Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Nawachukia na nitawachukia polisi maisha yangu yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kuikwepa siasa, huwezi kukwepa kuji-associate na jambo lolote lenye uhusiano na siasa. CCM imefanikiwa kudanganya watanzania wengi kuwa siasa ni kitengo hatari na ukijihusiasha nacho litakalokupa basi ni haki yako. Hivi unajua kuwa hata kwenda msikitini au kanisani kuna uhusiano na siasa? Hivi unajua kuwa hata kazi au biashara unayofanya ina uhusiano na siasa? Hivi unajua kuwa hata familia yako uliyonayo ina uhusiano na siasa? Siasa ni maisha, na maisha ni siasa. Kna siku utajua kuwa hukujua hili!Nachukia siasa,nawachukia wanasiasa,nachukia kuji associate na jambo lolote lenye uhusiano na siasa...endelea kuipambania nchi,utaitwa mzalendo siku moja ukiwa kaburini
Kuna siku haya haya unayoyaogopa na kuyakwepa yatakufuata kwenye hizo hizo biashara au kazi zako. Ni suala la muda tu.Ndg zangu nasisitiza fanya kazi zako ,kama unafanya biashara fanya ,kazi fanya ,usijihusishe kwenye kazi yoyote isiyokuhusu ,usiandamane maana ukifa wengine tutaendelea kuishi na tutamsingizia Mungu kakuchukua na RIP na masikitiko nyuma ya keyboard
Hizi mambo ni mindset za wenye nguvu kuwaandaa wasio na nguvu kuwa watii.jambo pekee ambalo nina uhakika nalo hapa duniani ni kwamba, damu ya mtu asiye na hatia huwa inalia, inalia kilio kikubwa sana na ukiimwaga, it is just a matter of time, utalipa tu kwasababu huwa hainyamazi.
Kuna siku nitajua sikujua ni kauli ya kutishana..nyambaf,sipendi siasa!Huwezi kuikwepa siasa, huwezi kukwepa kuji-associate na jambo lolote lenye uhusiano na siasa. CCM imefanikiwa kudanganya watanzania wengi kuwa siasa ni kitengo hatari na ukijihusiasha nacho litakalokupa basi ni haki yako. Hivi unajua kuwa hata kwenda msikitini au kanisani kuna uhusiano na siasa? Hivi unajua kuwa hata kazi au biashara unayofanya ina uhusiano na siasa? Hivi unajua kuwa hata familia yako uliyonayo ina uhusiano na siasa? Siasa ni maisha, na maisha ni siasa. Kna siku utajua kuwa hukujua hili!
🔨🔨🔨Sema kuna baadhi ya viongozi wanatamaa sana nikama mishahara haiwatoshi
Ndio akili yako ya kufikiria kwa kutumia kwapa ilipoishia. Hiyo hamasa ya biashara leo umeipata baada ya babu zako kuutoa uhai kwa kupigania vizazi vijavyo ndio maana leo hii unaongea. Labda kama nawe ni walewale tuNdg zangu nasisitiza fanya kazi zako ,kama unafanya biashara fanya ,kazi fanya ,usijihusishe kwenye kazi yoyote isiyokuhusu ,usiandamane maana ukifa wengine tutaendelea kuishi na tutamsingizia Mungu kakuchukua na RIP na masikitiko nyuma ya keyboard
Yaani hii nchi viongozi kama wanyama yaani mafisi mnoo plus roho mbaya halafu wakatili sanaaSema kuna baadhi ya viongozi wanatamaa sana nikama mishahara haiwatoshi
Naunga mkono hojaUsisaidie police 🚨
Kuna watu kazi yao ni siasa mimi siasa sio kazi yangu siwezi kukusaidia kazi yako ukiniambia nije kwenye mkutano wa kisiasa ni kazi yako hiyo siji,ukiniambia niandamane na wewe ni mwanasiasa siandamani .Huwezi kuikwepa siasa, huwezi kukwepa kuji-associate na jambo lolote lenye uhusiano na siasa. CCM imefanikiwa kudanganya watanzania wengi kuwa siasa ni kitengo hatari na ukijihusiasha nacho litakalokupa basi ni haki yako. Hivi unajua kuwa hata kwenda msikitini au kanisani kuna uhusiano na siasa? Hivi unajua kuwa hata kazi au biashara unayofanya ina uhusiano na siasa? Hivi unajua kuwa hata familia yako uliyonayo ina uhusiano na siasa? Siasa ni maisha, na maisha ni siasa. Kna siku utajua kuwa hukujua hili!
Msirudie tenaMwaka flani Tulimuokota mtu tusiyemfahamu aliegongwa na gari tukampeleka hospital akiwa taabani tukaambiwa hatibiwi bila PF3, tulipoenda polisi tukawekwa chini ya ulinzi na kupigwa sana tukilazimishwa kukiri kwamba;
1. Sisi ndiyo tumemgonga huyo mtu
2. Tuwajibike kugharimia matibabu yake
3. Tutoe pesa ili kesi isiende mahakamani.
From then, nawaona polisi kama wanyama wa Serengeti tu
Hizinswrikali zetu,hata siku mojaKatika mambo ya ujinga na upumbavu wa kiwango Cha lami ni kujifanya mzalendo . The world will not stop coz of your patriotism no and never , Niko na experience ya mambo ya namna hii ona sasa familia inaanza kupoteza rasilimali Ili kumtafuta ndugu yao .
Jambo la kujiuliza serikali Kuna watu wamesoma intelligence na wanakula vinono kwann wao wasingeenda kufanya kazi hiyo adi huyo bwana ajitolee Kwa kazi hiyo tena bila mkataba maalum wa kazi mambo ya kufanya kazi kienyeji sio mazuri ona sasa vigeugeu wamemgeuka tayari.
Pole sana ndugu na familia