George Simbachawene ni nani hasa?

George Simbachawene ni nani hasa?

Acha u
NI mmoja ya mawaziri waliodumu katika Baraza la Mawaziri tangu awamu ya JK, Magufuli na sasa Mama, pamoja na panga pangua za baraza la mawaziri

View attachment 2551539

Na ameshapewa majukumu Wizara ya Utumishi , Wizara Mambo ya ndani, Waziri ofisi ya Waziri Mkuu. Moja ya Wizara ziliozokaribu kiutendaji na Ikulu

Ni nani hasa? Safari yake ya kisiasa na utumishi serikalini ikoje? Najua kama binadamu hakosi mapungufu lakini anaonekana ni mtu mtaratibu, hekima na busa nyingi mbali ya kuonekana kuwa na elimu ya kawaida.

Bila shaka inahitaji Uzalendo usio na mashaka kusurvive mabaraza ya marais watatu
Acha Mbea usije kumharibia akaja kuwa kama kaka yake bwana ndugai alivyozimika katika anga za kisiasa na sasa ni baba wa nyumbani.
 
Back
Top Bottom