George Simbachawene anafaa kabisa kuwa Rais wa JMT

Watu wa hovyo kabisa. Mnaona taifa ni kama Bongo movie kwamba sasa tunatafuta star wa kuigiza kama raisi.

Hii ni inchi. Watu wanazeeka saa hii hatima ya maisha yao ya uzee haieleweki. Mifumo iko hovyo sio ya kifedha,sio ya kisheria,sio ya kiusalama,sio ya kihaki,sio ya kiuongozi,yote ni hovyo thanks to CCM na useless governance for the past 60+ years.

Leo bado unakuja hapa kutuambia tunahitaji kibwengo mpya kutoka mtumbwi wa vibwengo wale wale wa siku zote upata mabadiliko ya kitaifa?

Mzee,fanya kama unakuwa serious na taifa.
 
High Emotional Quotient anayo wala sio uongo! Hana majazba na mauongo na hila nyingi za wazi kama masisiemu mengine!
Kuna Simbachawene na Prof. Mkenda, hawa nafikiri uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa sana.

Kama Simbachawene hajawekwa pembeni kwaajili ya kuandaliwa kwa nafasi kubwa zaidi ya aliyokuwa nayo, basi nitaanza kuamini kama taifa tuna tatizo kubwa zaidi ya tunavyofikiri. Sisemi hivi kwasababu za utendaji wake bali ni kwa hotuba zake tangu ateuliwe kuwa Waziri.
​
 
Huyu mkulungwa ukiangalia hulka zake, sio mtu wa kutaka madaraka kwa nguvu, na sio mtu wa kubeza raia. Na ni wazi na dhairi kuwa CCM bado kuna watu wanataka mabadiliko.

Mchizi ni kama ana spiriti ya Magufuli hasa katika utendaji kazi, ukisikiliza hotuba zake ndipo utagundua mwamba ni anajua kutenda kazi.

Mifumo ndio inaua Tanzania kufika pale kwa manufaa ya majangili wachache ambao wameweka mizizi serikalini.

Mimi binafsi naona anafaha zaidi kama atakuwa Rais

NI maoni tu, ruksa kutoa mapovu, nitayatumia kufulia boksa (Pikipiki)
Chini ya Uwaziri wake, sheria ya usalama wa taifa ilirekebishwa na kuwawekea kinga Maafisa Usalama.

Alisema wakati usalama wanatekeleza majukumu yao, risasi inaweza risasi inaweza ikafyatuka bahati mbaya na kumdhuru au kumuua mtu. Hivyo ni vizuri Maafisa Usalama wawekewe kinga dhidi yale makosa watakayoyatenda wakitimiza majukumu yao. Nonsense.

Maboresho hayo pia yamewapa Usalama wa Taifa ruhusa ya kukamata. Ruhusa hii imepelekea kuwepo na vikosi vya ukamataji vinavyoitwa "Wasiojulikana".

Mtu huyu hafai hata kuwa Mwenyekiti wa nyumba kumi, achilia mbali Urais.

JPM hakuwa kiongozi bora, hivyo mtu kuwa na element za JPM hakumfanyi kuwa kiongozi bora. Kama unamtaka mtu anayefanana na pengine kumzidi JPM basi ni Mwigulu. Kama kwako hao ni viongozi bora, utakuwa una changamoto.

Kama CCM ina watu ambao pengine tunaweza kuwafikiria kwa nafasi ya Urais basi ni watu aina ya Geofrey Mwambe na Prof Mkenda. The rest are just other leaders.
 
Watanzania mataahira mara hamuitak CCM mara simba cha wene anafaha kua Rais

Mpo kama malaya wa buza hamjui mnataka nini
Hao watanzania ni kina nani unaowazungumzia, mimi nimetoa maoni yangu personally... maoni yangu si msoni ya watanzania wengine.

Wewe ndio utakuwa Tahira bila Shaka, naona unakurupuka tu... acha kujumuisha maoni yangu kwa watanzania wengine
 
Huyu mkulungwa ukiangalia hulka zake, sio mtu wa kutaka madaraka kwa nguvu, na sio mtu wa kubeza raia. Na ni wazi na dhairi kuwa CCM bado kuna watu wanataka mabadiliko.

Mchizi ni kama ana spiriti ya Magufuli hasa katika utendaji kazi, ukisikiliza hotuba zake ndipo utagundua mwamba ni anajua kutenda kazi.

Mifumo ndio inaua Tanzania kufika pale kwa manufaa ya majangili wachache ambao wameweka mizizi serikalini.

Mimi binafsi naona anafaha zaidi kama atakuwa Rais

NI maoni tu, ruksa kutoa mapovu, nitayatumia kufulia boksa (Pikipiki)

Huyu mkulungwa ukiangalia hulka zake, sio mtu wa kutaka madaraka kwa nguvu, na sio mtu wa kubeza raia. Na ni wazi na dhairi kuwa CCM bado kuna watu wanataka mabadiliko.

Mchizi ni kama ana spiriti ya Magufuli hasa katika utendaji kazi, ukisikiliza hotuba zake ndipo utagundua mwamba ni anajua kutenda kazi.

Mifumo ndio inaua Tanzania kufika pale kwa manufaa ya majangili wachache ambao wameweka mizizi serikalini.

Mimi binafsi naona anafaha zaidi kama atakuwa Rais

NI maoni tu, ruksa kutoa mapovu, nitayatumia kufulia boksa (Pikipiki)
Maisha yake anayoishi hata mirdi/biashara za familia wanazofanya si za kifisadi ni za kawaida huwezi amini ni mtu mwenye cheo kikubwa. Anafaa, ni mvumilivu, ana busara na hukubali makosa Kuna issue mbili amewahi kuzifanya ambazo zinaonyesha ni muadilifu.
1. Kujitenga na kijana wake aliewavimbia polisi traffic na kudai ni mtu mzima awajibike kwa matendo yake.
2. Kukiri kumsaidia kijana mmoja nafasi ya kazi ya utendaji kumbe alishawahi kuwa mtumishi wa Serikali alieondolewa kwa vyeti feki.
 
Watu wa hovyo kabisa. Mnaona taifa ni kama Bongo movie kwamba sasa tunatafuta star wa kuigiza kama raisi.

Hii ni inchi. Watu wanazeeka saa hii hatima ya maisha yao ya uzee haieleweki. Mifumo iko hovyo sio ya kifedha,sio ya kisheria,sio ya kiusalama,sio ya kihaki,sio ya kiuongozi,yote ni hovyo thanks to CCM na useless governance for the past 60+ years.

Leo bado unakuja hapa kutuambia tunahitaji kibwengo mpya kutoka mtumbwi wa vibwengo wale wale wa siku zote upata mabadiliko ya kitaifa?

Mzee,fanya kama unakuwa serious na taifa.

Well said. Huwezi kuwa mwadilifu ukapokea uteuzi wa Samia after Oct 29.
 
Huyu mkulungwa ukiangalia hulka zake, sio mtu wa kutaka madaraka kwa nguvu, na sio mtu wa kubeza raia. Na ni wazi na dhairi kuwa CCM bado kuna watu wanataka mabadiliko.

Mchizi ni kama ana spiriti ya Magufuli hasa katika utendaji kazi, ukisikiliza hotuba zake ndipo utagundua mwamba ni anajua kutenda kazi.

Mifumo ndio inaua Tanzania kufika pale kwa manufaa ya majangili wachache ambao wameweka mizizi serikalini.

Mimi binafsi naona anafaha zaidi kama atakuwa Rais

NI maoni tu, ruksa kutoa mapovu, nitayatumia kufulia boksa (Pikipiki)
Hafai kwa sababu ni chawa kama chawa wengine.
 
Back
Top Bottom