German wagundua Hamas wanatengeneza video za kugombea chakula kwa sururia na mabakuri

Watu mna masihara sana na maisha ya watu.
Chuki hizi sijui ni sababu ya dini ama vipi..
Hakuna njaa hizo ni PROPAGANDA za wa magharibi.

Mtu anaetoa sapoti kwa Israel, unategemea aseme gaza ni safi, wakati lengo lao ni kufuta kile kizazi cha Palestina
 
Punguzeni uwongo toka lini Germany wakawa upande wa Hamas ni sawa sawa ulete mjomba wako awe shahidi kwenye kesi yangu na wewe. Unategemea mjomba wako awe upande wangu kichaa kweli kweli nikikuita Kenge ni kweli unafit kabisa hapo.
Pole kufurukutwa
 
Waliyataka wameyapata
 
Wewe tatizo lako ni nini hasa?? Yaani hata uoni kwamba hizo na propaganda zinazo sukwa na MOSSAD kutaka kuihadaa Dunia na kusafisha Serikali ya kijatiri ya Natenyahu, jamaa mmoja kaku uliza swali zuri sana kwa kusema,je, na hao watoto wanao onekana wazi wazi kwenye video clip kwamba wana utapia mlo na huo ni usanii??

Hapa Serikali ya Natenyahu ikiwa na lengo la kuhadaa Dunia kwa kuficha udhalimu wa Israel wamekwenda kuonga baadhi ya vyombo vya habari vya Ujerumani in trying to grease their guilty conscious basi ili watafute/wabuni kisingizio cha kuilahumu HAMAS - hakuna kingine pale zaidi ya usanii wa Natenyahu akishirikiana na MOSSAD, lakini wakumbuke kwamba Dunia si wajinga kiasi cha kuamini maigizo yao.
 
Waliyataka,wameyapata!
 


Hawa hamas ni dini gani? Wanyama sana. Hawana ubinadamu itakuwa wajukuu wa shetani kabisa hawa.
 
Nimeoina hiyo mkuu huo mkono anaubusu ni wa t. Col. Anthony Aguilar (Ret. baada ya kumpa msosi baada ya hapo wanajeshi wa Israel wakampika risasi inasikitisha sana harafu kuna mapunguani humu yanashabikia hawa magaidi Israel.

Hawa hamas ni dini gani? Wanyama sana. Hawana ubinadamu itakuwa wajukuu wa shetani kabisa hawa. Ni magaidi kiimani kabisa kama baba yao muanzisha imani yao. Hovyo kabisa.
 
Hawa hamas ni dini gani? Wanyama sana. Hawana ubinadamu itakuwa wajukuu wa shetani kabisa hawa. Ni magaidi kiimani kabisa kama baba yao muanzisha imani yao. Hovyo kabisa.
Una lingine zaidi ya huu uharo?
 
Good thinking..
 
Mahali wamefeli kwenye igizo lao ni kuwa mtu anaenda kukinga chakula na ndoo kubwa, beseni (karai) mbaya zaidi mwingine eti kajifyatuan na kopo la rangi ya nyumba.
 
Kukujibu punguani kama wewe ni kujidhalillsha😂
Halafu unaendeleaje kujibu? Nyie huwa hamjielewi kabisa. Ni sababu ya kula uharo au ulinyonywa ulimi ukiwa mdogo akili ikatoka?
 


New evidence calls into question a story that went viral, alleging that IDF forces shot and killed a Gazan child at an aid distribution site, the Daily Wire reported today (Monday).

Former Gaza Humanitarian Foundation (GHF) contractor Tony Aguilar claimed that on May 28, he watched a boy called “Amir” be gunned down by IDF soldiers at a GHF site.

However, videos obtained by the Daily Wire show a woman who claims to be the boy's stepmother stating that "Amir" was still alive two months after the day Aguilar claimed he was killed.

The woman, Siham Al-Jarabe’a, identified the boy as Abdul Rahim Mohammed Hamdan Al-Jarabe’a, and stated that he only went missing on July 28. She stated that she believes her stepson to be still alive.

The GHF denied that any incident like the one Aguilar described took place on the day he said it did and stated that Aguilar would not have been in a position to see such an incident if it did occur.

The Daily Wire also reported that bodycam footage from the day of the alleged incident did not match Aguilar's description of events. Aguilar both told the outlet that the video depicts his entire interaction with the boy, and also that there were interactions that were not recorded in the video where the actions he had previously described occurred.

“The video you show misses the moments of the key elements you are claiming to discredit, yet your video doesn’t ‘not’ show it, and you weren’t there, and I am on the record,” Aguilar said when asked about the video. “I did not embellish. And it is clearly evident that Amir and I had the interaction.”

The security contractor who wore the bodycam that recorded the footage stated that Aguilar's description of events was "completely fabricated."

Siham Al-Jarabe’a, when she was informed about the footage and Aguilar's claims, said that he must have been mistaken and that the footage must have been recorded on July 28 and not in May. She also stated that her stepson had never been to the distribution site where Aguilar claimed he was killed.
 
Kiongozi tazama hii video.. wameua mtoto ana miaka 10, wanapiga mabomu ya machozi, tear gas kwenye maeneo ya kutoa misaasa... huyu ni US Veteran amefika Gaza..


View: https://www.youtube.com/watch?v=jgCya5b22Lk&t=435s
Umeona wapi acha uongo huyo mzushi aliyezusha kabnwa maswali na video za siku hiyo anayodai wafanyakazi wa hapo wote wana body camera hamna sehemu hizo anazodai hata hiyo siku na tarehe haziendani nae keshakubali kuwa aliongopa, wewe kajamba nani unadai kuwa kabisa uliona, unadhani dunia ya sasa ni ile ya Mtume kutokewa pangoni bila ushahidi na watu wakamuamini na story yake ya uongo akiambiwa asome wakati hamna kitabu waka karatasi sasa asome nini? Ukitoka kufundisha uongo vitoto vidogo Madrassa njoo uombe radhi raia JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…