye mahitaji yake usimpe kilasiku na wala usimnyime kila siku.Ujaelewa hapo yaani namaanisha usiseme ndio Lila kitu na usiseme hapana kila kitu

9.Pia kuhusu kuhonga Usijitutumue Honga asilimia chini ya 20% ya hela yako ya ziada usizidishe hapo Kama 100,000 Usizidishe 20,000 una 50,000 Alafu Unahongo yote huo Ni uzwazwa

10.Kulilia Mwanamke Ni Umama Asipokuheshimu muache,Akiwa kilaza muache,Akiwa mswahili muache,Akiwa Anapenda Ubeyonce alafu anaishi keko magulumbasi muache,

Akiwa na nyodo muache,Akiwa Anatumia TU hela zako bila kuchangia Chochote kwenye utafutaji wako hata mawazo muache,Akiwa mvaa uchi uchi muache,Akiwa hataki shida muache".Akikuzingua muache Yaani usimbembeleze mtu we muache".

Mwanaume kulia lia kisa Mapenzi Ni dhambi kubwa Sana Mwanaume Ni kukaza Roho Unakua mgumu Kama chuma
NI somo ambalo nimekua nikimbusha kila siku, siku hizi HAKUNA MAPENZI narudia siku hizi HAKUNA MAPENZI no money no service hutaki kamuulize Idriss yule chalii wa Chuga aliyedate na Wema Sepenga (Hondohondo).

Mm nikushauri jambo 1 delete, erase ikibidi format kabisa medula kuhusu MAPENZI. Concentrate on MONEY kaikisha mipango yako inaenda sawa, kula vizuri pambania ndoto zako zitimie japo kwa 70%.

Fanya mazoezi, kula vizuri usitazame picha za Nudity, usikae peke yako jichanganye, usipende kutazama wanawake hada wenye BIG NYASH jitahidi kila mwanamke awe kama dada yako na usishtuke kuona msichana mzuri.

Ukizingatia hayo kwa miaka 4 utafanikiwa kupata mwanamke mzuri wa haja ya moyo wako, wanawake watakufata mpaka utaona kero utaona ni kawaida halafu hutakua na shobo nao.

Ukimaliza njoo nishukuru hata japo kwa router ya Airtel ile ina kasi ya ajabu vibaya mno😂
 
Back
Top Bottom