Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Sukari tutaipata kwenye pepsi 1 na pepsi 2πββοΈπββοΈπββοΈhawakawii kumsimamisha Kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukari tutaipata kwenye pepsi 1 na pepsi 2πββοΈπββοΈπββοΈhawakawii kumsimamisha Kazi
Nimefanya nini tena mtoto wa watu mieHalafu sijapenda ulivonfanyia
π€£π€£π€£π€£Sukari tutaipata kwenye pepsi 1 na pepsi 2πββοΈπββοΈπββοΈ
hukunijibu..Nimefanya nini tena mtoto wa watu mie
Umesahau NDIZISukari tutaipata kwenye pepsi 1 na pepsi 2πββοΈπββοΈπββοΈ
wewe sio wa kupiga kimyaaaNimefanya nini tena mtoto wa watu mie
Dah hebu ngojahukunijibu..
Nisamehe. Sijaona kitu ..wewe sio wa kupiga kimyaaa
Sili ndiyo... Na ndoyo maana nimemindNdiyo hivyo sasa sukari hamna!
Kwa hiyo huli?
Acha watu waamue wenyewe, sio kushindwa kwao na sukari kupotea ndio uwe utetezi wa kuficha madhaifu yao. Acha sukari iwepo halafu ndio utwambie tusitumie sukari wka sababu moja mbili tatu, sio ushindwe sukari ipotee halafu ndipo uje na hoja hiyoMimi binafsi chakula ambacho hakina chumvi kwangu ni kizuri zaidi.