Hawa ni aina ya viongozi wa taasisi ambao wanalitafuna taifa la Tanzania.Na kwa manufaa ya wengi, wacha niambatanishe post yangu ya awali hapa...
In short, Simbachawene sio tu amelidhalilisha Jeshi la Polisi, bali Wizara ya Mambo ya Ndani na serikali kwa ujumla...
Ni mtu ambae ningetarajia asubuhi ya October 12 watu wajadili ama kutumbuliwa kwake au ku-resign kwake!! Katikati ya mjadala wa GPO, Simbachawene anatuambia kumbe serikali inaajiri watu wasio na uwezo kielimu na ndo maana wanashindwa kuifahamu hata GPO!
Ushaambiwa jana kuwa kwetu hakuna ukabila anachagua tuKonda wa mabasi anakuwa je Waziri kwenye serikali.... Then we are lost.
Jamaa huyu hana tofauti na MwakyembeAti msomi wa Div 1 hawezi kulinda benki!!!!
[emoji848]
Inatokea tanzania tuHuyu Waziri kazingua sana Kauli yake hii
Freeman alipotoka JKT aliajiriwa kama mlinzi pale bot!Wengi katika madaraka hawakugusa JKT , yuko mwingine kule Zanzibar , hata hivyo namtetea Simbachawene , huyu alikuwa konda wa mabasi ya mikoani pale stendi , isingekuwa rahisi kwake kupita JKT
Simbachawene alikuwa Kondakta wa mabasi ya Dodoma- Mpwapwa Kisha akawa akahamia Vingunguti ambako alifungua baa karibu na machinjio ya mbuzi.Nikiwa kada wa siku nyingi niliyepitia JKT kwa mwaka mzima, nimesitushwa na majibu ya Mh Simbachawene katika ajira za wasomi Polisi.
Nimelazimika kupitia CV yake iliyo ukurasa wa Bunge, hakuna mahali anaonekana kapitia JKT.
HII NI HATARI!
Majibu aliyotoa leo kipindi cha Dk 45 yanaonyesha kabisa mtu asiye na ufahamu wa basics za ajira za wasomi, hasa Polisi.
Ati msomi wa Div 1 hawezi kulinda benki!!!!
Hivi Simbachawene anajua anaongea nini?
Sisi tuliosoma zamani, tena tulifaulu vizuri, kulinda sehemu nyeti ilikuwa sehemu ya kazi.
Leo kuna majenerali waliofaulu vizuri tu na kulinda sehemu nyeti, ni sehemu ya majukumu ya ulinzi.
Nitashangaa kama Simbachawene ataendelea kuwepo sehemu asiyostahili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengi katika madaraka hawakugusa JKT , yuko mwingine kule Zanzibar , hata hivyo namtetea Simbachawene , huyu alikuwa konda wa mabasi ya mikoani pale stendi , isingekuwa rahisi kwake kupita JKT
Alaa kumbe mh.Simbachawene ameanza kuchaguliwa naye mh.Rais SSH..!Ushaambiwa jana kuwa kwetu hakuna ukabila anachagua tu
CV ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika.Hukohuko ndiko mawaziri hupatikana.Lakini pamoja na hilo ndiyo maana yuko huko aongoze wanaofanana na yeye.Na kwa manufaa ya wengi, wacha niambatanishe post yangu ya awali hapa...
In short, Simbachawene sio tu amelidhalilisha Jeshi la Polisi, bali Wizara ya Mambo ya Ndani na serikali kwa ujumla...
Ni mtu ambae ningetarajia asubuhi ya October 12 watu wajadili ama kutumbuliwa kwake au ku-resign kwake!! Katikati ya mjadala wa GPO, Simbachawene anatuambia kumbe serikali inaajiri watu wasio na uwezo kielimu na ndo maana wanashindwa kuifahamu hata GPO!
Wengi katika madaraka hawakugusa JKT , yuko mwingine kule Zanzibar , hata hivyo namtetea Simbachawene , huyu alikuwa konda wa mabasi ya mikoani pale stendi , isingekuwa rahisi kwake kupita JKT
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Ni kweli div 1 wataapply vyuo mara baada ya depo na kuja kuwa maofisa ( maofisa hawaendi lindo kwenye mabenki). Point ya waziri iko hapa.
Nadiriki kusema heading ya huu uzi IMEPOTOSHA.View attachment 1971554
Inshu kubwa ni kwamba,ukiajili digrii utawalipa mishahara mikubwa na posho kubwa,hivyo Serikali ktk kupunguza mzigo tunaaijili f4.Tatizo ni elimu au maslahi? Wanaenda kwenye uofisa kwa sababu ndio kwenye maslahi zaidi ya kulinda bank Waziri anaelewa Kuna senior na junior katika organization yoyote ile ie junior ni kwaajili ya operation zaidi kwa sababu wanajifunza kuanzia chini na senior ni kwaajili ya administration kwa uzoefu wao kwenye kazi, je watoto wa wakubwa wanaoingia katika jeshi wakiwa na ufaulu mzuri au wana viwango vya juu vya elimu mbona wapo wengi au ndio kumaintain status quo za wazazi wao alafu watoto wa wanyonge waendelee kushika bunduki. Hapo hakuna waziri pia nafikiri tufikie mahali tuangalie upya hivi vyeo vya kisiasa vinaalibu taaluma husika
Naona unagaika kufanya Damage Control...
Mwenye digrii kuwa koplo, hapana bhana... hapo kutakuwa na tatizosio kila msomi anakuwa officer.
kanuni za polisi hazimlazimishi mwajiri kumpa cheo mtu isipokuwa kwa utaratibu atakaoona unafaa.
wapo wenye degree ni makoplo,masajent na maoficer pia,cha muhimu ni malipo ya elimu husika.
Kwa mtaji wa CV aliyonayo tunamsamehelakini hafai kuongoza wizara ya mambo ya ndani.Simbachawene alikuwa Kondakta wa mabasi ya Dodoma- Mpwapwa Kisha akawa akahamia Vingunguti ambako alifungua baa karibu na machinjio ya mbuzi.
Kasoma open university, msamehe bure kwa baadhi ya mapungufu
Huyo aliishia darasa la saba,kilichofuata ni elimu ya kuunga unga.Nikiwa kada wa siku nyingi niliyepitia JKT kwa mwaka mzima, nimesitushwa na majibu ya Mh Simbachawene katika ajira za wasomi Polisi.