Lyimo pale hamna kitu amewekwa sababu watu flani wametaka awe hapo kiufupi tunabakwa sanaKama wanajidanganya kuwa lyimo atawachekea hao wauza ngada basi wameudandia mtumbwi wa vibwengo.
Hatimaye yametimia..Sina cha kusema
Wauzaji wa dawa za kulevya watakupiga fitina kupitia kwa wanasiasa wenye ushawishi kwa Rais nawe utatupiliwa mbali
Hao uliowaweka hadharani wapo kwenye mnyororo wa vigogo wakatili nyuma yake
Hawatakuacha utaondoka
Bahati mbaya hawa wahalifu huwa wanatafuta kitu chenye mvuto kwa jamii wajifiche na wakubalike kwa wananchi
Moja ya taasisi walipojificha ni huku kwenye mpira simba na yanga
Umeonyesha uzalendo na ujasiri ila wataungana kukutoa
Nadhani sasa umemuelewa mtoa madaHuo Mnyororo utaondolewa na Yeye atabaki huru
YametimiaHakuna wa kumtoa hapo haiwezekani madawa yashamiri ndani ya muda mfupi namna hiyo
Mangi tulia, hakuna mkate mgumuKama wanajidanganya kuwa lyimo atawachekea hao wauza ngada basi wameudandia mtumbwi wa vibwengo.
Mkuu una la kusema sasa?Kama humjui Kusaya bora unyamaze! Kipepeo huyo, watachemsha tu!!
Tutarudi kurejea tena hii comment yako baada ya mudaKama wanajidanganya kuwa lyimo atawachekea hao wauza ngada basi wameudandia mtumbwi wa vibwengo.
Hapa nchi inajiendesha yenyeweLyimo pale hamna kitu amewekwa sababu watu flani wametaka awe hapo kiufupi tunabakwa sana
Halafu hamshituki hizi Teuzi za Maza akiwa nje ya nchi ?
Hamjagundua kitu?
🤣🤣Huo Mnyororo utaondolewa na Yeye atabaki huru
Hatimae imetimia uzi ulianza 2022Sina cha kusema
Wauzaji wa dawa za kulevya watakupiga fitina kupitia kwa wanasiasa wenye ushawishi kwa Rais nawe utatupiliwa mbali
Hao uliowaweka hadharani wapo kwenye mnyororo wa vigogo wakatili nyuma yake
Hawatakuacha utaondoka
Bahati mbaya hawa wahalifu huwa wanatafuta kitu chenye mvuto kwa jamii wajifiche na wakubalike kwa wananchi
Moja ya taasisi walipojificha ni huku kwenye mpira simba na yanga
Umeonyesha uzalendo na ujasiri ila wataungana kukutoa
Basi jidanganye uendelee na hiyo biasharaLyimo pale hamna kitu amewekwa sababu watu flani wametaka awe hapo kiufupi tunabakwa sana
Halafu hamshituki hizi Teuzi za Maza akiwa nje ya nchi ?
Hamjagundua kitu?
Kwa awamu hii it's just a matter of choice.Basi jidanganye uendelee na hiyo biashara
Unabii wako umetimia mkuu.Sina cha kusema