baro
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,129
- 4,028
Lyimo pale hamna kitu amewekwa sababu watu flani wametaka awe hapo kiufupi tunabakwa sanaKama wanajidanganya kuwa lyimo atawachekea hao wauza ngada basi wameudandia mtumbwi wa vibwengo.
Halafu hamshituki hizi Teuzi za Maza akiwa nje ya nchi ?
Hamjagundua kitu?