George Simbachawene ni nani hasa?

Huyu kwao sawa ni Pwaga na Galigali pia ujombani namjua vyema akiwa kule Mbuga, Winza, Kinusi,Matonya,Ihwa,Maandazi,Ipera,Mang'alisa, Choghola, Kikuyu na Ihefu watu wa milimani mmenisoma huyu analingia uchawi wa baba yake.
Huko Kinusi, Mang'alisa, ni interior sana. Miaka ya nyuma nilienda na gari Mang'alisa, mwalimu mmoja wa shule ya msingi aliomba mke wake aingie kwenye gari, tumbebe, tumshushe baada ya kilometer 1 halafu arudi kwa mguu. Akasema mke wake alimpata hapo hapo kijijini, na kwamba hajawahi kupanda gari tangu azaliwe, na amekuwa akimwomba sana siku moja waondoke wote ili apande gari.

Siku hiyo gari ilipofika wanakijiji walikuja wengi kuja kuangalia gari. Barabara ilikuwa mbaya sana, muda wote toka Kinusi mpaka huko ilikuwa ni 4WD engaged kwenye Landrover defender. Kwa maelezo yao, box la dawa za zahanati la kila mwezi, lilikuwa linaenda kuchukuliwa kwa vichwa kila mwezi. Tangu barabara hiyo waitengeneze kwa mikono, hakuna siku gari iliwahi kupita.
 
Nilienda na 109 mwaka 2001 kila kukicha wanakijiji walikuwa wanaongezeka kuja kuangalia chuma ya kiingereza ila kwa sasa Konusi ni town
 
Eti kukazabaa vibao, daaaah
 
Tumesoma wote Technical College Arusha Simbachawene. Ni Fundi Mchundo wa Magari.
Alikuwa fundi wa magari ila alikuwa hana mtaji wa kuanzisha garages yake binafsi....kwahiyo machame INVESTMENT wakamuajiri tu hamna namna
 
Alikuwa fundi wa magari ila alikuwa hana mtaji wa kuanzisha garages yake binafsi....kwahiyo machame INVESTMENT wakamuajiri tu hamna namna
Hiyo kampuni ilikuwa ikilimilikiwa na nani ? Bado ipo?
 
Utawala bora na mapesa ya wamarekani mtizamo wangu ni katiba mpya.
NB: huenda USA wanamuamini kwenye hela zao
Sawa lakini wizara yake ni kiutumishi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…