Gerald Kusaya jiandae kung'olewa kwenye nafasi yako, umegusa mnyororo wa dawa za kulevya

Sina cha kusema

Wauzaji wa dawa za kulevya watakupiga fitina kupitia kwa wanasiasa wenye ushawishi kwa Rais nawe utatupiliwa mbali

Hao uliowaweka hadharani wapo kwenye mnyororo wa vigogo wakatili nyuma yake

Hawatakuacha utaondoka

Bahati mbaya hawa wahalifu huwa wanatafuta kitu chenye mvuto kwa jamii wajifiche na wakubalike kwa wananchi

Moja ya taasisi walipojificha ni huku kwenye mpira simba na yanga

Umeonyesha uzalendo na ujasiri ila wataungana kukutoa
Manabii wa jf muishi sana
 
Terrible

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli mchungu genge la wauza madawa wapo tayari kufanya chochote hawanaga aibu...

Huyu utasikia kaamishwa

Hakuna vita ngumu duniani Kama kupambana na Hawa madubwasha

Na hivi tuna taifa la ovyo Kama Tanzania utashangaa wakina February na Majaliwa na Nchemba ndio wanashauri jamaa aamishwe !!!

Ogopa Sana mtu kujifanya anamiliki timu bongo nyuma ya pazia Kuna uozo mkubwa Sana.

Lakini mm nampongeza hata Kama atatolewa ushujaa kauonyesha!!
Yametimia. Na hii ndiyo Tanzania chini ya utawala wa chama cha wapiga dili za kila aina.
 
Mkuu una la kusema sasa?
Duh, tunabishana na majitu yako kwenye system za uteuzi mkuu! Nchi hii imekuwa dhaifu sana maamuzi yote yanafanywa kwa remote! Leo hii eti Kusaya ni RAS sijui wapi huko? Tumwombe Mungu aingilie kati aisee bila remote kuishiwa betri tutanyooka!
 
Ukweli mchungu genge la wauza madawa wapo tayari kufanya chochote hawanaga aibu...

Huyu utasikia kaamishwa

Hakuna vita ngumu duniani Kama kupambana na Hawa madubwasha

Na hivi tuna taifa la ovyo Kama Tanzania utashangaa wakina February na Majaliwa na Nchemba ndio wanashauri jamaa aamishwe !!!

Ogopa Sana mtu kujifanya anamiliki timu bongo nyuma ya pazia Kuna uozo mkubwa Sana.

Lakini mm nampongeza hata Kama atatolewa ushujaa kauonyesha!!
Magufuli alijitahidi sana Mwamba
 
Vita ya madawa hata marekani imewashinda sembuse bongo
 
Back
Top Bottom