Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Ndiyo hivyo sasa sukari hamna!Kwahiyo unalazima niishi kama unavyo taka wewe.... Mimi mchemsho na supu ni jioni... Asubuhi lazima Nile maandazi
Kwa hiyo huli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo hivyo sasa sukari hamna!Kwahiyo unalazima niishi kama unavyo taka wewe.... Mimi mchemsho na supu ni jioni... Asubuhi lazima Nile maandazi
Wewe unaongea utafikiri huishi Tanzania..!! Wewe unafahamu kwamba watanzania wengi walivyopigika ili wale matunda lazima waandikiwe na daktari.Sukari siyo hitaji muhimu kwa binadamu, bali ni bidhaa ya kawaida tu.
Unaweza usitumie sukari ya kiwandani na bado ukaipata sukari halisi kwenye matunda.
Suala la sukari linakuzwa tu bila sababu!
Janabi sijui anaogopa nini?😂😂😂😂Kwamba Janabi anaogopa tukipata magonjwa yenye asili au kutokana na sukari?
Shida tuna watu wengi vilazasomo la lishe bora ni changamoto hata sasa ndio maana washauri wanaibuka kila siku inanikumbusha ule wimbo maarufu zamani wa mbaraka mwinshehe (Mama chakula bora)
Hando naanza mfuatilia hawa ndo waandishi wa habari sasaMwandishi wa EFM, Gerald Hando ameshangazwa na majibu ya sukari yaliyotolewa na Prof. Janabi yaliyoungwa mkono na mkuu wa mkoa wa Dar.
Hando amesema ni mtazamo finyu kuwaza sukari ni chai pekee ilhali sukari inayotumika kwenye chai ni vijiko viwili. Hando amesema sehemu kubwa ya vitafunwa vinavyotumika nchini vinatumia sukari.
Hando amedai wafanyabiashara wanaotengeneza vitafunwa wamechanganyikiwa na wanajiuliza wakiongeza bei itakuwaje kwa biashara zao.
"Janabi anataka kutudanganya kama mtaalam tena anafanya kosa kubwa la kitaalam, mwanadamu hawezi bila sukari kwasababu ndio chanzo kikuu cha nishati katika mwili, sukari ni zaidi ya maisha ya mwanadamu. Ukitaka kuona nchi inatepeta, kata sukari.
Mkuu wa Mkoa atuambie kwanini sukari haipatikani, watanzania wanataka sukari, usituambie tusitumie sukari. Mvua zinanyesha na zinaendelea, sugar iko wapi?"
Hando amesema Janabi sio wa kutoa majibu ya sukari nchini, akae Moi apambane na Muhimbili yake. Amedai na mkuu wa mkoa kuunga mkono hapohapo ni dharau mbaya kwa watanzania.
Soma=> Profesa Janabi: Bei ya sukari imepanda juu, take advantage
Pia, soma=> Chalamila: Dkt. Janabi alisema sukari ni hatari kwa afya, tumieni fursa ya upungufu huu kuachana nayo msipate magonjwa mbeleni
Mwache kula nyama kasema mkuu wa mkoaSafiiii
Na Mbona Nyama haizungumziwi huku tunanunua kilo 1 kwa 10,000
Wewe pimbi unamtukana Hando kakukosea nini?....Prof Janabi ameongea ukweli mchungu ambao waTanzania wengi hawataki kuusikia......ukitaka kuwateka waTanzania ongea kile wanachopenda kusikia......na ndio maana wajinga wajinga wanathaminiwa na wenye weledi wanatolewa akili........
Janabi hakuzungumza kama mwanasiasa ameongea kutokana na nafasi yake....kwa jinsi anavyoyaona mambo......
Mtu mlevi na mwenye maisha ya hovyo kama Hando hawezi kuelewa kauli za Prof Janabi.......Bali watu waliothirika na vyakula hivyo ndio mashahidi wa hayo......
Alichokiongea Janabi ni kikubwa Sana kwenye akili za mlevi kama Hando........
MOI sio MNH. Amekosea kidogo. Janabi abaki na MNH yake."Hando amesema Janabi sio wa kutoa majibu ya sukari nchini, akae Moi apambane na Muhimbili yake.
👆👆👆
MOI siyo MUHIMBILI
DIRA iliyopotea kuipata tena lazma uanze mwanzo. Hayo tunayaita " assistant answers " na mara nyingi utamkwa kuficha UKWELI WA TATIZO.. assistant answers nyingine ni kama kusema " tumelipokea tutalifanyia KAZI, Changamoto, MAMLAKA imesikia, nk" UGUA MAGONJWA YOTE ila sio KUKATA TAMAA.Mwandishi wa EFM, Gerald Hando ameshangazwa na majibu ya sukari yaliyotolewa na Prof. Janabi yaliyoungwa mkono na mkuu wa mkoa wa Dar.
Hando amesema ni mtazamo finyu kuwaza sukari ni chai pekee ilhali sukari inayotumika kwenye chai ni vijiko viwili. Hando amesema sehemu kubwa ya vitafunwa vinavyotumika nchini vinatumia sukari.
Hando amedai wafanyabiashara wanaotengeneza vitafunwa wamechanganyikiwa na wanajiuliza wakiongeza bei itakuwaje kwa biashara zao.
"Janabi anataka kutudanganya kama mtaalam tena anafanya kosa kubwa la kitaalam, mwanadamu hawezi bila sukari kwasababu ndio chanzo kikuu cha nishati katika mwili, sukari ni zaidi ya maisha ya mwanadamu. Ukitaka kuona nchi inatepeta, kata sukari.
Mkuu wa Mkoa atuambie kwanini sukari haipatikani, watanzania wanataka sukari, usituambie tusitumie sukari. Mvua zinanyesha na zinaendelea, sugar iko wapi?"
Hando amesema Janabi sio wa kutoa majibu ya sukari nchini, akae Moi apambane na Muhimbili yake. Amedai na mkuu wa mkoa kuunga mkono hapohapo ni dharau mbaya kwa watanzania.
Soma=> Profesa Janabi: Bei ya sukari imepanda juu, take advantage
Pia, soma=> Chalamila: Dkt. Janabi alisema sukari ni hatari kwa afya, tumieni fursa ya upungufu huu kuachana nayo msipate magonjwa mbeleni
Hahahaha!!!!Wewe pimbi unamtukana Hando kakukosea nini?....
Unajua kuwa huyo profesa wako uchwara unaemsifia watu walikula kichwa?...kaa kwa kutulia tu tutamwaga mbigili pasikalike humu
Wewe na Marie - Antoinette ni mapacha.Kwami lazima kula maandazi?
Asubuhi unaweza ukanywa supu, au mchemsho wa ndizi.
Mbona sigara inasababisha saratani, lakini inauzwa, ingawa kwa onyo la kiafya?Mwandishi wa EFM, Gerald Hando ameshangazwa na majibu ya sukari yaliyotolewa na Prof. Janabi yaliyoungwa mkono na mkuu wa mkoa wa Dar.
Hando amesema ni mtazamo finyu kuwaza sukari ni chai pekee ilhali sukari inayotumika kwenye chai ni vijiko viwili. Hando amesema sehemu kubwa ya vitafunwa vinavyotumika nchini vinatumia sukari.
Hando amedai wafanyabiashara wanaotengeneza vitafunwa wamechanganyikiwa na wanajiuliza wakiongeza bei itakuwaje kwa biashara zao.
"Janabi anataka kutudanganya kama mtaalam tena anafanya kosa kubwa la kitaalam, mwanadamu hawezi bila sukari kwasababu ndio chanzo kikuu cha nishati katika mwili, sukari ni zaidi ya maisha ya mwanadamu. Ukitaka kuona nchi inatepeta, kata sukari.
Mkuu wa Mkoa atuambie kwanini sukari haipatikani, watanzania wanataka sukari, usituambie tusitumie sukari. Mvua zinanyesha na zinaendelea, sugar iko wapi?"
Hando amesema Janabi sio wa kutoa majibu ya sukari nchini, akae Moi apambane na Muhimbili yake. Amedai na mkuu wa mkoa kuunga mkono hapohapo ni dharau mbaya kwa watanzania.
Soma=> Profesa Janabi: Bei ya sukari imepanda juu, take advantage
Pia, soma=> Chalamila: Dkt. Janabi alisema sukari ni hatari kwa afya, tumieni fursa ya upungufu huu kuachana nayo msipate magonjwa mbeleni
Janabi aliongea kitaalamu lakin mkuu wa mkoa akajibu kisiasaKitaalam Mimi binafsi naona Janabi yupo sawa ingawa kauli yake ameitoa kipindi ambacho mtumia sukari hawezi kukuelewa kirahisi.
Hando nae Kwa uelewa wake anaweza kuwa yupo sawa
#Mambo ni mengi muda ndio tatizo#