naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,431
Mkuu nakubali sana nyuzi zako, usisahau kuniita kwenye nyuzi zako
Cc the bold.
Cc the bold.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa hata mm nashindwa kuelewa ni vipi mtu kama osama akawa na ulinzi dhaifu kiasi hicho maana wanajeshi wa marekani wamekutana na watu wawili tu wenye silaha za kivita tena AK-47.Kiongozi....sipingi wala kukubali kuwa osama kauwawa...ninachosema ni kuruhusu IQ yangu ndogo itizame mambo katika muundo wa pembetatu.
Waweza jibu hoja zangu kama unaziona zipo...lakin wakati ukiwa unajibu jiweke katika fikra huru kwa kuzingatia declassified intelligence records...tizama zaidi matukio between miaka ya 60s to 90s ...lets think for the sake of thinking!
Nafikiri kutoweka ulinzi ilikuwa mbinu moja ya kumfanya kuwa invisible. Unapoweka walinzi wanaweza kuonekana kwa drones na sateliti na hii ina raise suspicion. Kwa kifupi hii ilikuwa ni operesheni inayhitaji uvumilivu maana imechukua miaka karibu kumi kwa kuangalia process yote...Ni kweli kabisa hata mm nashindwa kuelewa ni vipi mtu kama osama akawa na ulinzi dhaifu kiasi hicho maana wanajeshi wa marekani wamekutana na watu wawili tu wenye silaha za kivita tena AK-47.
Umeanya analysis nzuri sana kuna vitu vingine ukiambiwa inabidi ufikirishe sana akili yako...swali sababu ya USA kuvamia Iraq ni silaha za maangamizi na sababu ya USA kwenda Afghan ni kumtafuta Osama baada ya kudaiwa kufanya tukio la 9/11 sasa je Iraq kulipatikana silaha hizo za maangamizi na je bila kuwa na mtu anayeitwa Osama USA wasingeenda Afghan? nchi ambayo hapo zamani hawakupenda iwe karibu na Urusi mpaka kufikia hatua ya kuwapatia silaha mujahedeen wapambane na Urus!?Asante sana kwa simulizi hii taamu....! Kuna kale kamsemo kanasema there is other side of every story!
Kwanza kumuhusisha osama na sept 11 huenda ni jambo lenye kuhitaji tafit zaidi. Kwa level ya planning na execution ya tukio la sept 11 ....watafit wengi wenye elimu za juu za fizikia...usalama na nyenginezo wametoa hoja zenye mashiko sana ikiwa osama aliweza kutekeleza tukio hilo bila c.i.a wenyewe kuhusika. Zipo rejea nyingi sana katika hili.
Lakin kuhusu tukio lenyewe kwenye simuliz hii...sababu za kutomuonesha osama baada ya kumuuua bila shaka zinaleta ushaka fulani ingawa hii haimaanishi kwamba hakuuwawa. Celebrity wa ugaid akazikwa kimyakimya bila uthibitisho wa ziada kwa kweli mie inanichefua. Zaid ya hapo...hilo kasri lilikuwa na ulinzi dhaifu kiasi gan hali yy osama akijua yuko kwenye watchlist 24hrs?! Yaan mtu mwenye uwezo wa kufanya planning ya level ya sept 11 siamini kwamba makazi yake yatakuwa na security level nyepesi...bila shaka IQ yake ingeshamwambia in advance escape strategy yake ikoje...!
Yaan binafsi nikifikiria sifa alizopewa osama na jins alvokuja kuuwawa hadi kuzikwa i feel there is so much left untold. Siwezi kuprove au disaprove kifo cha huyu jamaa...lakin kama c.i.a na marekan kwa ujumla waliaminisha ulimwengu kuwa Iraq ina silaha za maangamizi na dunia ikaamini....leo itashindwaje kutuambia imemuua osama tusiamini?!
There is other side of every story!!
Hii part ya kuuzamisha mwili baharini inaweza ikawa wam ifabricate just to get people off the hook. Inawezekana mwili wake bado wanao wamuhifadhi mahali kwa hiyo part nyingi za hii habari bado ni siri nzito za usalama@Thebold Asante kwa story nzuri ila Ukilinganisha sifa za hilo jumba, mtu aliekuepo ndani na ulinzi ni vitu viwili tofauti napata wacwac hapo yaani kuuliwa watu wa3 tu na kumpata Osama. Duuh!!
Sema nilikua naswali hapa jamani, kwanini waliamua kuuzamisha baharini mwili wa Osama na sio vinginevyo?
Movie pia ipo, maelezo haya hayaDah.. kama movie yani
Mkuu japo hukunitag lkn nimeisoma. safi sana nasubiri Yericko aipeleke tena fbKabisa! Inaonesha jinsi wenzetu walivyo makini hata kwa details ndogo ndogo
Unaweza kuwa sahihi ila naona bado kuna siri kubwa sana juu ya tukio hili.Nafikiri kutoweka ulinzi ilikuwa mbinu moja ya kumfanya kuwa invisible. Unapoweka walinzi wanaweza kuonekana kwa drones na sateliti na hii ina raise suspicion. Kwa kifupi hii ilikuwa ni operesheni inayhitaji uvumilivu maana imechukua miaka karibu kumi kwa kuangalia process yote...
Wabongo tulivyo na majibu mepesi... Yule dogo angeachiwa siku ile ile!!Hawa jamaa wangempuuzia yule Mtoto ingekuwa Historia bado
Hahahahaha!! Kesho kutwa tu utamkuta yericko fb anajitutumua kuwa ameandika yeye...Mkuu japo hukunitag lkn nimeisoma. safi sana nasubiri Yericko aipeleke tena fb
Usjali Mkuu nshaisoma tayari na nimependa uwasilishaji wako.Hahahahaha!! Kesho kutwa tu utamkuta yericko fb anajitutumua kuwa ameandika yeye...
Alafu nimekutag mkuu sijajua nini kimeleta mushkeli
Eeeh aje aichukue mapema kabisa aipeleke ikiwa bado ya Moto kabla watu wengi hawajaisoma huku
mwishoni alifulia mbaya baada ya yule mtoto wa mfalme wa saudia kufaNi kweli kabisa hata mm nashindwa kuelewa ni vipi mtu kama osama akawa na ulinzi dhaifu kiasi hicho maana wanajeshi wa marekani wamekutana na watu wawili tu wenye silaha za kivita tena AK-47.