Maybe you are Right..., lakini tunaendelea kukosea kama kawaida yetu; Tunaangalia nini kimsesemwa na sio nani kasema.....Gerald Hando...paid journalist...wanarudia zoezi lile lile yeye na Kipanya walivyofanya kazi maalum Kwa Dr Idrisa..haadi akatolewa...wakaingia watu wa Ngeleha zikapigwa bilioni 500...
Lini mlevi akahoji mambo ya msingi ??? Acheni watu wahoji jamani , hv kila atakayehoji atakuwa kanunuliwa ???Duh kumbe huyu ngiri ni chapii hivyo basi watakua wanamtafuna kama analewa hadi anazima
Means hana akili ya kuhoji mambo ambayo hayaelewi?Who is behind Gelard hando?
Basi haukuwepo hapa nchini ...umeme ulikatika sana tu ila awamu iliyopita haikuruhusu vyombo vya hbr kuripoti madhaifu ya serikali.. acheni uongo bhanaHakukuwa na mgao kipindi cha Magu kila mtu anajua huu ukweli kasoro wewe tu. Ila umeme kukatika kama nilivyosema awali ulikuwa unakatika.
Wamefungulia maji yaende kwenye , mpungaHakukuwa na mgao. Kukatika mara moja moja ni kawaida awamu zote.
Ota meno kwanza.Basi haukuwepo hapa nchini ...umeme ulikatika sana tu ila awamu iliyopita haikuruhusu vyombo vya hbr kuripoti madhaifu ya serikali.. acheni uongo bhana
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Kwani ukilewa wewe unakuwaga zezeta?Lini mlevi akahoji mambo ya msingi ??? Acheni watu wahoji jamani , hv kila atakayehoji atakuwa kanunuliwa ???
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo ukihoji utafunwe ??? DaahTahadhari, wamtafune kwa kondom, au la watauvagaa UKIMWI. Huyo mtangazaji yuko kwenye ARVs kipindi
Acha upimbi bhana...angesifia serikali ungemwita mlevi ??? Anayemuona Hando ni mlevi ndo zezeta .. moja wapo ni wwKwani ukilewa wewe unakuwaga zezeta?
Gerald punguza makasiriko, umekumbuka kumeza ARV zako wewe ?Acha upimbi bhana...angesifia serikali ungemwita mlevi ??? Anayemuona Hando ni mlevi ndo zezeta .. moja wapo ni ww
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Hali ya mvua ilikuwaje?Hakukuwa na mgao. Kukatika mara moja moja ni kawaida awamu zote.
Watu wa stationary, ni watu wa nna gani hao?Hajui huyu hasara zilizosababishwa katika kipindi cha uwaziri wa januari, watu wamefilisika biashara zao zimekufa wauza barafu, wauza bucha za samaki, nyama, watu wa saluni za kike na za kiume, watu wa stationary, wauza juice, maji, watu wa kuchomelea mageti na vyuma mbalimbali na shughuli zote zinazotegemea umeme alafu yeye anakuja na stori nyepesi eti kuna mtu yuko nyuma ya hando?
Demand nayo ilikuwa ndigo jwa sababu mzunguko wa fedha ulikuwa chini sana.Kama ni kweli viwanda vilipunguza uzalishaji kwanini hakukuwa na mfumko mkubwa wa bei za bidhaa kama sasa. maana ukipunguza uzalishaji bidhaa zinapungua sokoni na kusababisha ongezeko la bei
Kwahiyo wakati wa kalemani watz wote tulikuwa vipofu. Acheni ushenzi nyie walamba asali. Hakukuwahi kukatika umeme kwa zaidi ya saa 8.Hapana acheni atoe maoni ..lkn tumkumbushe kuwa hata wkt wa kalemani umeme ulikatika pia...awamu iliyopita ilikuwa marufuku kuandika madhaifu ya serikali...ndo maana walisiojua kitu wanaiona kama ilifanikiwa kumbe lah
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Ni mjinga tu atakayekubali huu ujinga ulio andika.January aondoke,we new he can't,and he has proved he can't.Aondoke asitupotezee muda.Kuwa naye katika Wizara ya Nishati is a shame.Kalemani umeme ulikuwa unakatika kila siku....lakini mmeshaanza kubadili facts ili agenda yenu ifanye kazi
Inawezekana wakati huo hakukuwa na ukame, hio ni explanation kwanini hakukuwa na mgao. Sasa wenzio wanasema kulikuwa na mgao ila hawakuruhusiwa kutangaza! Hivi unaweza kufichq mgao? Walijaribu awamu hii mwisho wa siku wakatangaza hali halisi.Hali ya mvua ilikuwaje?
Tusifanye mambo ya bahati kuwa ni smartness. Hatujawahi kuwa smart kwa jambo lolote wakati wowote. Tumekuwa nchi ya kutegemea bahati.
Kukiwa na ukame, chakula shida, umeme shida. Na hiyo haijalishi nani ni waziri au nani ni Rais.
[emoji23][emoji23] haya bhana nitamezaGerald punguza makasiriko, umekumbuka kumeza ARV zako wewe ?
Tatzo mna vichwa vya panzi ...hata huu mgao wa sasa kesho kutwa mtausahau tuKwahiyo wakati wa kalemani watz wote tulikuwa vipofu. Acheni ushenzi nyie walamba asali. Hakukuwahi kukatika umeme kwa zaidi ya saa 8.
YEYE MWENYEWE Makamba kakiri bungeni na hadharani kwamba ni kweli umeme ulikuwa haukatiki enzi za Magu na akatoa sababu zake za kwa nini.Kalemani umeme ulikuwa unakatika kila siku....lakini mmeshaanza kubadili facts ili agenda yenu ifanye kazi