Ndoto ya Kila mwanamke kwenye mahusiano, ni kumpata SIMP na Sio GENTLEMAN.
Lengo ni aukalie usukani wa mahusiano Kwa manufaa yake binafs,
-akipiga tu chafya, UNATETEMEKA
-akiomba kitu, unatoa bila kuhoji.
-akikwambia mama mzazi Ako anakuroga, unamfukuza mama Ako nyumbani
-akikwambia saa 1 kamili uwe nyumbani, unatii bila kuhoji
-akikwambia anataka cheni, UNAUZA gari ukamnunulie cheni
-akikwambia anataka ukalipe mahari kwao, anajipangia na Bei kabisa
Kila Wanawake Huwa wanajiskia viby sn pale mwanaume wake anapokua na misimamo.