Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

Wewe mzee ni wakupuuzwa huwa unauchawa usio na kichwa wala miguu! Ni sinior hapa jamii forum lakini haina maana kuwa unajua sana vitu!
 
Huu mjadala wa Hando umetingisha mitandao yote.
 
Niliwahi soma humu kwamba Makamba kapewa Nishati ili immalize kisiasa.Now i see maana siamini waandishi hawa wanaongea bila backup kwa mfumo wa nchi hii tunavyoujua ni wazi wametumwa kazi maalum na January ajiandae..ila atolewe tu aisee hamna hasara.Simkubali huyu mtu.
 
Gerald Hando...paid journalist...wanarudia zoezi lile lile yeye na Kipanya walivyofanya kazi maalum Kwa Dr Idrisa..haadi akatolewa...wakaingia watu wa Ngeleha zikapigwa bilioni 500...
Nadhani hoja zijibiwe. Mimi na wewe tunahoji kila siku tumepewa ngapi
 
Mkuu una Maslahi yoyote ya Kibinafsi na January Makamba?

Mbona unatetea Uwongo kwa nguvu kubwa na unaupinga ukweli ulio dhahiri?
 
Kuwa mkweli brother Mayala hivi JM ana miaka mingapi. Mpaka usema matumizi yame ongezeka, enzi ya Magu aliunganisha vijiji kibao kwa umeme ila hakukuwa na mgao, hebu kuwa mkweli brother? JM mpaka sasa kaunga vijiji vingapi na viwanda vingapi ndani ya mwaka wake mmoja ya uwaziri? Hebu kuwa brother manake unaweza ukanifanya nihisi may be na wewe una buyu lako la asali unajimiminia na kulilamba.

Jamaa yy mwenyewe ashawahi kukiri " zamani umeme ulikuwa haukatiki mara kwa mara sababu ya schedule maintenance........",japo hii kauli yake kwa mtu aliye na basics tu za mitambo ya umeme anaweza kumcheka.

Akahamia vitua vya kufulia umeme chakavu tunatengeza,imeeenda sasa hivi wamepata chaka jipya " ukame na upungufu wa mvua......",kesho wakiamka sijui watasemaje.

Ila kuniambia eti awamu hii ambayo ina mwaka na nusu matumizi ya umeme yanaongezeka na KATAA na unatupanga BROTHER,kuwa mkweli.
 
Actually mgao upo kila mwaka.. tofauti ni kuwa walikuwa hawatangazi official na mgao haukuwa mkali kama wa mwaka huu...hata WA mwaka huu ulianza kabla haujatangazwa....
Mhhh mgao haujawahi kuwepo enzi ya Magu, japo umeme ulikuwa unakatika kawaida na hata mgao haukuwepo na kumbuka hata maji hakukuwa na mgao home sisi tank lenyewe tuliligawa,juzi baada ya kutangaza mgao nimenunua tank lingine.

Siku ya mechi ya Argentina na Uholanzi kombe la dunia ,umeme ulikatwa asubuhi umerudi saa saba usiku.Manake hapo kinyozi, Fundi welding, mafundi radio ,waonyesha mpira, mafundi garage, wauza nyama na samaki nk wote imekula kwao.
 
Mkuu joseph1989, niwe mkweli vipi wakati this is from the horses mouth Kilichofanya umeme haukukatika katika enzi za Kalemani na sasa unakatika katika ni kitu kinachoitwa peak demand
Hili la kulamba asali sii kweli, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, hii interview ya JM, ni nimefanya kwa kujitolea 100%. hakuna yeyote aliyelipa hata senti tano yake!, ni part and parcel ya kipindi changu cha "Kwa Maslahi ya Taifa" the compete program ni hii p
 
Mbona walishasema kwanini mgao haukuwepo wakati wa mwendazake. According to Makamba
1. Serikali ya Magu ililazimisha viwanda vipunguze uzalishaji ili kupunguza demand
2. Hawakufanya maintenance

Kama ni ukweli au uongo wanajua wao
Sio kweli hata kidogo hizo sababu ni mfu..sababu unapopunguza uzalishaji maana yake utapunguza bidhaa sokoni na kupelekea bidhaa kua adimu hivyo mfumuko wa bei unatokea hizo sababu mbili alizotoa ni sababu za ovyo ambazo anatakiwa kuwambia watu wasio weza kufikiri..
 
Mambo ya kulipana fadhila yanagharimu nchi.

Mama vijana wanakuharibia historia nzuri, weka kando hao watu wananchi tukuelewe
 
Basi haukuwepo hapa nchini ...umeme ulikatika sana tu ila awamu iliyopita haikuruhusu vyombo vya hbr kuripoti madhaifu ya serikali.. acheni uongo bhana

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Nafikiri hujui unachokisema wewe umeme sio kwamba haukukatika sema awamu ya tano kulikua hakuna mgao kama tulionao sasa..kipindi kile tulipewa taarifa na ilikua ni Mara moja moja Tena mara nyingi mwishoni mwa juma..
 
Gerald Hando...paid journalist...wanarudia zoezi lile lile yeye na Kipanya walivyofanya kazi maalum Kwa Dr Idrisa..haadi akatolewa...wakaingia watu wa Ngeleha zikapigwa bilioni 500...
kiukweli, makamba sehemu pekee aliyoweza ni waziri wa mazingira tu pale alipopiga marufuku mufuko ya plastic (ambayo sasaivi imesharudi kadhaa), ila kwenye umeme na nyanja zingine, han auwezo na huwa simkubali kabisa kabisa. hafai.
 
Ila za ndani ni kuwa viwanda vingi viliumizwa kwa wakati huo maana viwanda hutumia umeme mwingi, vikikatiwa sio rahisi kupata kelele kama wananchi wakikatiwa
Hii siyo kweli .kama ingekuwa hivyo soda ,unga wa bakhreza,sukari,mchele, bia,etc vingepanda Bei maradufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…