Gerald Hando: Watanzania wanataka sukari, usituambie tusitumie. Asema majibu ya Janabi na Chalamila ni dharau kwa watanzania

hawakawii kumsimamisha Kazi
Sukari tutaipata kwenye pepsi 1 na pepsi 2πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Sukari tutaipata kwenye pepsi 1 na pepsi 2πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
🀣🀣🀣🀣
 
Mimi binafsi chakula ambacho hakina chumvi kwangu ni kizuri zaidi.
Acha watu waamue wenyewe, sio kushindwa kwao na sukari kupotea ndio uwe utetezi wa kuficha madhaifu yao. Acha sukari iwepo halafu ndio utwambie tusitumie sukari wka sababu moja mbili tatu, sio ushindwe sukari ipotee halafu ndipo uje na hoja hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…