Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,818
- 7,940
Huyu mkulungwa ukiangalia hulka zake, sio mtu wa kutaka madaraka kwa nguvu, na sio mtu wa kubeza raia. Na ni wazi na dhairi kuwa CCM bado kuna watu wanataka mabadiliko.
Mchizi ni kama ana spiriti ya Magufuli hasa katika utendaji kazi, ukisikiliza hotuba zake ndipo utagundua mwamba ni anajua kutenda kazi.
Mifumo ndio inaua Tanzania kufika pale kwa manufaa ya majangili wachache ambao wameweka mizizi serikalini.
Mimi binafsi naona anafaha zaidi kama atakuwa Rais
NI maoni tu, ruksa kutoa mapovu, nitayatumia kufulia boksa (Pikipiki)