Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Alikuwa kondakta wa mabasi ya Dodoma- Mpwapwa. Then akawa na biashara ya Bar kule VingungutiNi kweli aliwahi kuwa tingo au mpiga debe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa kondakta wa mabasi ya Dodoma- Mpwapwa. Then akawa na biashara ya Bar kule VingungutiNi kweli aliwahi kuwa tingo au mpiga debe?
Huko Kinusi, Mang'alisa, ni interior sana. Miaka ya nyuma nilienda na gari Mang'alisa, mwalimu mmoja wa shule ya msingi aliomba mke wake aingie kwenye gari, tumbebe, tumshushe baada ya kilometer 1 halafu arudi kwa mguu. Akasema mke wake alimpata hapo hapo kijijini, na kwamba hajawahi kupanda gari tangu azaliwe, na amekuwa akimwomba sana siku moja waondoke wote ili apande gari.Huyu kwao sawa ni Pwaga na Galigali pia ujombani namjua vyema akiwa kule Mbuga, Winza, Kinusi,Matonya,Ihwa,Maandazi,Ipera,Mang'alisa, Choghola, Kikuyu na Ihefu watu wa milimani mmenisoma huyu analingia uchawi wa baba yake.
Akalete katiba mpya.amerudi tena wizara nyeti
Nilienda na 109 mwaka 2001 kila kukicha wanakijiji walikuwa wanaongezeka kuja kuangalia chuma ya kiingereza ila kwa sasa Konusi ni townHuko Kinusi, Mang'alisa, ni interior sana. Miaka ya nyuma nilienda na gari Mang'alisa, mwalimu mmoja wa shule ya msingi aliomba mke wake aingie kwenye gari, tumbebe, tumshushe baada ya kilometer 1 halafu arudi kwa mguu. Akasema mke wake alimpata hapo hapo kijijini, na kwamba hajawahi kupanda gari tangu azaliwe, na amekuwa akimwomba sana siku moja waondoke wote ili apande gari.
Siku hiyo gari ilipofika wanakijiji walikuja wengi kuja kuangalia gari. Barabara ilikuwa mbaya sana, muda wote toka Kinusi mpaka huko ilikuwa ni 4WD engaged kwenye Landrover defender. Kwa maelezo yao, box la dawa za zahanati la kila mwezi, lilikuwa linaenda kuchukuliwa kwa vichwa kila mwezi. Tangu barabara hiyo waitengeneze kwa mikono, hakuna siku gari iliwahi kupita.
Thubutuuuuu, haiwezekaniKila kitu kina mwisho eti coca.
Eti kukazabaa vibao, daaaahHamumjui vizuri huyo mzee... ni mkali vibaya mno na ni kauzu ile mbaya!
Picha linaanza yuko vizuri financially na hakuna mtoto wake yoyote aliyesoma nje ya nchi na yuko strictly vibaya mno kwenye malezi ya watoto.
Ni wakubwa serikalini hao, wale watiifu na wanaojituma + wachapakazi na wanajitambua.
Huwa hapendi Kiki za kijinga na za kishamba. Yuko kwenye orodha ya marais wajao miaka mingi ijayo... anaandaliwa nafkiri.
Ana mwanae wa kiume anaitwa "James Simbachawene" naona huyu kijana alikata kamba, kunyoanyoa vipanki na kuvaa visuruali vya kubana... kalisoma chuo cha usimamizi wa fedha haka kakijana. Kanajaribu kujifanya kahuni na kablazameni ila nafkiri mzee anapambana kukazaba kaache ujinga wake kawe kakijana smart kafuate nyayo za baba.
KONGOLE KWAKO MZEE SIMBACHAWENE [emoji1474]
Alikuwa fundi wa magari ila alikuwa hana mtaji wa kuanzisha garages yake binafsi....kwahiyo machame INVESTMENT wakamuajiri tu hamna namnaTumesoma wote Technical College Arusha Simbachawene. Ni Fundi Mchundo wa Magari.
Utawala bora na mapesa ya wamarekani mtizamo wangu ni katiba mpya.Sio kazi yake
Na wewe fanya basi upate uraisWaamini ushirikina ni nadra kukosa vyeo.
Mimi sio muumini wa ushirikina boss.Na wewe fanya basi upate urais