SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Akapimwe kama marinda yamoNenda Mahakamani ukaoneshe kielelezo chako cha kupinga hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akapimwe kama marinda yamoNenda Mahakamani ukaoneshe kielelezo chako cha kupinga hilo.
Biashara matangazo na picha kaweka pia aliyefika bei amrukie hewani wayamalizeNamba ya simu uliyoweka ni ya kazi gani ??
Swadaktaaa
Kwa pozi hizi wewe usitafute mchawi Msigwa yuko sahihi kabisaRAIS WANGU SAMIA, MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA ANIOMBE RADHI HADHARANI.
Mheshimiwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi,
Awali ya yote naomba nikupe Pole na hongera kwa majukumu mazito unayoendelea kutufanyia kwa weledi na mafanikio makubwa sisi wananchi wako wa Watanzania tangu uingie Ikulu miezi sita sasa. Kwa majina naitwa Suphian Juma Nkuwi, ni Mtanzania Mzaliwa wa Kijiji cha Minyughe, Wilaya ya Ikungi, mkoa wa Singida.
Rais wangu na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi Taifa, kwa kuzingatia Ibara ya 12 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Katiba ya Chama cha Mapinduzi sehemu ya Kwanza, fungu la 4. Imani (1) Binadamu wote ni sawa (2) kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake;
Kwa masikitiko makubwa kupitia barua hii ya wazi napenda kuleta malalamiko yangu mbele ya ofisi yako takatifu kwamba Msaidizi wako, Gerson Msigwa ambaye kwa sasa ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Septemba 18, 2021 akihojiwa na Mtangazaji katika kituo cha habari cha Star TV () alitamka kwamba habari iliyochapishwa ukurasa wa mbele, Aprili 20, 2019 na gazeti la Tanzanite iliyosomeka kwamba "SHOGA AWACHANGANYA ZITTO, MAALIM SEIF" kwamba ILITHIBITISHWA ndio maana gazeti hilo la ndugu Cyprian Musiba halikuwahi kufungiwa na Serikali.
Rais wangu, ndani ya habari hiyo mwathirika aliyetambulishwa kama 'shoga' kwa majina na picha ni mimi. Na kwa hakika haikuwa habari ya kweli kwani natambua mapenzi ya jinsia moja si tu ni kinyume na sheria zetu za Tanzania bali pia maadili na tamaduni zetu haziruhusu. Na mbaya zaidi gazeti hilo linalofahamika nchini kama 'bingwa' wa kuchafua VIONGOZI wa Chama, Serikali, wanasiasa na Wanaharakati halikuwahi kunitafuta kabla ya kutoa habari hiyo ovu kama alivyodai ndugu Msigwa.
Hivyo, kauli hiyo potofu kutoka kwa Kiongozi Mkubwa kabisa wa Serikali yetu si tu imezua tafrani mtandaoni bali pia hadi naandika barua hii kwako imeendelea kunidhalilisha na kuusigina Utu wangu mbele ya familia yangu, ndugu, jamaa na marafiki zangu na kuniharibia taswira yangu na hata majukumu yangu ya kila siku kama Mtanzania na Mwanasiasa mchanga mwenye ndoto ya kuijenga nchi yake kwa wivu mkubwa.
Kwa kuzingatia ofisi yako ni tegemewa kwa kutoa haki, naomba ndugu Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu hadharani, ili tu si kufuta kashfa hiyo kwangu bali pia kuondoa tafsiri potovu kwamba Ofisi yako tukufu na hata Chama chetu cha Mapinduzi kimempa nafasi nyeti mtu asiye makini na asiyeona aibu kutamka kauli za uwongo mbele ya umma. Vinginevyo, nitaomba ruhusa ya ofisi yako niendelee kutafuta haki yangu kwa njia zingine ikiwemo njia za kisheria.
Aidha, Rais wangu kabla ya kukuandikia barua hii ya wazi, naomba pia kukujulisha kwamba Octoba 1, 2021 nilishawahi kutuma barua ya malalamiko haya kwako dhidi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia barua pepe ya Ofisi ya Rais Ikulu press@ikulu.go.tz ambapo kwa barua hiyo niliambatanisha kopi ya gazeti la Tanzanite lililonichafua na kipande cha video cha ndugu Gerson Msigwa akibariki kashfa hiyo dhalilishi kupitia Star TV. Ingawa sikupatiwa mrejesho wowote wa barua pepe hiyo hadi naandika barua hii ya wazi kwako.
Natanguliza Samahani kwa usumbufu. Na natumaini ombi langu litafanyiwa kazi mapema. Nakutakia kazi njema Rais wangu na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyezi Mungu azidi kukutunza.
Raia wako mwema,
Suphian Juma,
Singida, Tanzania
Octoba 7, 2021.
Email: yessuphian@gmail.com
Phone: 0717027973
View attachment 1966980
Duh!kwahiyo wamkague marinda kwanza ndio apate vielelezo vya kufungua kesiNaenda mahakamani ndugu wataunda timu ya madaktari wakukague kama una maribda au umepoteza maribda.Ikithibitika bado hujapoteza maronda fungus kesi ndogo ya kudai fidia.OVA
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kaambiwa ukweli, kwani ana kazi gani nyingine?
😳😳😳Mbona umehamaki sana au na wewe unatifuliwa? Mwache apambane na hali yake.
Kwa kuwa una ushahidi wa hayo Sasa mimi nisemeje tena...Punguza povu jamaa yenu analiwa
🤣Kamarada mwingine huyu hapa Kamanda Asiyechoka
Kama Msemaji wa Serikali amesema sisi ni nani wa kumpinga?Kwa kuwa una ushahidi wa hayo Sasa mimi nisemeje tena...
Mtu anapolalamika kuwa ameonewa ana haki zote....msemaji wa serikali ni mhukumu wa kuzuia watu kulalamikia wanayoona si sawa kwao?!!!Khaa 😳😳Kama Msemaji wa Serikali amesema sisi ni nani wa kumpinga?
Pole sana ndugu Sufian. Nenda mahakamani tume ya madaktari wabobezi itaundwa kwa weledi na umakini mkubwa watachunguza kama una marinda au umepoteza marinda. Ikithibitishwa pasipo shaka kwamba hujachokonolewa na sphincter zako hazijalegea fungua kesi ya madai utalipwa pesa nyingi mno pia watakuomba radhi.Kama Msemaji wa Serikali amesema sisi ni nani wa kumpinga?
Sasa kuja kulalamikia humu JF unaona ni njia sahihi? Unaona alivyojivua nguo.Mtu anapolalamika kuwa ameonewa ana haki zote....msemaji wa serikali ni mhukumu wa kuzuia watu kulalamikia wanayoona si sawa kwao?!!!Khaa [emoji15][emoji15]
Umeyasoma vyema MALALAMIKO yake?!!!Sasa kuja kulalamikia humu JF unaona ni njia sahihi? Unaona alivyojivua nguo.
Mbona unatumia nguvu nyingi sana kutetea kuliko muhanga mwenyewe?Duuuh[emoji15][emoji15][emoji15]
Sitetei tabia hizo mbaya...bali ninashutumu tabia ya hovyo ya kutoheshimiana kwa kuongea HADHARANI kashfa za AIBU NA FEDHEHA.......kwa yeyote afanyaye......
Haya umeshanidhalilisha basi furahisha nafsi yako mkuu....
Peace