Gerald Ibrahim, shujaa aliyetekwa na kupotezwa kwa kosa la kuisaidia jeshi la Polisi

Mimi siwezi kuwasaidia polisi wala serikali labda kwa kesi inayomhusu anayenihusu. Kwa maslahi ya wananchi wenzangu, siwezi kutoa msaada wowote polisi.
Polisi nchi hii inatakiwa jeshi lote lifumuliwe na kuundwa upya. Polisi wathenge sana.
 
Seriously bro, why matatizo yanaosababushwa na viongozi wa afrika wenyewe na vyombo vyao wanasingizia nje?
Yes wazungu si watakatifu but tuwe realistic, hata humu ndani wanamatatizo makubwa tu

Kwanini kusingizia kwingine , kwanini wasiwr responsible?
 
Ifike mahali nchi nzima iandamane kudai haki. Masuala ya kutekana tekana ni upumbavu. Tukiwashe tu, tusisubiri serikali. Hao polisi wanatumwa na viongozi wao washenzi sana.
Ajabu wanagoma kufungua RB, kisha wanakana kumshikilia katika vituo vya polisi halafu unasikia mtu kaokotwa sehemu akiwa maiti.

Watanzania tuamke.
 
Hivi unajua kwanini mkulima akigundua gesi au uranium serikali inachukua haki,waafrika tunahesabika kama watoto ati hatuwezi deal kubwa.Mitambo yote inatoka nje Kuna jituhada za kuwa na yetu,pesa nyingi inatumika kununua huduma na bidhaa nje sababu sisi watoto.
 
Mtu wa magharini anahusika vipi hapa?
Huyo jamaa Gerald ni mpumbavu wa mwisho kabisa. Unawasaliti wananchi wenzako kisa serikali?
Haya, kwa mfano hata akirudi uraiani anaishi vipi na wananchi wenzake wakati wameshamjua kuwa ni snitch?

Kamaa tadinu danu. Anavuna alichopanda.
 
Huu upumbavu muasisi ni jiwe
Aliwalea sana hawa wahuni
 
Haya ndio madhara ya kuajiri watu waliofeli. Hata kutumia akili hawawezi sijui vichwa walipewa vya nini.

Mimi huwa naumia sana nikisikia msamaria mwema anatiwa misukosuko kwa wema alofanya.
 
Mhh
 
Polisi kazi yao ni nini kama raia anakuwa shushushu na kufanya kazi ya bila mkataba?
Ila jamaa zangu wanajua kudai aisee
Ana biashara zake ila akaona aendelee na ligi tena polisi
 
Uzalendo
Kuna wimbo wa Dr Remy kipande kimoja anasema "wema kumanyoko"
wema kumanyoko"
KUBABAKE HILI NI FUNDISHO, SERIKALI SIO KITU CHA KUAMINI.
Askari wanapiga fedha za askari mwenzao?🤔

IMEANDIKWA : Nao askari wakamwuliza, “Na sisi tufanye nini?” Naye akawajibu, “Msichukue vitu vya mtu yeyote kwa nguvu wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishahara yenu.”
LUKA 3: 14
Ikabidi ile story ihadithiwe upya mpaka kufikia kupiga kwangu kelele. Yule mpumbavu Polisi ilikuwa keshaweka milioni yangu mfukoni, kwa aibu aliitoa kwa amri ya RPC na kesi ikaishia hapo.
Haki nyingine ni ya kuiacha, kwa mzunguko wote huo thamani ya hiyo pesa imeisha tayari,familia iliache hili lipite.

Your browser is not able to display this video.
 
Ishi maisha Yako uone kama utafia kwenye huu ujinga unaoitwa siasa eti kupambana mpaka kufa kuhusu kizazi kijacho yaani kama kizazi kijacho kitaishi dunia I milele hakitoisha ujinga huo sifanyi naishi maisha yangu hapa duniani ukifa umekufa haurudi tena Sasa ya nini nipambanie mtu ambaye duniani anakuja kivyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…