German wagundua Hamas wanatengeneza video za kugombea chakula kwa sururia na mabakuri

Huyo haoni wala hasikii kwa chuki yake kwa waarabu na anasahau Ubinadamu wetu, sema muheshimiwa usitumie maneno tata🙏🏽.
 
Hawezi akakuelewa hii imenisikitisha sana , na pale alienda kuwashukuru kwa msaada aliopata, wakaamua kumuua
 
Aa
Daaah inasikitisha sana
 
Umetizama hiyo video? nilikuwa nikitizama on Aljazeera nikajua du ila kila siku nikaanza kuona mmh najua hata ongo msosi ukitolewa bure ni hatari hadi ugomvi,
Mkuu unajua Israel imezuia ata vyombo vya habari huko Gaza? Unafikiri wanazuia media kwanini? Yule mwanamama wa UN aliewekewa vikwazo na US mara baada ya kusema kinachoendelea Gaza nae alitengenezwa na Hamas?
 
Kwahiyo hata kubakia mbavu nayo ni maigizo? Wajelemani wenyewe wanasemaje
 
Nimeoina hiyo mkuu huo mkono anaubusu ni wa t. Col. Anthony Aguilar (Ret. baada ya kumpa msosi baada ya hapo wanajeshi wa Israel wakampika risasi inasikitisha sana harafu kuna mapunguani humu yanashabikia hawa magaidi Israel.
enh huu ndio ule ushahidi wa Shahada huoni kitu lakini unatoa ushahidi Allah Allah and mudy mudy mtume sijui wapi umeona wewe mzee wa Sigimbi!
 
Sijaona popote hayo mabomu ya machozi yaliyoua - Mtu anatoa tuhuma bila ushahidi
Kumbuka IDF waliwalenga na risasi.. walipiga mabomu ya machozi, baada ya raia kuingiwa na hofu na kuanza kukimbia huku na kule wakaanza kuwalenga na risasi..
 

Gaza photographer denies staging images of hunger or affiliating with Hamas​

Israeli investigative group also casts doubt on those citing German tabloid report accusing photographer Anas Zayed Fteiha of creating ‘Hamas propaganda’​

By Ben Sales and Nava Freiberg
Follow
Today, 1:08 am
Share
6

Illustrative: Journalists film while standing before destroyed buildings in the Jabalia camp for Palestinian refugees in the northern Gaza Strip on October 9, 2024. (Omar Al-Qattaa / AFP)
A Gaza photographer who was prominently accused of creating propaganda for Hamas has denied staging his photo and says he is not affiliated with the terror group.
Anas Zayed Fteiha has been at the center of a firestorm since Tuesday, when the popular German tabloid Bild published an article accusing him of deliberately using staged or misleading images to amplify the narrative of Israeli-caused suffering, particularly hunger, and citing content from his personal social media accounts as evidence of anti-Israel bias. The German newspaper Süddeutsche Zeitung also questioned the authenticity of photos from Gaza.
Two wire services said in response that they would cease using his work. Pro-Israel activists and Israeli officials, meanwhile, have seized on the articles’ claims to show that accusations of an Israeli-directed famine in the Strip are a fabrication authored by Hamas. Citing the allegations, President Isaac Herzog said at a press conference Wednesday, “We urge the world not to fall for Hamas’s lies.”
 
Hata hapa Tanzania Kuna sheikh anitwa somebody Suleiman nawye anaswaga za kujifanya msaidizi wa gaza na watu humchangia
 
Mleta mada chakula Gaza wanapata wapi ukiwa muda wote ni mabomu na hawana muda wa kufanya kazi Wala kulima? Zaidi ya mwaka mmoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…