vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Kama humjui Kusaya bora unyamaze! Kipepeo huyo, watachemsha tu!!Sina cha kusema
Wauzaji wa dawa za kulevya watakupiga fitina kupitia kwa wanasiasa wenye ushawishi kwa Rais nawe utatupiliwa mbali
Hao uliowaweka hadharani wapo kwenye mnyororo wa vigogo wakatili nyuma yake
Hawatakuacha utaondoka
Bahati mbaya hawa wahalifu huwa wanatafuta kitu chenye mvuto kwa jamii wajifiche na wakubalike kwa wananchi
Moja ya taasisi walipojificha ni huku kwenye mpira simba na yanga
Umeonyesha uzalendo na ujasiri ila wataungana kukutoa
Uko sahihi kwani wauza unga wengi wana uhusiano wa karibu na wanasiasa wa CCMSina cha kusema
Wauzaji wa dawa za kulevya watakupiga fitina kupitia kwa wanasiasa wenye ushawishi kwa Rais nawe utatupiliwa mbali
Hao uliowaweka hadharani wapo kwenye mnyororo wa vigogo wakatili nyuma yake
Hawatakuacha utaondoka
Bahati mbaya hawa wahalifu huwa wanatafuta kitu chenye mvuto kwa jamii wajifiche na wakubalike kwa wananchi
Moja ya taasisi walipojificha ni huku kwenye mpira simba na yanga
Umeonyesha uzalendo na ujasiri ila wataungana kukutoa
KichakaUko sahihi kwani wauza unga wengi wana uhusiano wa karibu na wanasiasa wa CCM
Hii ndio fact, sio uwezekano tena, nchi imerudi kwa maharamia.Kuna uwezekano lile povu la aliyekuwa DC Korogwe likawa lina ukweli.
Kwamba Walioonyooka hawatakiwi ila wale wa big spoon badala ya koleo.