Gerald Kusaya jiandae kung'olewa kwenye nafasi yako, umegusa mnyororo wa dawa za kulevya

Sina cha kusema

Wauzaji wa dawa za kulevya watakupiga fitina kupitia kwa wanasiasa wenye ushawishi kwa Rais nawe utatupiliwa mbali

Hao uliowaweka hadharani wapo kwenye mnyororo wa vigogo wakatili nyuma yake

Hawatakuacha utaondoka

Bahati mbaya hawa wahalifu huwa wanatafuta kitu chenye mvuto kwa jamii wajifiche na wakubalike kwa wananchi

Moja ya taasisi walipojificha ni huku kwenye mpira simba na yanga

Umeonyesha uzalendo na ujasiri ila wataungana kukutoa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Duh...!. Haya niliyaongea enzi za Makonda!, Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia...
P
 
Ukweli mchungu genge la wauza madawa wapo tayari kufanya chochote hawanaga aibu...

Huyu utasikia kaamishwa

Hakuna vita ngumu duniani Kama kupambana na Hawa madubwasha

Na hivi tuna taifa la ovyo Kama Tanzania utashangaa wakina February na Majaliwa na Nchemba ndio wanashauri jamaa aamishwe !!!

Ogopa Sana mtu kujifanya anamiliki timu bongo nyuma ya pazia Kuna uozo mkubwa Sana.

Lakini mm nampongeza hata Kama atatolewa ushujaa kauonyesha!!
Yametimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina cha kusema

Wauzaji wa dawa za kulevya watakupiga fitina kupitia kwa wanasiasa wenye ushawishi kwa Rais nawe utatupiliwa mbali

Hao uliowaweka hadharani wapo kwenye mnyororo wa vigogo wakatili nyuma yake

Hawatakuacha utaondoka

Bahati mbaya hawa wahalifu huwa wanatafuta kitu chenye mvuto kwa jamii wajifiche na wakubalike kwa wananchi

Moja ya taasisi walipojificha ni huku kwenye mpira simba na yanga

Umeonyesha uzalendo na ujasiri ila wataungana kukutoa
Duh!! Watu wanaona mbali sana
 
Duuuu!!
 
Kama wanajidanganya kuwa lyimo atawachekea hao wauza ngada basi wameudandia mtumbwi wa vibwengo.
 
Back
Top Bottom