Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Upo sahihi,Kama anawadai, basi Yuko sahihi. Ila anachokosea ni njia aliyotumia kudai hiyo haki yake,maana anajiumiza yeye. Kama ingekuwa ndio effective way ya kudai chake, basi angekuwa ashapewa.
Benchi linaua sana viwango vya wachezaji. Anaumia yeye.
Timu za kiafrica na madeni, ni kama mapacha. Yanga wenyewe kuna kipindi tulikuwa tunatembeza bakuli.Upo sahihi,
Ngoja tuone watamalizana vipi bila kuumizana
Amechagua njia hiyo kudai haki yake hata kama sio "star" kama alivyomwita.Mgomo nayo ni njia ya kudai haki maana mpira ni issue ya kisaikolojia hata akirudi kwenye timu hawezi ku-perform vizuri. Ukute yupo analima mananasi mida hii sie tunamwona amepoteaNyie mdanganyeni tu George
Mtoa mada Ana points Sana tu
Sio kitu cha kujivunia,Timu za kiafrica na madeni, ni kama mapacha. Yanga wenyewe kuna kipindi tulikuwa tunatembeza bakuli.
Watu wake wakaribu wamshauri arudi uwanjani
Mitaa yangu hiyo Genta ujue.Jimama la Tabata Kimanga alilolipata limeshampotezea Dira yake ya Kucheza Soka na ndiyo ameshapotea hivyo.
Shida sie Waafrika wengi tunaamini zaidi kwenye utimamu wa mwili bila kuangalia upande wa kiakili aka kisaikolojia, unakuta mtu anafanya kitu kwa kuburuzwa huku moyoni ana vitu vinamsonga.Sio kitu cha kujivunia,
Wachezaji wakiwa hawapati stahiki zao hata Morali uwanjani inakua zero ndio maana hatufiki mbali
Hatujivunii maana kinarudisha nyuma maendeleo ya mpira. Ila Bado haikwepeki uchumi wetu upo chini. Alitaka alipwe hela nyingi, itabidi aende Simba,Yanga au Azam. Ila atleast Azam anaweza akapata nafasi ya kuendeleza kipaji chake.Sio kitu cha kujivunia,
Wachezaji wakiwa hawapati stahiki zao hata Morali uwanjani inakua zero ndio maana hatufiki mbali
Hatujivunii maana kinarudisha nyuma maendeleo ya mpira. Ila Bado haikwepeki uchumi wetu upo chini. Alitaka alipwe hela nyingi, itabidi aende Simba,Yanga au Azam. Ila atleast Azam anaweza akapata nafasi ya kuendeleza kipaji chake.
Ila akienda Simba au Yanga, hatopata nafasi za kucheza mara kwa mara.
Wachezaji wa kitanzania, ukimlipa hela kidogo anagoma kucheza, ukimlipa hela nyingi, anavimba makwapa, analeta ustaa, sterehe kwa wingi then kiwango kinashuka.
Huwaga Natamani pangekuwa na association ya kuwapa msaada wa kimawazo wachezaji wazawa, hii itasaidia kumaintain
Alhamdulillah kama wameyamaliza, hua naumia sana nikionq Mtu anadai Haki yake na hakuna wa kumsikiliza anaishiwa kubezwa na kudhihakiwa,Shida sie Waafrika wengi tunaamini zaidi kwenye utimamu wa mwili bila kuangalia upande wa kiakili aka kisaikolojia, unakuta mtu anafanya kitu kwa kuburuzwa huku moyoni ana vitu vinamsonga.
Ila wameshakaa chini na kuyamaliza na amesharudi kwenye timu (taarifa za leo leo hizi)
Kwani mashabiki wa yanga wakienda wapi kipindi Boko na kagere wanachukua kiatuSafari hii mashabiki wa simba sijui wataenda na nani kwenye vita ya kugombania kiatu cha ufungaji bora!!
Malipo haudai kujificha umekaa kimya!au Hana mkataba? hayo mambo CAF/FIFA wanayataka,peleka kesi huko upate ruhusa ya kukaa home au cheza huku umewashtaki.aache ujingaKosa lake nikudai malipo yake?
Wangapi wengine wanadai malipo yao?Ni yeye peke yake anadai hapo Geita?
Umeshiriki kumuharibu Kwa kulazimisha na kushawishi aonekane mchezaji mkuuubwa wakati wa kawaida Sana. Mpole halisi ni yule anayechezea Taifa stars, hayo mapambo mengine ni kumuongezea asichokuwa nacho.George Mpole wewe ni kijana uliyevimba kichwa baada ya kuwa mfungaji bora msimu uliopita.
Picha lilianza mechi ya kwanza ya ligi shidi ya Simba, wewe ukajificha kwa makusudi eti hautakuwepo kwa maana eti utokee dakika za mwisho kama 'suprise' kwa Simba na bado hukufanya chochote, hata :shot on target'!
Wenzako wanasafiri kimataifa wewe unajifanya unaumwa ukaacha kwenda! Haya, kwasasa nasikia umejitoa kwenye timu eti kuna pesa unadai!
Hivi hapo Geita ni wewe peke yako tu unadai? Mbona unajifanya maarufu kabla hata ya umaarufu wenyewe?
Kwa akili zako ndogo na finyu unadhani dirisha dogo unaweza kwenda Simba au Yanga? Kwa taarifa yako hata Ihefu huwezi kwenda!
Rudi ongeza bidii kwenye timu, kama ipo ipo tu lakini siyo huku kulazimisha umaarufu, utakuja kuumbuka. Au kama una pasi ya kusafiria na viza nenda Uarabuni ukacheze ligi daraja la pili huko.
Hivi unategemea mwakaji kuna mchezaji anaitwa Mpole? Labda ibaki Tabia ndo aitwe Mpole.Nyie mdanganyeni tu George
Mtoa mada Ana points Sana tu
Aende kazini huko aache uzururajiKosa lake nikudai malipo yake?
PhiriSafari hii mashabiki wa simba sijui wataenda na nani kwenye vita ya kugombania kiatu cha ufungaji bora!!