Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana Yericko hapendi kuona wengine wakiandika?Yericko unanisikitisha sana Mkuu! Unakumbuka kile nilichokwambia kwenye uzi iliopita wa Cooper??? Nilikwambia kwamba nilikuwa nakuheshimu sana bro.. and I mean it! Nilikuwa na heshima sana kwako... Nimesoma kitabu chako cha Ujasusi wa kiuchumi and i loved it! Kichwani nilijenga Picha ya Yericko tofauti sana na huyu ninayemuona humu.! Umejivunjia heshima sana mkuu
Tangu uanze huu utoto unaoufanya, nimekudharau mnoooo! Nimekushusha mnooo! Umepoteza heshima kubwa mno niliyokuwa nakupa.. Na zaidi umenisikitisha sana!
Badilika mkuu. Wewe ni mwandishi, na mwingine nae akiandika watu wakapenda usichukie!! Furahi, mtie moyo.. Huo ndio 'uGreat thinker'
Sina tatizo na wewe kabisa mkuu, wala sijapungukiwa na kitu chochote wewe kutoniheshimu kwakuwa sikupata chochote wewe uliponiheshimu....na wala sikujua heshima yako kwangu...Yericko unanisikitisha sana Mkuu! Unakumbuka kile nilichokwambia kwenye uzi iliopita wa Cooper??? Nilikwambia kwamba nilikuwa nakuheshimu sana bro.. and I mean it! Nilikuwa na heshima sana kwako... Nimesoma kitabu chako cha Ujasusi wa kiuchumi and i loved it! Kichwani nilijenga Picha ya Yericko tofauti sana na huyu ninayemuona humu.! Umejivunjia heshima sana mkuu
Tangu uanze huu utoto unaoufanya, nimekudharau mnoooo! Nimekushusha mnooo! Umepoteza heshima kubwa mno niliyokuwa nakupa.. Na zaidi umenisikitisha sana!
Badilika mkuu. Wewe ni mwandishi, na mwingine nae akiandika watu wakapenda usichukie!! Furahi, mtie moyo.. Huo ndio 'uGreat thinker'
Sina tatizo na wewe kabisa mkuu, wala sijapungukiwa na kitu chochote wewe kutoniheshimu kwakuwa sikupata chochote wewe uliponiheshimu....na wala sikujua heshima yako kwangu...
Hoja ni wewe kusema nime "iba" makala "yako" inayohusu DB Cooper,
Mimi nikakupa blogu niliyoandika makala hiyo tangu 2015 na kumtaja mwandishi/msimulizi Mr Jeff Harison na zaidi nikaweka video kabisa katika blog ile... Siku ile nilidhani umeghafilika tu ulipolalamika na kunitusi kwamba nimeiba kwako...
Lakini leo umeleta nyingine kwamtindo uleule na ukanishambulia, ndipo nikaamua kuwasaidia wasomaji hapa kwamba wapi unakoiba hizi hadithi... Na zaidi ninawapa na video kabisa...
Stori ya lep hii hapa.....
Mohammedal-Qahtani au Gerenimo huyo hapo na simulizi yake neno kwa neno...

Mkuu, kwa mujbu wa maelezo ya majirani waliokuwa wanaishi mtaa huo, wanasema kwamba umeme ulikatika mji mzima siku hiyo ya tukio na mawasiliano ya simu nayo yalikata (kuna taarifa za uhakika kuwa CIA walihusika katika uzimaji huo) kwa hiyo hata raia wangetaka kutoa taarifa ingekuwa ni mtihani..Dah.!! Historia nzuri sana. Ila nimejiuliza maswali haya kama kuna anayeweza kunifafanulia nitashukuru.
1: Al-kuwait na kaka yake Abrar wakat waliwashambulia hao makomandoo saut za risas hazikusikika? Maana walitumia Ak 47.
2: Huo mlipuko wa hiyo helikopta iliyoharibika haukusikika au hata moshi kuonekana kwa majiran?
Nadhani hujaelewa shida ya The Bold na mimi..Jamaa ana kipaji kizuri sana cha kusimulia.. Wewe mbona inakuuma sana?? Hata kama amekopi mahali ila anatutendea haki sisi tunaosoma makala zake..
Wewe ulitaka jamaa apate inside infos kwani yeye anafanya huko CIA??
Asante sana kwa simulizi hii taamu....! Kuna kale kamsemo kanasema there is other side of every story!
Kwanza kumuhusisha osama na sept 11 huenda ni jambo lenye kuhitaji tafit zaidi. Kwa level ya planning na execution ya tukio la sept 11 ....watafit wengi wenye elimu za juu za fizikia...usalama na nyenginezo wametoa hoja zenye mashiko sana ikiwa osama aliweza kutekeleza tukio hilo bila c.i.a wenyewe kuhusika. Zipo rejea nyingi sana katika hili.
Lakin kuhusu tukio lenyewe kwenye simuliz hii...sababu za kutomuonesha osama baada ya kumuuua bila shaka zinaleta ushaka fulani ingawa hii haimaanishi kwamba hakuuwawa. Celebrity wa ugaid akazikwa kimyakimya bila uthibitisho wa ziada kwa kweli mie inanichefua. Zaid ya hapo...hilo kasri lilikuwa na ulinzi dhaifu kiasi gan hali yy osama akijua yuko kwenye watchlist 24hrs?! Yaan mtu mwenye uwezo wa kufanya planning ya level ya sept 11 siamini kwamba makazi yake yatakuwa na security level nyepesi...bila shaka IQ yake ingeshamwambia in advance escape strategy yake ikoje...!
Yaan binafsi nikifikiria sifa alizopewa osama na jins alvokuja kuuwawa hadi kuzikwa i feel there is so much left untold. Siwezi kuprove au disaprove kifo cha huyu jamaa...lakin kama c.i.a na marekan kwa ujumla waliaminisha ulimwengu kuwa Iraq ina silaha za maangamizi na dunia ikaamini....leo itashindwaje kutuambia imemuua osama tusiamini?!
There is other side of every story!!
Heshima kwako mtoa mada
umeeleza vyema sana
Nashukuru sana wakuu..Mkuu nakubali sana nyuzi zako, usisahau kuniita kwenye nyuzi zako
Cc the bold.
We Jamaa saluti Sana.nimesoma story Kama naiona vile...heshima kwako
Story imeelezwa vizuri mpaka inakuwa kama unatazama movie. Swala la ni kweli ama la ni ishu nyingine ila uwasilishaji umenivutia sana. Ahsante sana mkuu.
Nashukuru sana wakuu!Shukrani ubarikiwe
Dah mkuu mimi ndio maana nimeona nikae kimya tu! Maana ameweka zaidi ya video tatu tofauti alafu kila moja anasema ndiyo hiyo imetafsiriwa 'neno kwa neno'.. Ukiifungua video si kweli.!Hii video hiyo simulizi ya neno kwa neno iko wapi ? Nilichoona kwenye video hii ya dakika tatu na sekunde 11 ni mwanamke anaelezea hali ya jamaa kama kupoteza kumbukumbu nk
Kama nimesoma hii makala ya The Bold vizuri hakuna sehemu amesema Gerenimo alikua na tatizo la kupoteza kumbukumbu hoja yako ya neno kwa neno mpaka hapa imeshapoteza mantiki ,
Halafu ni kitu gani hasa mnachobishania ? Jamaa katafsiri hiyo documentary sijui ya Martin au ya DoD ila yeye kaileta kwa kiswahili shida ni nini hasa ?
Video yako hii haina uhusiano wowote na mada ya The bold
Nashukuru sana mkuu!!All in all sisi tumefurahi Mzee bold.Naomba uni julishe pindi unapotupia Uzi Mpya...nime print nimehifadhi. Safi sana.
Mimi ni shabiki wako na 1