vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Sina cha kusema
Wauzaji wa dawa za kulevya watakupiga fitina kupitia kwa wanasiasa wenye ushawishi kwa Rais nawe utatupiliwa mbali
Hao uliowaweka hadharani wapo kwenye mnyororo wa vigogo wakatili nyuma yake
Hawatakuacha utaondoka
Bahati mbaya hawa wahalifu huwa wanatafuta kitu chenye mvuto kwa jamii wajifiche na wakubalike kwa wananchi
Moja ya taasisi walipojificha ni huku kwenye mpira simba na yanga
Umeonyesha uzalendo na ujasiri ila wataungana kukutoa