Gerald Ibrahim, shujaa aliyetekwa na kupotezwa kwa kosa la kuisaidia jeshi la Polisi

Gerald Ibrahim, shujaa aliyetekwa na kupotezwa kwa kosa la kuisaidia jeshi la Polisi

Mimi siwezi kuwasaidia polisi wala serikali labda kwa kesi inayomhusu anayenihusu. Kwa maslahi ya wananchi wenzangu, siwezi kutoa msaada wowote polisi.
Polisi nchi hii inatakiwa jeshi lote lifumuliwe na kuundwa upya. Polisi wathenge sana.
 
Watu wa Magharibi ni wajanja sana,wanatengeneza mazingira tuzichape kavukavu ili waje kuchukua uranium,hakuna watu wasanaii kama wa Magharibi,kwa ufupi hata lile sakata la Lisu ni janja nyani kututafuta hasira,kwa namna nyingine huu ni usanii wa level ya 5G.Congo waliingia wazima wazima Leo hii wako wapi, wanakula bastola na makombora huku dhahabu inabebwa na private jet.
Seriously bro, why matatizo yanaosababushwa na viongozi wa afrika wenyewe na vyombo vyao wanasingizia nje?
Yes wazungu si watakatifu but tuwe realistic, hata humu ndani wanamatatizo makubwa tu

Kwanini kusingizia kwingine , kwanini wasiwr responsible?
 
Ifike wakati sasa raia tujidhatiti. Tunapoona raia mwenzetu anachukuliwa mazingira tatanishi ni swala la kupiga nduru tukusanyike mawe, magongo, fimbo na mapanga vitumike kutengeneza mfumo wa haki na adabu.

Hawa tunaowaita watekaji sio superhumans ni binadamu tu kama sisi na wanaweza kuvuja damu na kufa vizuri tu. Na mimi nashauri wapatiwe kipigo kitakatifu na kuchomwa moto kama vile tunavyowaadhibu wezi na majambazi.

Tukifanya hivi mara 10 hicho kikosi maalumu cha watekaji tutakisikia kwenye redio tu.
Ifike mahali nchi nzima iandamane kudai haki. Masuala ya kutekana tekana ni upumbavu. Tukiwashe tu, tusisubiri serikali. Hao polisi wanatumwa na viongozi wao washenzi sana.
Ajabu wanagoma kufungua RB, kisha wanakana kumshikilia katika vituo vya polisi halafu unasikia mtu kaokotwa sehemu akiwa maiti.

Watanzania tuamke.
 
Seriously bro, why matatizo yanaosababushwa na viongozi wa afrika wenyewe na vyombo vyao wanasingizia nje?
Yes wazungu si watakatifu but tuwe realistic, hata humu ndani wanamatatizo makubwa tu

Kwanini kusingizia kwingine , kwanini wasiwr responsible?
Hivi unajua kwanini mkulima akigundua gesi au uranium serikali inachukua haki,waafrika tunahesabika kama watoto ati hatuwezi deal kubwa.Mitambo yote inatoka nje Kuna jituhada za kuwa na yetu,pesa nyingi inatumika kununua huduma na bidhaa nje sababu sisi watoto.
 
Watu wa Magharibi ni wajanja sana,wanatengeneza mazingira tuzichape kavukavu ili waje kuchukua uranium,hakuna watu wasanaii kama wa Magharibi,kwa ufupi hata lile sakata la Lisu ni janja nyani kututafuta hasira,kwa namna nyingine huu ni usanii wa level ya 5G.Congo waliingia wazima wazima Leo hii wako wapi, wanakula bastola na makombora huku dhahabu inabebwa na private jet.
Mtu wa magharini anahusika vipi hapa?
Huyo jamaa Gerald ni mpumbavu wa mwisho kabisa. Unawasaliti wananchi wenzako kisa serikali?
Haya, kwa mfano hata akirudi uraiani anaishi vipi na wananchi wenzake wakati wameshamjua kuwa ni snitch?

Kamaa tadinu danu. Anavuna alichopanda.
 
Ifike wakati sasa raia tujidhatiti. Tunapoona raia mwenzetu anachukuliwa mazingira tatanishi ni swala la kupiga nduru tukusanyike mawe, magongo, fimbo na mapanga vitumike kutengeneza mfumo wa haki na adabu.

Hawa tunaowaita watekaji sio superhumans ni binadamu tu kama sisi na wanaweza kuvuja damu na kufa vizuri tu. Na mimi nashauri wapatiwe kipigo kitakatifu na kuchomwa moto kama vile tunavyowaadhibu wezi na majambazi.

Tukifanya hivi mara 10 hicho kikosi maalumu cha watekaji tutakisikia kwenye redio tu.
Huu upumbavu muasisi ni jiwe
Aliwalea sana hawa wahuni
 
Mwaka flani Tulimuokota mtu tusiyemfahamu aliegongwa na gari tukampeleka hospital akiwa taabani tukaambiwa hatibiwi bila PF3, tulipoenda polisi tukawekwa chini ya ulinzi na kupigwa sana tukilazimishwa kukiri kwamba;

1. Sisi ndiyo tumemgonga huyo mtu
2. Tuwajibike kugharimia matibabu yake
3. Tutoe pesa ili kesi isiende mahakamani.

From then, nawaona polisi wote ni wanyama wa Serengeti tu
Haya ndio madhara ya kuajiri watu waliofeli. Hata kutumia akili hawawezi sijui vichwa walipewa vya nini.

Mimi huwa naumia sana nikisikia msamaria mwema anatiwa misukosuko kwa wema alofanya.
 
Hivi unajua kwanini mkulima akigundua gesi au uranium serikali inachukua haki,waafrika tunahesabika kama watoto ati hatuwezi deal kubwa.Mitambo yote inatoka nje Kuna jituhada za kuwa na yetu,pesa nyingi inatumika kununua huduma na bidhaa nje sababu sisi watoto.
Mhh
 
Polisi kazi yao ni nini kama raia anakuwa shushushu na kufanya kazi ya bila mkataba?
Ila jamaa zangu wanajua kudai aisee
Ana biashara zake ila akaona aendelee na ligi tena polisi
 
Katika mambo ya ujinga na upumbavu wa kiwango Cha lami ni kujifanya mzalendo . The world will not stop coz of your patriotism no and never , Niko na experience ya mambo ya namna hii ona sasa familia inaanza kupoteza rasilimali Ili kumtafuta ndugu yao .
Jambo la kujiuliza serikali Kuna watu wamesoma intelligence na wanakula vinono kwann wao wasingeenda kufanya kazi hiyo adi huyo bwana ajitolee Kwa kazi hiyo tena bila mkataba maalum wa kazi mambo ya kufanya kazi kienyeji sio mazuri ona sasa vigeugeu wamemgeuka tayari.
Pole sana ndugu na familia
Uzalendo
Kuna wimbo wa Dr Remy kipande kimoja anasema "wema kumanyoko"
wema kumanyoko"
KUBABAKE HILI NI FUNDISHO, SERIKALI SIO KITU CHA KUAMINI.
Askari wanapiga fedha za askari mwenzao?🤔

IMEANDIKWA : Nao askari wakamwuliza, “Na sisi tufanye nini?” Naye akawajibu, “Msichukue vitu vya mtu yeyote kwa nguvu wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishahara yenu.”
LUKA 3: 14
Miaka kadhaa nyuma nilishuhudia mzee mmoja akitaka kuporwa simu na vibaka. Nilikuwa nyuma ya yule mzee na hao vibaka, na simu ya mzee ilikuwa inaning'inia.
Niliwapita wote nikamuonya mzee kuwa simu yake inataka kuanguka.

Mzee alitoa shukrani zake na kwenda hatua chache kwa wakala wa pesa, kwa bahati nzuri ama mbaya na mimi nilikuwa nakwenda duka la solar lililo karibu na wakala.

Ikiwa sina ninalolijua ghafla yule mzee alianza kusema nimemuibia, kuwa pamoja na ile simu alikuwa na pesa taslim kama laki 4, lakini sasa pesa hazioni. Ile tafrani ilikuwa kubwa kiasi cha polisi kuja.

Ilibidi kwenda Msimbazi police. Nikaelezea kila nilicholezea halkadhalika na mzee akasema yake.
Niliulizwa nilikuwa na shilingi ngapi mfukoni, ilikuwa nina milioni kamili kutoka bank na pesa loose kama elfu 50. Na uzuri zaidi ile milioni ilikuwa ni noti mpya zilizokuwa kwenye serial number ya kufuatana, hivyo ikaamuliwa kuwa sio pesa ya mzee.

Hayo yote yalipokwisha na nilipotaka kuondoka nikaambiwa niweke vitu vyangu vyote pembeni ikiwemo simu na zile pesa. Kuuliza kama nimefunguliwa shtaka lolote, nikaambiwq ile kesi ipo kwenye file hivyo kwa sasa ni mshtakiwa mpaka pale wale vibaka ninaosema wakamatwe.

Nikaona hapa nikizembea itakula kwangu. Nashakuru Mungu nilipata ujasiri wa kuwa mkaidi na na kuanza kuzua ghasia pale. Bahati nzuri RPC aliingia na kukuta ile tafrani na kuhoji kinachoendelea. Polisi aliekuwq anahoji akadakia mimi ni kibaka, ila kabla sijajitetea yule yule mzee aliesema nimemuibia akadakia kwa nguvu kuwa mimi si kibaka.

Ikabidi ile story ihadithiwe upya mpaka kufikia kupiga kwangu kelele. Yule mpumbavu Polisi ilikuwa keshaweka milioni yangu mfukoni, kwa aibu aliitoa kwa amri ya RPC na kesi ikaishia hapo.

Niliapa maishani mwangu, sitajifanya msamaria mwema hata mtu akiwa anauliwa hapo, sitoamini Polisi yeyote hata akiwa friendly vipi.
Ikabidi ile story ihadithiwe upya mpaka kufikia kupiga kwangu kelele. Yule mpumbavu Polisi ilikuwa keshaweka milioni yangu mfukoni, kwa aibu aliitoa kwa amri ya RPC na kesi ikaishia hapo.
Haki nyingine ni ya kuiacha, kwa mzunguko wote huo thamani ya hiyo pesa imeisha tayari,familia iliache hili lipite.

Hii unaconfirm msemo wa Snitches gets stitchers
download-1.jpeg
 
Huwezi kuikwepa siasa, huwezi kukwepa kuji-associate na jambo lolote lenye uhusiano na siasa. CCM imefanikiwa kudanganya watanzania wengi kuwa siasa ni kitengo hatari na ukijihusiasha nacho litakalokupa basi ni haki yako. Hivi unajua kuwa hata kwenda msikitini au kanisani kuna uhusiano na siasa? Hivi unajua kuwa hata kazi au biashara unayofanya ina uhusiano na siasa? Hivi unajua kuwa hata familia yako uliyonayo ina uhusiano na siasa? Siasa ni maisha, na maisha ni siasa. Kna siku utajua kuwa hukujua hili!
Ishi maisha Yako uone kama utafia kwenye huu ujinga unaoitwa siasa eti kupambana mpaka kufa kuhusu kizazi kijacho yaani kama kizazi kijacho kitaishi dunia I milele hakitoisha ujinga huo sifanyi naishi maisha yangu hapa duniani ukifa umekufa haurudi tena Sasa ya nini nipambanie mtu ambaye duniani anakuja kivyake
 
Back
Top Bottom