Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 561
- 1,149
- Thread starter
-
- #21
πππMkuu mi nakushauri utafute tu hela!
Maana sisi boda boda hatuwezi waacha salama mademu zenu.
πππ Kwani nimeachika lini?Pole kaka utapenda tena, hayana formula haya,Ila chukua tahadhari tu.
πππ Bahiri Pro max una maanisha ukiwa na 10000 uhonge 200πYaani uhonge 20% yote hiyo, Mungu mwenyewe amesema 10% kuhonga mwisho 2%
Na Mimi Na muunga MkonoπKuna jamaa hapo juu amesema tafuta hela, namuunga mkonoπ€£π€£
Hapana Bado Bado sanaUshapigwa na jiwe la utosi tayari
Hapana me sio mtoto wa chuoNaona mshamaliza UE.
SawaHapana Bado Bado sana
Ndio Mwenyekit wetu Akon alituasa sana juu ya hiloπππ Bahiri Pro max una maanisha ukiwa na 10000 uhonge 200π
Mm nimeonyesha1.Kama Una Mwanamke Unaempenda Usimuoneshe Kama Unampenda Sana au una muhitaji Sana
πππBora uwe na uhusiano na ngedere.
Pangua gia taratibu mkuu Mwanamke hatakiwi Kujua asilimia zote za Upendo wako kwake anatakiwa asikueleweMm nimeonyesha
Nifanyaje sasa
Naam Hakika mkuuWell and good wanaume wanaojitambua wanazidi kuongezeka.
#KATAA NDOA,PESA ZAKO WEKEZA UTT!!
πππNdio Mwenyekit wetu Akon alituasa sana juu ya hilo
Hizo principals zinajulikana, lakin kiuhalisia zinakuwa ni theory tu, ukipata PISI nzuri inakuvuruga bila kujijua na huwezi apply hata moja ya hizo kanuni, i.e utasikia yule amelogwa, amepewa limbwata wakati siyo kweli. Unakuta mwanaume msomi sana anaendesha na karembo ambako ni semi-illiterate, simply jinsi anavyompa MAUTAMU anapata extreme pleasure, huo ndyo uchawi wenyewe1.Kama Una Mwanamke Unaempenda Usimuoneshe Kama Unampenda Sana au una muhitaji Sana
2.Ukitaka Mawasiliano naye Mpe Namba yako usichukue yake".
Kukiwa na Mazingira complicated ya kukulazimisha kuchukua yake Ukichukua Pitisha siku tatu au week ndio umtafute
3.Ukimproach Mwanamke akikutaa Usilazimishe mjibu Ok then Futa Namba
4.Ukiingia nae kwenye Mahusiano Punguza unalivyonavyo usiongeze usivyonavyo Kama Una labda Tsh 1,000,000 mwambie Una akiba ya 10,000 Kiufupi asijue exactly networth/pocket amount yako
5.Usimpigie Simu Zaidi ya mala 2 Kama hatopokea usimtafute mpaka siku akutafute yeye hata Kama utapita mwaka
6.Usitume Sms juu ya Sms asipojibu sms yako moja usitume nyingine mpaka ajibu
7.Usiombe msamaha Kama ujakosea
8.Kwenye mahitaji yake usimpe kilasiku na wala usimnyime kila siku.Ujaelewa hapo yaani namaanisha usiseme ndio Lila kitu na usiseme hapana kila kitu
9.Pia kuhusu kuhonga Usijitutumue Honga asilimia chini ya 20% ya hela yako ya ziada usizidishe hapo Kama 100,000 Usizidishe 20,000 una 50,000 Alafu Unahongo yote huo Ni uzwazwa
10.Kulilia Mwanamke Ni Umama Asipokuheshimu muache,Akiwa kilaza muache,Akiwa mswahili muache,Akiwa Anapenda Ubeyonce alafu anaishi keko magulumbasi muache,
Akiwa na nyodo muache,Akiwa Anatumia TU hela zako bila kuchangia Chochote kwenye utafutaji wako hata mawazo muache,Akiwa mvaa uchi uchi muache,Akiwa hataki shida muache".Akikuzingua muache Yaani usimbembeleze mtu we muache".
Mwanaume kulia lia kisa Mapenzi Ni dhambi kubwa Sana Mwanaume Ni kukaza Roho Unakua mgumu Kama chuma
Hauwezi kuvumilia kabisa π€£π€£Nimuone, anivutie alafu number nisichukue, nimpe yangu aaah we!.
Kwa kifupi kila mmoja atumie njia zake, ila kwenye hela na kutokuwa weak nakusapoti.
π€£Kiongozi, pole kwa mkasa uliokukuta.
NI somo ambalo nimekua nikimbusha kila siku, siku hizi HAKUNA MAPENZI narudia siku hizi HAKUNA MAPENZI no money no service hutaki kamuulize Idriss yule chalii wa Chuga aliyedate na Wema Sepenga (Hondohondo).1.Kama Una Mwanamke Unaempenda Usimuoneshe Kama Unampenda Sana au una muhitaji Sana