Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@MK254Kuna movie moja nimetoka iangalia ya jamaa black aliyekuwa intelligent lakini kazi alokuwa akifanya hakuwa anapewa credit...credit zote zilikuwa zinaenda kwa wazungu kwenye hiyo team ya madaktari na wali win ma world award....yeye alikuwa lab technician...lakini mambo mengi alivumbua yeye...alikuwa anafanya kazi Johns Hopkins University Hosp. Aligundua possibility ya kufanya operation ya moyo kwa watoto na mpaka leo mchango wake unakumbukwa kwenye medicine (if am right)
Ukiiangalia unaweza kulia...
Afu utashangaa wakisema miafrika haina akili...mtu anakubali tena anachekelea ...'ndio hatuna akili'
Based on true story
Hatari sana yaani inaumiza
Ukiskiliza kwa hisia unaweza toka machozi.Hatari sana yaani inaumiza
Yaani hawa sijui kwa nini wanawachukia watu weusi.Wazungu na mwendazake hawana tofauti, ni majitu katili yenye kusingizia na kubambikiza tuhuma na mashutumu ya uwongo, ili tu ufe
Hata sijuiYaani hawa sijui kwa nini wanawachukia watu weusi
Acha watese kwa zamuHata sijui
Naamini yupo mahali salama huko juu
Mwaka 1944 mji wa south karolina, Marekani.
Kijana mdogo aitwaye George stinnery alihukumiwa kifo akiwa na umri mdogo wa miaka 14.
Siku 82 kabla ya hukumu, George alikuwa akitembea na rafiki yake alikutana na mabinti wawili mmoja aitwaye Betty benicka mwenye umri wa miaka 11 na mwingine aitwaye immathams mwenye umri wa miaka 7 walikuwa wakiendesha baiskeli kuelekea shambani kuchuma maua.
Kesho yake ya tr 23-3-1944 walionekana polisi wakivamia nyumba ya kijani George stinnery walidai kua mabinti hao wawili wameuwawa na walitupwa kwenye bwawa nje kidogo na nyumba anayoishi George pamoja na wazazi wake na nduguze wanne
polisi waliwakamata George pamoja na kaka yake kesho yake polisi walitoa taarifa nyingine kua George alikili kwa polisi kua ametekeleza mauaji hayo kwamba aliwapiga mabinti hao na kipisi kidogo cha chuma cha reli.
Mabinti hao walifanyiwa vipimo kubaini kama walifanyiwa ukatili, lakini ripoti ilionyesha kwamba hakuna ukatili wowote walio fanyiwa zaidi ya kupigwa vibaya tu na kipande hicho cha chuma.
Hatimaye George alipandishwa kizimbani kwa kosa la mauaji ya kukusudia lakini pia polisi hawakuruhusu George apate wakili wa kumtetea wala wazazi wake hawakuruhusiwa kumuona George gerezani kwa siku zote 81 alizo kaa gerezani george alijitetea mahakama kua hakupewa hata chakula kwa siku zote.
Askari wa kizungu walisema watampa chakula endapo akikili kua aliua lasivyo atakufa kwa njaa akiwa gerezani.
Lakini jaji filips alikataa utetezi wowote juu ya George na mbaya zaidi mahakama ilijaa wazungu pasi mwafrika hata mmoja.
George alisimama katika hukumu yeye pekee, lakini pia jaji fillips alisema George atampa wakili mmoja ambaye jaji alimuchagua akiwa na yeye ni mzungu.
Wakili huyo hakumutetea george kwa chochote yeye alisema George kakili kufanya mauaji kwa mabinti hao wawili.
Mnamo tarehe 6-6-1944 jaji fillips alitamka hukumu ya kifo kwa kijana George. alisema kifo hicho kitakuwa cha kupigwa na shot na umeme mkali mpaka kufa.
Kijana mdogo huyo George alisimama na kukumbatia kitabu cha dini akisubiri kufanyiwa kama hukumu ilivyo tolewa.
Hukumu ilitekelezwa George alifungwa kwenye kiti cha umeme akifungwa mikono na miguu yake ili wamuue kwa umeme.
Lakini George aliambiwa kusema neno lolote la mwisho, lakini george alitikisa kichwa tu wala hakusema chochote huku machakozi yakimtoka huku akitazama kitabu chake cha dini.
Hatimaye volt nyingi za umeme zikanunua uhai wake.
Baba ake George alifukuzwa kazi na alipo kua akiishi.
Lakini haki ya George ilitafutwa kwa miaka mingi sana hatimaye baada ya miaka mingi ilisemekana George hakuwa na kosa lolote.
Mahakama ilijilisha upya na kugundua George hakuwa na kosa lakini george alipata hukumu kisa yeye ni mweusi.
Na hii ilipelekea watu wengi weusi kusoma sheria ili kupingana na hukumu ya mzungu.
Hiyo ndiyo ilikuwa kesi ya George stinnery.
Kweli mkuu.Naamini yupo mahali salama huko juu