Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
good nimeona mkuu it work thank you nilikuwa sijui...
Hiyo haina Umuhimu Mkuu,
Mchanganyiko wa herufi kubwa na ndogo sio ishu kuufatisha as long as umelipatia jina hata uandike kwa herufi ndogo lita-appear kwa herufi original...
Mfano @ stunter or @ kenzy
sasa testi zari hapo
kila mjanja na mjanja wake!d.b cooper ndan ya america walimkosa ila osama nje ya usa wakampata
ilitakiwa aandike, chanzo ni mitandao ya kijamii.Nimeipenda!! Ila haina source! Isijekuwa source ni Mr X wa Hollywood.
ni mapema sana, watakuja ku-declassify miaka kadhaa mbeleni.kumbuka alqaida bado wapo, na wameibuka wengine wanajiita IS.kwanin mpka sasa imekuwa classified issue
Unaona raha gani kunukuu uzi mrefu hivi? Unatupa shida tunaotumia simukwanin mpka sasa imekuwa classified issue
Pamoja sana mwanagood nimeona mkuu it work thank you nilikuwa sijui...
Sijui tabu uliyoipata ni ipi hapo,hujui nini maana ya mshangao?au ndo hekima sifuri..Utabakia kushangaa hivyo hivyo ,thread yote hii una qoute kwa neno "Duh" unatupa tabu tu Mkuu
Asante sana kwa simulizi hii taamu....! Kuna kale kamsemo kanasema there is other side of every story!
Kwanza kumuhusisha osama na sept 11 huenda ni jambo lenye kuhitaji tafit zaidi. Kwa level ya planning na execution ya tukio la sept 11 ....watafit wengi wenye elimu za juu za fizikia...usalama na nyenginezo wametoa hoja zenye mashiko sana ikiwa osama aliweza kutekeleza tukio hilo bila c.i.a wenyewe kuhusika. Zipo rejea nyingi sana katika hili.
Lakin kuhusu tukio lenyewe kwenye simuliz hii...sababu za kutomuonesha osama baada ya kumuuua bila shaka zinaleta ushaka fulani ingawa hii haimaanishi kwamba hakuuwawa. Celebrity wa ugaid akazikwa kimyakimya bila uthibitisho wa ziada kwa kweli mie inanichefua. Zaid ya hapo...hilo kasri lilikuwa na ulinzi dhaifu kiasi gan hali yy osama akijua yuko kwenye watchlist 24hrs?! Yaan mtu mwenye uwezo wa kufanya planning ya level ya sept 11 siamini kwamba makazi yake yatakuwa na security level nyepesi...bila shaka IQ yake ingeshamwambia in advance escape strategy yake ikoje...!
Yaan binafsi nikifikiria sifa alizopewa osama na jins alvokuja kuuwawa hadi kuzikwa i feel there is so much left untold. Siwezi kuprove au disaprove kifo cha huyu jamaa...lakin kama c.i.a na marekan kwa ujumla waliaminisha ulimwengu kuwa Iraq ina silaha za maangamizi na dunia ikaamini....leo itashindwaje kutuambia imemuua osama tusiamini?!
There is other side of every story!!
Mkuu hoja zako ni za msingi sana na za mashiko....haiwezekani Bin Laden atumie akili nyingi kwenye 11/9 alafu ajiwekee ulinzi dhaifu....BTW ampongeza sana mleta mada, story za huyu jamaa hazichoshi kusoma.Asante sana kwa simulizi hii taamu....! Kuna kale kamsemo kanasema there is other side of every story!
Kwanza kumuhusisha osama na sept 11 huenda ni jambo lenye kuhitaji tafit zaidi. Kwa level ya planning na execution ya tukio la sept 11 ....watafit wengi wenye elimu za juu za fizikia...usalama na nyenginezo wametoa hoja zenye mashiko sana ikiwa osama aliweza kutekeleza tukio hilo bila c.i.a wenyewe kuhusika. Zipo rejea nyingi sana katika hili.
Lakin kuhusu tukio lenyewe kwenye simuliz hii...sababu za kutomuonesha osama baada ya kumuuua bila shaka zinaleta ushaka fulani ingawa hii haimaanishi kwamba hakuuwawa. Celebrity wa ugaid akazikwa kimyakimya bila uthibitisho wa ziada kwa kweli mie inanichefua. Zaid ya hapo...hilo kasri lilikuwa na ulinzi dhaifu kiasi gan hali yy osama akijua yuko kwenye watchlist 24hrs?! Yaan mtu mwenye uwezo wa kufanya planning ya level ya sept 11 siamini kwamba makazi yake yatakuwa na security level nyepesi...bila shaka IQ yake ingeshamwambia in advance escape strategy yake ikoje...!
Yaan binafsi nikifikiria sifa alizopewa osama na jins alvokuja kuuwawa hadi kuzikwa i feel there is so much left untold. Siwezi kuprove au disaprove kifo cha huyu jamaa...lakin kama c.i.a na marekan kwa ujumla waliaminisha ulimwengu kuwa Iraq ina silaha za maangamizi na dunia ikaamini....leo itashindwaje kutuambia imemuua osama tusiamini?!
There is other side of every story!!
Kiongozi....sipingi wala kukubali kuwa osama kauwawa...ninachosema ni kuruhusu IQ yangu ndogo itizame mambo katika muundo wa pembetatu.Ukubali usikubali OSAMA ALIUAWA. NA ALIUAWA KWELI KWELI. mengine naweza kukujibu vizuri tu tukianzia na hapo kwanza. hizo doubts zako nyingine naweza kukujibu bila shaka yoyote ila tukubaliane kwanza osama aliuawa.