Hafai hata mjumbe wa nyumba kumi. CCM yeyote ni mchawi tu , otherwise angalitoka zamani uchawini, lakini bado yumo Ndani anaendelea kula nyama Za watuHuyu mkulungwa ukiangalia hulka zake, sio mtu wa kutaka madaraka kwa nguvu, na sio mtu wa kubeza raia. Na ni wazi na dhairi kuwa CCM bado kuna watu wanataka mabadiliko.
Mchizi ni kama ana spiriti ya Magufuli hasa katika utendaji kazi, ukisikiliza hotuba zake ndipo utagundua mwamba ni anajua kutenda kazi.
Mifumo ndio inaua Tanzania kufika pale kwa manufaa ya majangili wachache ambao wameweka mizizi serikalini.
Mimi binafsi naona anafaha zaidi kama atakuwa Rais
NI maoni tu, ruksa kutoa mapovu, nitayatumia kufulia boksa (Pikipiki)
Hujui unaongea niniWatanzania mataahira mara hamuitak CCM mara simba cha wene anafaha kua Rais
Mpo kama malaya wa buza hamjui mnataka nini
Kwahyo kwasasa CCM na watu wake ni wema?Hujui unaongea nini
Hakuna chama ambacho kiongozi wake hajatanguliza maslahi mbele
Mm pia naona anafaa na ni kiongozi bora.
1. Anaongea bila jazba
Tofaut kabisa kina Chalamila na Mwigulu (ila inaonekana wanataka viongozi wenye jazba).
2. Alielekeza Polisi kukamata watu kwa utaratibu bila vurugu, bila kuvaa mask na bila kuteka (watoe taarifa kwa familia husika kuwa tunamkamata flan na atakuwa kituo flan)
3. Nilishasikiliza hutuba zake 4 ano hivi. Ni kiongozi anayejua kupanga hoja zake na zikasikika vizur.
Bahat mbaya kwake Wana usalama wameona hatosh.
Sasa kama mteuaji ni back bencher ulidhani atawateua kina nani zaid ya marafiki zake? Mtu una Elimu ya hapa na pale unadhani kuna jipya gani utaleta zaod ya vile vile tu? Huwezi kufeli shule uje kufaulu ukiwa mkubwa kwenye mambo yale yale yanayohitaji akili uliyoikosa shuleni, kinyume chake ukafanye biashara zako ila haya ya kitumia akili nyingi utaboronga tu, ndio hivyo unaona NW wa Elimu naye ana Elimu ya hapa na paleEti bashite nae waziri wa habari daah tz ni ngumu sana
Ila sio kupitia ccmHuyu mkulungwa ukiangalia hulka zake, sio mtu wa kutaka madaraka kwa nguvu, na sio mtu wa kubeza raia. Na ni wazi na dhairi kuwa CCM bado kuna watu wanataka mabadiliko.
Mchizi ni kama ana spiriti ya Magufuli hasa katika utendaji kazi, ukisikiliza hotuba zake ndipo utagundua mwamba ni anajua kutenda kazi.
Mifumo ndio inaua Tanzania kufika pale kwa manufaa ya majangili wachache ambao wameweka mizizi serikalini.
Mimi binafsi naona anafaha zaidi kama atakuwa Rais
NI maoni tu, ruksa kutoa mapovu, nitayatumia kufulia boksa (Pikipiki)
Rais wa nchi na wakuitoa ilipo kwenda kanani yupo mahabusu , huu ndo ukweliHuyu mkulungwa ukiangalia hulka zake, sio mtu wa kutaka madaraka kwa nguvu, na sio mtu wa kubeza raia. Na ni wazi na dhairi kuwa CCM bado kuna watu wanataka mabadiliko.