German wagundua Hamas wanatengeneza video za kugombea chakula kwa sururia na mabakuri

German wagundua Hamas wanatengeneza video za kugombea chakula kwa sururia na mabakuri

Kiongozi kwa ukongwe wa ID yako hupaswi kuandika utumbo huu.. unakuwa unaikosea heshima ID yako... punguza ujinga na mahaba...

Veteran wa US wanakwenda Gaza wanasema hali inatisha, IDF inawashambulia kwa risasi raia wakiwa wanachukua chakula... juzi hapa wameua kitoto cha miaka 10 kivulana kimetembea kilomita kumi kutafuta chakula... kamaliza kuchukua chakula IDF wakaanza kuwashambulia kwa risasi...


Kuna watu wa haki za binadamu kutoka Israel wanakiri wazi Israel ina lengo wananchi Gaza wafe kwa njaa...

Wewe umekalisha hapo pumbu zako umeshiba ugali na tembele unatuandikia ujinga kama huu...hivi una akili kweli?


View: https://www.youtube.com/watch?v=jgCya5b22Lk&t=435s
Hao ni MSNBC...


View: https://www.youtube.com/watch?v=72aZhsNMOWk
Hali inatisha Gaza hadi BBC na vyombo vikubwa vya habari vya magharibi imebidi waanze kufunguka... wameona aibu.. halafu kuna pumbaf mmoja kama wewe unatuletea story za udaku, propaganda story.... Shame On You..

Huyo haoni wala hasikii kwa chuki yake kwa waarabu na anasahau Ubinadamu wetu, sema muheshimiwa usitumie maneno tata🙏🏽.
 
Kiongozi kwa ukongwe wa ID yako hupaswi kuandika utumbo huu.. unakuwa unaikosea heshima ID yako... punguza ujinga na mahaba...

Veteran wa US wanakwenda Gaza wanasema hali inatisha, IDF inawashambulia kwa risasi raia wakiwa wanachukua chakula... juzi hapa wameua kitoto cha miaka 10 kivulana kimetembea kilomita kumi kutafuta chakula... kamaliza kuchukua chakula IDF wakaanza kuwashambulia kwa risasi...


Kuna watu wa haki za binadamu kutoka Israel wanakiri wazi Israel ina lengo wananchi Gaza wafe kwa njaa...

Wewe umekalisha hapo pumbu zako umeshiba ugali na tembele unatuandikia ujinga kama huu...hivi una akili kweli?


View: https://www.youtube.com/watch?v=jgCya5b22Lk&t=435s
Hao ni MSNBC...


View: https://www.youtube.com/watch?v=72aZhsNMOWk
Hali inatisha Gaza hadi BBC na vyombo vikubwa vya habari vya magharibi imebidi waanze kufunguka... wameona aibu.. halafu kuna pumbaf mmoja kama wewe unatuletea story za udaku, propaganda story.... Shame On You..

Hawezi akakuelewa hii imenisikitisha sana , na pale alienda kuwashukuru kwa msaada aliopata, wakaamua kumuua
 
Aa
Lt. Col. Anthony Aguilar (Ret.): huyu ni mwanajeshi wa Marekani alikuwa Gaza anafanya kazi na GHF kajiuzulu baada ya kuona unyamwa wanaofanyiwa Palestina wewe uwa punguani sana yaai German ambaye anapeleka silaha kwa Israel waendelee kuwaua watoto wa Gaza na raia wasiyokuwa na hatia leo hii ndiyo huu uharo wako ndiyo ushahidi? Ni mashoga pele yao ndiyo wanameza hizi propoganda.

Amna Nawaz:

Today, President Trump's top Middle East envoy, Steve Witkoff, and the U.S. ambassador to Israel, Mike Huckabee, made a rare visit to Gaza to assess — quote — "the facts on the ground" of the U.S.-Israeli-backed humanitarian aid initiative called the Gaza Humanitarian Foundation.
Geoff Bennett:

GHF has been delivering aid into Gaza since late May, and today said it crossed 100 million meals delivered. The U.N. says hundreds of Palestinians have been killed outside GHF sites, and the leading authority on global hunger warns that Gaza's population of over two million is now closer to famine than at any point in the conflict.

Tonight, we have a special report with former American contractors from UG Solutions, which works with GHF in Gaza.

Here's Nick Schifrin.

Lt. Col. Anthony Aguilar (Ret.)., Former UG Solutions Contractor: To my rear is Gaza City.
Nick Schifrin:

Anthony Aguilar arrived in Gaza in mid-May aware it would be difficult…
Lt. Col. Anthony Aguilar (Ret.):

So we had 60,000, 70,000 people.
Nick Schifrin:

… but believing it should be done.
Lt. Col. Anthony Aguilar (Ret.):

There's the choice to do nothing, and then there's the choice to try.
Nick Schifrin:

You are a retired Army Special Forces lieutenant colonel, Green Beret, and the Army sent me a list of your deployments, Iraq, Afghanistan, Tajikistan, Jordan, and the Philippines.

Why did you want to become a security contractor in Gaza?
Lt. Col. Anthony Aguilar (Ret.):

The mission to me seemed noble and worthy of my time and energy, and I felt that I had a unique set of skills and experience that I felt could lend to that mission to help it succeed.

Feeding starving, hungry people, I think, is a good thing to do.
Nick Schifrin:

And, in the end, what did you determine about the mission?
Lt. Col. Anthony Aguilar (Ret.):

Well, the purpose of the mission, I think, is still noble, feeding starving people. The execution of the mission has failed, is failing, and will not succeed because of the inherent danger of how the process has been established, and, quite frankly, an inexperienced, over-their-head lack of leadership from the top.
Nick Schifrin:

Aguilar worked for UG Solutions, which provided security at sites run by the Gaza Humanitarian Foundation. He began in mid-May as a security operator, and UG Solutions says it later moved him to be an operation-centered team leader.

From the beginning, he filmed sites defined by disorganization and desperation.
Man:

All the people, America, help me, please. Give me one box food.
Nick Schifrin:

He filmed gratitude from those lucky enough to collect food and desperate anger from those who left empty-handed. And he filmed live ammunition and non-lethal munitions, including pepper spray, used for crowd control after crowds tried to collect food.

The Israel Defense Forces and GHF established four locations, each site secured by American contractors, with the IDF stationed on average a few hundred meters away. And on May 29 at site four, Aguilar film this video, which UG Solutions posted in full on its Web site.
Lt. Col. Anthony Aguilar (Ret.):

And I hear a burst of automatic gunfire from the UG Solutions contractor in the tower facing south, and he was shooting at the crowd as they were exiting. He was shooting over their heads at their feet in the crowd.

(Gunshots)
Lt. Col. Anthony Aguilar (Ret.):

Another contractor opened up with his individually assigned weapon, and he's cheering for himself as he's shooting at unarmed civilians. Another contractor who was on the level with me on the ground by the gate catcalls to him or instigates further to him.

Wewe Yahadi mweusi wa Tukuyu na Lt. Col. Anthony Aguilar (Ret.): ambaye alikuwepo Gaza na kajiuzulilu kasema wazi hawezi kushiriki mauaji ya raia wasiokuwa na hatia. Kafanya mahojiano na vyombo habar vingi ikiwemo BBC ambayo ni washirika wa Israel.


Wewe mlokole stupid kabisa.
Daaah inasikitisha sana
 
Umetizama hiyo video? nilikuwa nikitizama on Aljazeera nikajua du ila kila siku nikaanza kuona mmh najua hata ongo msosi ukitolewa bure ni hatari hadi ugomvi,
Mkuu unajua Israel imezuia ata vyombo vya habari huko Gaza? Unafikiri wanazuia media kwanini? Yule mwanamama wa UN aliewekewa vikwazo na US mara baada ya kusema kinachoendelea Gaza nae alitengenezwa na Hamas?
 
Kwahiyo hata kubakia mbavu nayo ni maigizo? Wajelemani wenyewe wanasemaje
 
Nimeoina hiyo mkuu huo mkono anaubusu ni wa t. Col. Anthony Aguilar (Ret. baada ya kumpa msosi baada ya hapo wanajeshi wa Israel wakampika risasi inasikitisha sana harafu kuna mapunguani humu yanashabikia hawa magaidi Israel.
enh huu ndio ule ushahidi wa Shahada huoni kitu lakini unatoa ushahidi Allah Allah and mudy mudy mtume sijui wapi umeona wewe mzee wa Sigimbi!
 
Sijaona popote hayo mabomu ya machozi yaliyoua - Mtu anatoa tuhuma bila ushahidi
Kumbuka IDF waliwalenga na risasi.. walipiga mabomu ya machozi, baada ya raia kuingiwa na hofu na kuanza kukimbia huku na kule wakaanza kuwalenga na risasi..
 

Gaza photographer denies staging images of hunger or affiliating with Hamas​

Israeli investigative group also casts doubt on those citing German tabloid report accusing photographer Anas Zayed Fteiha of creating ‘Hamas propaganda’​

By Ben Sales and Nava Freiberg
Follow
Today, 1:08 am
Share
6
Illustrative: Journalists film while standing before destroyed buildings in the Jabalia camp for Palestinian refugees in the northern Gaza Strip on October 9, 2024. (Omar Al-Qattaa / AFP)
Illustrative: Journalists film while standing before destroyed buildings in the Jabalia camp for Palestinian refugees in the northern Gaza Strip on October 9, 2024. (Omar Al-Qattaa / AFP)
A Gaza photographer who was prominently accused of creating propaganda for Hamas has denied staging his photo and says he is not affiliated with the terror group.
Anas Zayed Fteiha has been at the center of a firestorm since Tuesday, when the popular German tabloid Bild published an article accusing him of deliberately using staged or misleading images to amplify the narrative of Israeli-caused suffering, particularly hunger, and citing content from his personal social media accounts as evidence of anti-Israel bias. The German newspaper Süddeutsche Zeitung also questioned the authenticity of photos from Gaza.
Two wire services said in response that they would cease using his work. Pro-Israel activists and Israeli officials, meanwhile, have seized on the articles’ claims to show that accusations of an Israeli-directed famine in the Strip are a fabrication authored by Hamas. Citing the allegations, President Isaac Herzog said at a press conference Wednesday, “We urge the world not to fall for Hamas’s lies.”
 
Shirika la Ujerumani lililotaka kuchunguza ili liiwekee vikwazo Israel kwa Kusababisha Njaa na Mateso kwa Wa gaza limegundua kuwa ni maigizo yanayoandaliwa a Hamas kuhadaa Dunia kampeni ambayo imefanikiwa kwa maigizo kama hayo kwa zaidi ya miaka miwili hadi mashirika yakaamua kuchunguza hiyo hali. Hamas wanaandaa watu kugawa msosi bure kisha wanaandaa camera muda wa kukaribia kugawa na muda wa kugawa chakula kwa Tabia ya wa gaza chochote kikigawiwa bure ni ghasia lazima wagombanie Magazeti mawili ya Ujerumani - BILD na Süddeutsche Zeitung -yamegundua hizo stage za kuhadaa huwa hazina watu wengi kihivyo.. Aljazeera wana husika kwa 100%
Mwandishi wa Habari aitwaye Anas Zayed Patia anapiga hizo picha kisha anazisambaza kwenye mashirika mbali mbali duniani kusema raia watateseka kwa njaa.

Tumesema sana Gaza hakuna Njaa.. Pale Tz DSM kuna tajiri wa Kibohora anagawa chakula bure kwa miaka zaidi ya saba kila siku kuna time watu walikuwa wakigombea kama hapo Gaza ila Njaa hakuna.


View: https://youtu.be/PbnD3gO9KYc

How Hamas stages scenes of suffering​

A new investigation raises serious allegations against Anas Zayed Patia, a Gazan photographer accused of staging suffering scenes to serve Hamas propaganda.​


View attachment 3434218

A recent investigation by the German newspaper Bild has raised concerns about Gazan photographer Anas Zayed Patia, alleging that he was involved in staging humanitarian scenes used in pro-Hamas media narratives.

Patia, whose work has appeared in various international newspapers and news agencies, is accused of selectively curating images to highlight suffering in Gaza in a way that may distort context and serve political messaging against Israel.

One widely circulated image captured by Patia shows a group of people appearing to wait desperately for food. However, the report claims that those individuals later received aid, questioning why the full sequence of events was not documented or shared.

The investigation also notes that Patia maintains an active presence on social media, where he frequently posts content in support of the Palestinian cause. In one instance, he shared an image with the caption "Free Palestine" — a slogan commonly associated with Palestinian political movements.

Following the report, several news agencies have reportedly announced they will cease working with Patia, citing concerns over objectivity and the authenticity of the images provided. Media outlets stressed the importance of verifying visual content before publication.

Patia has not publicly responded to the allegations and has yet to address questions regarding the circumstances of the images in question. The investigation also states that Patia identifies as a journalist for Anadolu Agency, a Turkish state-supported news outlet known for its pro-Palestinian stance and ties to the Hamas-affiliated narrative.

View attachment 3434224


View: https://x.com/IsraelMFA/status/1952789657948762135?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1952789657948762135%7Ctwgr%5E78f72a9c93e62c552d4b09098875a4c00a2e42a2%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.jpost.com%2Fisrael-news%2Farticle-863454

Hata hapa Tanzania Kuna sheikh anitwa somebody Suleiman nawye anaswaga za kujifanya msaidizi wa gaza na watu humchangia
 
Mleta mada chakula Gaza wanapata wapi ukiwa muda wote ni mabomu na hawana muda wa kufanya kazi Wala kulima? Zaidi ya mwaka mmoja?
 
Back
Top Bottom