Gentlemen na simp huchanganywa ila ni watu wawili tofauti

Umenena mkuu hata kama hujamla akileta dharau piga chini, lakini kuna watu wanakomaaga eti kisa hajamla matokeo yake kupoteza pesa na kudharaulika
Kweli kabisa mkuu, kwanza wanawake wanaishi Leo, mtu unaweza kufanya SIMP ukahudumia lengo tu upate k,na mwishowe unatumia tu kwa kutambua kuwa umetumia gharama kubwa sana then baada ya hapo mwanamke hakukumbuki kwa chochote , kifupi ni kuwa SIMP mwisho wake ni maumivu Makali na majuto na kuonekana ZEZETA
 
Kabisa. Na wengi huishia kufanya matukio ya aibu. Kunywa sumu, kujaribu kujinyonga, kufilisika, kugombana na wanaume wenzake au majirani, kuaibika hadharani, kuonekana kituko yaani.
 
Cha kushangaza akiona kaka ake au mtoto wake wa kiume anasimp kwa mwanamke mwingine anakasilika. Women wants their brother and son to be alpha, but their boyfriend and husband to be simp
 
Hapo ndo nashindwaga kabisa kuwaelewa wanawake
Cha kushangaza akiona kaka ake au mtoto wake wa kiume anasimp kwa mwanamke mwingine anakasilika. Women wants their brother and son to be alpha, but their boyfriend and husband to be simp
 
Chai
 
Hapo ndo nashindwaga kabisa kuwaelewa wanawake
Misamamo ya kiume wanaijua na wanaielewa ila wanakua wakali au wanabadilisha narratives kama misimamo iyo inakinzana na masilahi yao.

Mwanamke akikwambia umkubali mtoto wa kubambikiwa kwa sababu uyo mtoto hana kosa. Jiulize swali moja tu, kaka ake au mtoto ake wa kiume akibambikiwa mtoto atampa ushauri huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…