Huyo Simbachawene angeweza hata kuwa waziri mkuu bora sana kuliko huyo Mwigulu.Mchizi ni kama ana spiriti ya Magufuli hasa katika utendaji kazi, ukisikiliza hotuba zake ndipo utagundua mwamba ni anajua kutenda kazi.

Kwahiyo huyo Simbachawene gafla amegeuka kuwa kiongozi mzuri?Simbachawene mie Toka 2023 niligundua Yuko poa, huwezi mlinganisha na kina Mwigulu
Asante sana.Ccm hatuitaki hata ashuke malaika akiwa ccm hatumtaki!
Ndio ili adhibiti habari. Zitolewe za Kusifu tu.Eti bashite nae waziri wa habari daah tz ni ngumu sana