Gerson Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu

Naona imekuuma sana kwa uvccm mwenzako kuumbuliwa na mwana ccm mwenzenu
Imeniuma kwelikweli....

Kwani hakuna mwenye HATIMILIKI ya kumchafua mwenzake hadharani.....

Msigwa ni msomi sikutegemea aongee vile....

Kwani kila swali wanaloulizwa wanahabari huwa wanajibu?!!!
 
Imeniuma kwelikweli....

Kwani hakuna mwenye HATIMILIKI ya kumchafua mwenzake hadharani.....

Msigwa ni msomi sikutegemea aongee vile....

Kwani kila swali wanaloulizwa wanahabari huwa wanajibu?!!!
Msigwa ni bosi wenu na hakuna wa kumfanya chochote wala kuinua pua yake juu yake.

Kama mnafanya hizi tabia za kisheitwan wacheni mkafanye matubio ili msamehewe na jamii ya watanzania.
 
Jumbe Brown hivi ushahidi ukipatikana itakuaje😎
Mama D mbona unachukua upande kwa kitu usicho na ushahidi nacho?!!

Hivi matendo mabaya ya kulawitiana yanafanyika hadharani ?!!

Hivi kuna mwenye HATIMILIKI ya kuingilia faragha za watu?!!!

Unadhani mahakamani ni rahisi kwa mtu kujitetea kuwa ana ushahidi kuwa aliingia faraghani na kuwafuma wawili wakilawitiana?!!!

Kama kijana wa chama ambacho tunapambana kila uchao sidhani ni afya kuchafuana hata kama ni kweli....hivi humu nchini tunayasikia mangapi ya tabia za hovyo za baadhi ya watu?!!! ndio tuongee hadharani ?!!!

Leo tunashabikia la Suphian...kesho tutazidi kuifungua milango ya KUCHAFUANA HOVYOHOVYO....

1) Binadamu wote ni sawa

2)Kila mtu anastahili heshima ya KUTAMBULIWA NA KUTHAMINIWA UTU WAKE

#SiempreJMT
 
Msigwa ni bosi wenu na hakuna wa kumfanya chochote wala kuinua pua yake juu yake.

Kama mnafanya hizi tabia za kisheitwan wacheni mkafanye matubio ili msamehewe na jamii ya watanzania.
Msigwa ni boss wa CCM ?!!!

Kwa hiyo akiwa ametuzidi kivyeo na kiushawishi serikalini ndio TUSISEME PALE MTU AKOSEAPO?!!!

Siku zote mnatuambia kuwa sisi UVCCM kazi yetu KUUNGA MKONO TU HOJA....tukikosoa mnatutafutia lawama zingine.....

Kwa hiyo unichafue bila ya ushahidi hadharani na nikilalamika UNIFUNGE MDOMO?!!! Khaaa 😳😳😳

Hivi mnajua gharama za "character assassination" ?!!!

N.B Sijatetea ushoga....kwani huko mitaani umejaa japo ni kosa kisheria....je kwa hizo tabia mbaya umeshaona watu wakipelekwa mahakamani makumi kwa mamia?!!!

Endelea kuwa msukure wa Mbowe....
 
Naona hata wewe inawezekana ni mwanachama wa hiyo kazi.

Mnalitia taifa na ccm aibu kubwa sana
Sawa kama wewe ndiye "bwana wangu".....

Mkuu unajiabisha kwa MASHAMBULIZI yako yasiyo ya kiweledi.....
 
Nikasomaaaaaa weeee nikaona angalau kidogo umeandika vizuri ila

Utata ni picha tu pichaaaaaaaaa


Kingine siku zote ulikua wapi kupeleka kipeperushi Cha musiba mahakamani Ndio uje Leo kulia Lia humu?
Chukua hatua acha kulia Lia halafu acha kua mlenda mlenda Arif au kweli Nini?
 

Gerson aliyumba sana siku ile. Msemaji wa serikali sio mtu wa kutumia misamiati kama vile HUENDA, INAWEZEKANA, LABDA, KAMA, nk.

Naona hata kamanda wa dawati la jinsia ktk jeshi la polisi ana akili kama ya Gerson. Wote akili zao zinatawaliwa na mitetemo ya kishoga-shoga.

Kisanyasi mashoga ni 1% ya watu wote duniani, na hivyo, kwa njia ya mzunguko, sawa na 1% ya watu katika Taifa.

Kwa hiyo, ni mtu mwenye skewed mind pekee anayeweza kuifanya topiki ya ushoga kuwa ajenda kuu ya kitaifa.

Kadhalika, katika Biblia yenye mistari 31,000 kuna mistari 6 tu inayoongelea ulawiti, sawa na 0.019%.

Kwa hiyo, ni mtu mwenye skewed mind pekee anayeweza kuifanya topiki ya ushoga kuwa ajenda kuu ya kikanisa.

Serikali zetu zinapaswa kuchukua hatua dhidi ya propaganda za kishoga kwa kusisitiza elimu rasmi ya ujinsia. Naongelea sexology.

Nasikia TIE wako wanaboresha mitaala. Natamani wangelitupia jicho tatizo hili.
 
Hata wewe nibwabwa mwenzie.
Duuh 😳😳

Mkuu umenichafua sana....

Kwa kuwa humu ni ANONYMOUS basi jipigie makofi kwa kunichafua huko......

Nilitegemea utakuja na kuuweka ushahidi wa mimi kuwa "bwabwa"....


Ubarikiwe sana aaamin🙏
 


Ili msamaha uombwe si lazima kuwe na uthibitisho wa kukanusha?

Haya mambo Sufiani ameyaleta humu kwanini?? Alitaka fedheha? Au alitaka promo?
 
Hivi kweli wewe na shati lako zuri namna hiyo kutoka chama dume upakuliwe na viongozi wa chama jike!!!
 
Kumbe kuna muda misemo ya wahenga huwa siyo sahihi. Kwa mfano huu wa meno ya mbwa hayaumani,kwa scenario hii naona yameumana kwa hakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…