Simp ndio zezeta, Gentleman ndio Mwanaume Rijali.Mara nyingi watu huchanganya kati ya masimp na ma’gentlemen kwasababu ya ufahamu finyu wa hawa watu wanawakilisha haiba gani. Simps na gentlemen ni viumbe wawili tofauti ambao hawafanani hata kidogo katika nature ya matendo yao.
Zifuatazo ni tofauti kati ya simp na gentlemen na ni vema kuzifahamu ili ziweze kusaidia watu kuwatambua na kujitathimini ili kujua yupi ni yupi;
Malengo:
Dhamira na Matendo : Simp huwa anafanya vitu kwa mwanamke au wanawake ili kupata sifa au kuonekana, ridhaa na uhalali au kupata nafasi ya kupiga show,ukarimu wake ni wa kimaslahi zaidi. Gentlemen anafanya mambo yake kwa kujiheshimu na kutenda kwa namna alivyo na sio kupretend. Ukarimu wake unalenga masilahi ya mwanamke anayekutana naye ila hatovuka mipaka yake kumsaidia ataishia pale uwezo na nia yake inapoishia bila kuwa na malengo au dhamira nyingine nyuma ya matendo yake. Mfano, anaweza mpatia pesa msichana na asiwe na haja wala sababu ya kulala nae.
Kujiheshimu: Simp anaweka rehani utu wake,jina lake,na heshima yake ili tu kumfurahisha mwanamke na kumpa anachokitaka. Gentleman anaheshimu wanawake lakini hawezi kuvuka mipaka ya kuweka rehani utu na heshima yake ili kumfurahisha mwanamke au kumridhisha.
Balance katika mahusiano: Simp anapenda kumuendekeza mwanamke na kumjengea mtazamo kuwa yupo chini yake na yupo tayari kutumika au kudhalilika ili mradi tu huyo mwanamke asimuache. Gentleman anamheshimu mwanamke kwa kiwango kile kile cha heshima na utu anachopewa. Kama ikitokea mwanamke akamkosea adabu au kumdharau hawezi ruhusu hayo mahusiano kuendelea.
Msingi wa hisia: Simp hujenga msingi wa hisia zake kwa hofu ya kuachwa,kutojiamini, kujidharau, na kujiona yeye ni second kwa mwanamke na kuwa desperate kupata mahusiano na mwanamke. Gentlemen huendesha fikra za mahusiano kwa kujiamini,kupevuka kiakili,kuheshimu na kujiheshimu, na huchagua kuwa kiongozi wa mwanamke bila kuburutwa.
Mapokezi ya wanawake: simp kwa wanawake huonekana ni dhaifu,mjinga,mzembe na kifaa au kitu cha kutumika kwaajiri ya kutatua matatizo binafsi kama za pesa au place holder wakiwa wanasubiria mtu wanaemhitaji. Gentleman huonekana ni mtu mwenye thamani na wanawanawake humheshimu kwa mipaka yake na principles zake bila kumletea michezo ya kitoto au dharau na kumjaribu kwa lolote lile ambalo wanajua halitakuwa na maslahi kwake.
Kwa kifupi, simp huweka rehani utu na heshima yake ili kupendwa wakati gentleman hukaa na utu wake na kutunza heshima yakena kupendwa kwa namna alivyo.
Vijana acheni kusimp na ujifunze kuwa gentleman.
Hapo unakuwa umezingatia kanuni ya kuishi kwa kanuni zako. Kwamba unaweka pesa unapewa gemu unapita hivi ila sio kununua mahusiano kwa gharama kubwa ili upendwe kwa kulipia. Wewe unaweza?Na kuna sisi ambao tunatoa ela tunakula vyetu alafu kila mtu na nja yake hatuna mda na mambo ya kuheshimishana. Je, tunaingia kundi gam?
Saidia fundi
Hapo utakuwa umechanya mambo. Jambazi akivaa uniform za polisi hawezi kuwa polisi halali. Hivyo basi hata muhuni anayejifanya ni gentleman hawezi kuwa gentleman kwasababu gentleman anaenda kwa misimamo na misingi maalumu sio kuigiza.Kwa uzoefu wangu simp na gentle wote lengo lao ni kupiga na wameshapiga wether walisimp au waligentle.
Kikubwa ni kuwa vile ulivyo na kuboresha mbinu zako huku ukitafuta hela maana ndio msingi mkuu
Unaweza kufafanua ni wapi tunapocomplicate au ni wewe unachukulia mambo ya msingi kirahisi kiasi kwamba unataka mambo muhimu na ya msingi yavunjwe vunjwe yawe madogo ili iwe rahisi kwako kuishi bila kufuata misingi?🤔 Eti baba?Waswahili mnateseka Sana life is very simple and easy Ila mna -Complicate mambo ambayo hayana msingi
Ok ila bado waweza kufanya hayo yote na upande wa pili ukatake for granted your gentle behavior hiyo haiwezi kukuregard as simp mfano wa Kaka mcheza mpira!?Hapo utakuwa umechanya mambo. Jambazi akivaa uniform za polisi hawezi kuwa polisi halali. Hivyo basi hata muhuni anayejifanya ni gentleman hawezi kuwa gentleman kwasababu gentleman anaenda kwa misimamo na misingi maalumu sio kuigiza.
So kwa mujibu wa maelezo yako, gentleman hawezi kuwa na intentions za kumtumia mtu kistarehe kwasababu inakwenda kinyume na maadili na misingi yake. Gentleman anatafuta mwanamke kwa sababu za kimahusiano rasmi na sio wizi wizi.
Anatafuta mwanamke wa kufanya nae kazi kama mshirika wa kike na hatachanganya kazi na mapenzi hata ikitokea fursa ya kupiga yeye anatazama kesho itakuwaje akilala ba coworker si ataharibu kazi ?
So ana simamia principles ya kutotumia mtu kwa maslahi binafsi, kucontrol tamaa zake za kimwili zisiharibu akili mwishowe zisiharibu malengo na heshima yake, atalinda jina lake na first impression yake na kadhalika.
Kuwa gentleman lazima utembee na zile codes of honor. Usipotembea nazo wewe hufai kujitambulisha kama gentleman.
Nitakuwekea uzi wa codes za gentleman hapa upate kufahamu.
Nadhani kuna uzi nimefafanua hili. Kuwa usimp una elements au dalili na viashiria vyake.Tatizo uwe simp au uwe gentle bado utachapiwa tu. As long as kuchapiwa kupo kuwa vyovyote jinsi ulivyo wala hakuna utofauti kwa mwanamke. Wakuu Muhimu upige hiyo mbususu fata yako it doesn't matter akuone simp au gentle all are the same to women
Gentlement na simp ni watu wawili tofauti, mmoja ana self respect mwingine hanaKwa uzoefu wangu simp na gentle wote lengo lao ni kupiga na wameshapiga wether walisimp au waligentle.
Kikubwa ni kuwa vile ulivyo na kuboresha mbinu zako huku ukitafuta hela maana ndio msingi mkuu
Unafikiaje hatua ya mwanamke kutake for granted ukarimu wako kwa mfano?Ok ila bado waweza kufanya hayo yote na upande wa pili ukatake for granted your gentle behavior hiyo haiwezi kukuregard as simp mfano wa Kaka mcheza mpira!?
Thank you. Umeiweka vizuri sana hii.Gentlement na simp ni watu wawili tofauti, mmoja ana self respect mwingine hana
Simp hana kabisa, yupo tayari kulamba matako ya mwanamke ili apate anachokitaka, wakati gentlemen haendi huko ata mpa mwanamke heshima yake, ila the moment mwanamke anazingua anapiga chini faster
Kwa mfano unapata faida gani kulala na wanawake 3 tofauti kila siku. Na unaspend kuwafanya wakutafute tena?Kwa uzoefu wangu simp na gentle wote lengo lao ni kupiga na wameshapiga wether walisimp au waligentle.
Kikubwa ni kuwa vile ulivyo na kuboresha mbinu zako huku ukitafuta hela maana ndio msingi mkuu