Again! Tufanye mimi ni mshari na wewe ndiye mtu mwema..
My point is, mimi sio CIA kwahiyo obviously kuna source ya stori yangu.. Sasa usinilazimishe kuwa source yangu ni kitabu cha Martine, kama wewe umesoma kitabu cha Martine/documentary or whatever basi mimi nimesoma mahala kwingine! Usinilazimishe kuwa source yangu ni Martine.
Sijajua wewe unapoandikaga vitabu vyako unafanyaje lakini kwa upande wangu kabla ya kuandika kitu nafanya tafiti. Tuchukue kwa mfano simulizi hii, nimepitia 'press release' za white house na DOD, nimepita wikipedia, nimepitia makala za majarida, nimepitia maelezo ya former SEALs anayedai kupiga ile killing shot kwa Osama, nimepitia maelezo ya ISI na serikali ya Pakistan nakadhalika nakadhalika nakadhalika. Hivyo ndivyo ninavyoandika makala zangu..
Sasa wewe unayesema ati kuna chapisho nimetafsiri 'neno kwa neno' ndio hapo ninapokwambia wewe ni Mwongo na mpotoshaji. Hebu tuwekee hilo chapisho/documentary.!!
Na kwanini kila nyuzi anagoandika The Bold kazima uponde, uipake mavi na utoe kila neno baya! Hivi siku moja tu ukisema "Good job The Bold, Keep it up", utapungukiwa nini, si walau utaniongezea moyo nizidi kukomaa na mimi walau siku nije kuwa mwandishi 'nguli' kama wewe (I mean it)
Unaposhindwa kunipongeza hata kinafiki tu badala yake kuniponda tu kila siku ndio hapo nakwambia wewe Yericko una wivu wa kike.