Gerald Kusaya jiandae kung'olewa kwenye nafasi yako, umegusa mnyororo wa dawa za kulevya

Manabii wa jf muishi sana
 
Terrible


Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Yametimia. Na hii ndiyo Tanzania chini ya utawala wa chama cha wapiga dili za kila aina.
 
Mkuu una la kusema sasa?
Duh, tunabishana na majitu yako kwenye system za uteuzi mkuu! Nchi hii imekuwa dhaifu sana maamuzi yote yanafanywa kwa remote! Leo hii eti Kusaya ni RAS sijui wapi huko? Tumwombe Mungu aingilie kati aisee bila remote kuishiwa betri tutanyooka!
 
Magufuli alijitahidi sana Mwamba
 
Vita ya madawa hata marekani imewashinda sembuse bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…