George Simbachawene, hakupitia JKT?

George Simbachawene, hakupitia JKT?

Wengi katika madaraka hawakugusa JKT , yuko mwingine kule Zanzibar , hata hivyo namtetea Simbachawene , huyu alikuwa konda wa mabasi ya mikoani pale stendi , isingekuwa rahisi kwake kupita JKT
Na alisoma digiriii la shario pale open kwa kutumia cheti cha vetaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787].hayo yaliwekana kwasababu tuu alikua mbunge wa kijani kipichi
 
Kwahiyo ni sahihii kisema akina kingai ni vilazaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Kwamba kila napo muona police nijue ni fooo ya 40[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu unaandika kwa vile una haki hiyo, lakini wewe kama hao failures unaowasema, ambao mko sawa kifikra mnashindwa kuelewa kuwa ulinzi wa nchi hii huwezi kuwaachia
low performers.
mbona wameachiwa na wanawachakata vyakutosha, hata viongozi wenu wa nchi hii ni vilaza tu, na wanawaendesha na kuwakaza vilivyo.

ukianza kufatilia cv zao na elimu zao ni za kuunga unga tu.
 
Tatizo watu hamtaki kuambiwa Ukweli!
Nchi hii maaskari wanatakiwa wale watiifu na waoga wa maisha!
Wanatakiwa wale wenye uwezo mdogo wa kuhoji!
Wanatakiwa wale wenye uwezo wa kufuata na kutekeleza maagizo toka juu as is!

Ukituliza akili utaunganisha dots!
Asante sana Simbachawene!
 
Nasikia baada ya kuacha ukonda wa Urafiki Bus alikimbilia Dar Vingunguti akafungua Bar
kwa Elimu yake ya Form 4 akajiunga na Open University ni Mungu tu anajua, maana hata UDOM sijui kasomajesomaje akiwa Mbunge na Naibu waziri
Open University of TanzaniaLL.B20002005Bachelor Degree
Mazengo Secondary SchoolCSEE19851988Secondary School
 
Mkuu umeeleza haswa wasiwasi wangu. juu ya huyu waziri wetu.
Ni wazi qualifications zake juu ya uwaziri hazijafika kiwango.
Na mbaya zaidi anaongoza wizara inayohitaji mtu ambaye toka ujanani anatakiwa awe ametayarishwa na Taifa.
Mbona vijana kama hao wako wengi tu.
Jamaa hajapitia hata JKT, na anawekwa mahali nyeti, hiyo ni dhambi!

Sisi tukia JKT tulitayarishwa kwa majukumu yoyote kitaifa, uwe una Div 1 au uwe mkulima toka kijijini wa kuingia kwa kujitole.

Waswahili husema , mtu anapofungua mdomo, anafungua na mengi yanayomhusu, hatukujua kuwa Simbachawene hapo alipo yuk chini ya viwangoo vile vilivyotarajiwa.
Umeongea yote!!

Tatizo ni kama watawala wetu wanadhani au wanaona wizara zote ni "the same" kumbe popote pale duniani, wizara kama anayoongoza Simbachawene ni wizara nyeti sana, na kwa nchi kama za kwetu, unyeti wake unakuwa ni mkubwa zaidi.

Na ni kutokana na kutotambua unyeti huu ndo maana unakuta Mambo ya Ndani ni wizara ambayo bila shaka inaongoza au miongoni mwa wizara zinazoongoza kwa kubadilishiwa mawaziri kila wakati!~
 
mbona wameachiwa na wanawachakata vyakutosha, hata viongozi wenu wa nchi hii ni vilaza tu, na wanawaendesha na kuwakaza vilivyo.

ukianza kufatilia cv zao na elimu zao ni za kuunga unga tu.
Ndio maana statements kama za waziri Simbachawene zinazoonyesha udhaifu kimaono kwa upande wa serikali, haziwezi kuachiwa hivi hivi tu.
 
Wengi katika madaraka hawakugusa JKT , yuko mwingine kule Zanzibar , hata hivyo namtetea Simbachawene , huyu alikuwa konda wa mabasi ya mikoani pale stendi , isingekuwa rahisi kwake kupita JKT
afu ilikuwa kwa mujibu wa sheria, ingekuwa sheria bado ipo anaweza kushitakiwa leo.
 
Baada ya FTC Arusha alitakiwa aende JKT akapiga chenga.. tena atakuwa alipangiwa Bulombora Kigoma.
 
Back
Top Bottom