Gerson Msigwa awajia juu waliomkosoa kuita wananchi Nguchiro asema 'Wewe kama siyo Nguchiro kime kuuma nini?'

Gerson Msigwa awajia juu waliomkosoa kuita wananchi Nguchiro asema 'Wewe kama siyo Nguchiro kime kuuma nini?'

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, anaweka wazi juu ya watu walioweka namba yake ya simu mtandaoni na watu wengine kutumia namba hiyo kumrushia matusi.


 
Mambo ya HKL Hayo.... sasa kwa nini kuwalalamikia nguchiro ikiwa unajua nguchiro ni wa vichakani?
 
Yes,
ni kweli kabisa,
ikiwa wewe sio nguchiro au nyumbu, mihemko ya nini sasa, au unaporomosha matusi kwanini ?
842825c7-12b5-43ea-83af-1cf6e2d6ea44.jpeg
 
Back
Top Bottom